makubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kubwa kwa taifa lenye rasimali nyingi kama Tanzania kukomalia tozo za line za simu. Bora serikali ijikite kuchimba dhahabu ili kupata mapato.

    Karibu kila eneo la taifa letu limejaliwa kuwa na madini ya kila namna. Dhahabu ndio inapatikana kwa wingi kila mahala hapa nchini. Kama kuna baadhi ya kampuni za kigeni zina migodi ambayo uwekezaji wake haufiki hata bil 200 na wanachimba na kupata faida na pesa nyingi tu. Kwa nini huyu...
  2. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli asingekubali kutoza tozo za laini ya simu kwa wanyonge. Huku ni kuonea watanzania. Mbona alifanya makubwa bila tozo?

    Hayati Magufuli akiwa kama rais wa nchi alileta mabadiliko makubwa juu ya ukusanyaji mapato kwenye taifa letu. Pesa nyingi ilikuwa ikipotea mikononi mwa watu wachache. Akaamuru mapato yote yawe yanaingia mfuko mkuu wa serikali. Na hapo akawa amepatia akafanya makubwa. Akajenga hospital, vituo...
  3. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Napata maumivu makali sana kwenye magego ya upande wa kushuto, msaada wenu tafadhari

    Upande wa chini wa kinywa maeneo ya gego(meno makubwa) upande wa kushoto chini , ninapata maumivu makali sana , leo usiku sijalala kabisa , ni tiba ipi inafaa
  4. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Habari zakutisha, Marais wawili wa mataifa makubwa kiuchumi hawajulikani walipo ila mmoja inasemekana kapinduliwa

    Igweeee. Jamani huko duniani taifa linaongoza kutoa simu za kila aina ya majina na michezo ya watoto, inasemekana jeshi limempinduwa kwa makosa ambayo bado hayajatajwa. Japo za kunyapia nyapia inasemekana mpango wa Urusi kutumia bomu la nyukilia limekuwa kitufe cha moto kwa washirika wake...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mashabiki na wanachama wa simba Matumaini yao makubwa wameyaweka kwa Al hilal kumtoa yanga

    Ni wazi kwamba mashabiki na wanachama wa simba wameweka matumaini makubwa kwa Kuisifia Al hilal jinsi itakavyomtoa yanga na wanakwenda mbali zaidi kuapa ya kwamba ndo mwisho wa yanga awatoboi, lakini nafikiri wasichokijua hii ni yanga ambayo aijaingia kwenye hii michuano kwa kubahatisha, yanga...
  6. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Afande Sele: Magufuli alikopa na kufanya makubwa, sasa hivi wanakopa na hakuna linaloonekana

    "Unajua kwenye each one teach one hatupingi mikopo, lakini tunapinga aina ya mikopo na kile ambacho kinatumika kupitia hiyo mikopo. Yaani, hiyo mikopo ina impact gani kwa wananchi inayoeleweka. Ni kama vile wewe umeenda kwa bwasheee kukopa unga au mafuta kwa sababu watoto wako wale" "Sasa wewe...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Niliposema kwa kujiamini kabisa kuwa ndani ya Simba SC kuna matatizo makubwa nilikuwa namaanisha

    CEO Barbara alituletea Kocha Pablo akituaminisha ni Kocha bora hakukaa akamtimua. CEO Barbara akatuletea Kocha Zoran na kusema ni Kocha bora hakukaa juzi wamemtimua Kidiplomasia. CEO Barbara Msimu mpya wa Ligi ulipoanza akaja na Slogan kuwa Simba SC haishikiki na haizuiliki na kwamba itabeba...
  8. Richard

    JamiiForums Tanzania Urusi na China wafanya mazoezi makubwa ya kijeshi mashariki ya mbali yanoitwa Vostok 2022

    Russia na China wameendelea na mazoezi ya pamoja yanoitwa Vostok 2022 ambayo yajumuisha nchi zingine zipatazo 12. Mazoezi hayo yaendelea huku bado kukiwa na vita ya Russia na Ukraine pamoja na mgogoro wa China na Marekani kuhusu kisiwa cha Taiwan. Mazoezi hayo yaloanza Alhamisi ilopita...
  9. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania KABILA LA AFRIKA MASHARIKI LENYE MAFANIKIO MAKUBWA DUNIANI

    Mjaluo lupita amechukua tuzo Kubwa has filamu OSCAR, Mjaluo Obama Ana Nobel mjaluo Divork origi Alichukua uefa akiwa no Liverpool pia alichezea Belgium world cup 2014
  10. KIBESENI

    JamiiForums Tanzania Kwaanini baadhi ya Wanaume wanapenda makalio makubwa?

    Nalo ni swali hata wewe unaweza kujibu, Angalia avator nyingine za watumiaji wa jamiiforums wameweka picha za makalio ya wanawake. Nimejiuliza ghafla, kwanini baadhi ya wanaume wanapenda makalio ya wanawake. Pia wengine wamehesabu urembo wa dada ni makalio. Kwanini? Unaweza kunijibu.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Wataalamu na wasomi wapongeza pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” kwa kuleta mabadiliko makubwa katika Afrika

    Na Pili Mwinyi Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” ni mpango kabambe uliotolewa na rais Xi Jinping wa China kwa ajili ya kuwa na mtandao wa reli, barabara na bandari duniani pamoja na miundo mbinu mingine ili kuweza kuziunganisha nchi hizo pamoja na kuwa kitu kimoja. Hadi sasa pendekezo hili...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aendelea kufanya makubwa wilaya ya Ludewa, amwaga mabilioni

    RAIS SAMIA AENDELEA KUFANYA MAKUBWA WILAYA YA LUDEWA, AMWANGA MABILIONI. Rais Samia Suluhu Hassan amepania kupeleka maendeleo makubwa Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe kama ambavyo amekuwa akifanya kwa Nchi nzima kwa ujumla. Rais Samia kupitia TARURA amefanikiwa kufungua Barabara ya Lifuma-...
  13. Raphael Thedomiri

    JamiiForums Tanzania Serikali na ununuzi wa mawe makubwa

    Wataalamu, ni ipi hasa sababu ya serikali kuyanunua madini yenye uzito mkubwa/thamani kubwa, je labda kunayo madhara yoyote endapo mchimbaji akiyapeleka sokoni mwenyewe badala ya kuiuzia serikali? Na je mchimbaji anapata malipo mazuri zaidi kuliko sokoni? Huo utaratibu maanake nini
  14. Raphael Thedomiri

    JamiiForums Tanzania Serikali na ununuzi wa mawe makubwa

    Wataalamu, ni ipi hasa sababu ya serikali kuyanunua madini yenye uzito mkubwa/thamani kubwa, je labda kunayo madhara yoyote endapo mchimbaji akiyapeleka sokoni mwenyewe badala ya kuiuzia serikali? Na je mchimbaji anapata malipo mazuri zaidi kuliko sokoni? Huo utaratibu maana yake nini
  15. Jorge WIP

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanaouza maduka ie...k/koo wanazidisha bei(over pricing) kwa wateja wanaume

    Habari zenu my virtual family(JF) Mara kadhaa huwa nikienda kununua vifaa vya electronics huwa nawakuta wauzaji wanawake...(probably nawafuataga sijui ila iko hivyo) ila sasa wana katabia ka kunitajia bei za ajabu ambazo ziko juu ya kawaida, Lakini... Nikienda duka lingine labda nkamkuta...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Matumizi makubwa yatishia uhai wa Bima ya NHIF

    Kamati ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC) imesema, imebaini Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unatengeneza nakisi katika mapato na matumizi, jambo ambalo linatishia uhai wa mfuko. Mwenyekiti wa PIC, Jerry Silaa ameyasema hayo leo Alhamis Agosti 25, 2022 baada ya kupokea taarifa...
  17. Feld Marshal Tantawi

    JamiiForums Tanzania Makalio makubwa yageuka kuwa silaha pekee kwa wasichana wengi siku hizi

    Nimefanya kajiutafiti nikagundua wanawake wengi wa Kitanzania au kiafrica wamekuwa tegemezi sana kwenye silaha moja tu. MAKALIO YAO",Asilimia kubwa ya wanawake wamekuwa wakitumia makalio yao"Wowowo"Kuwanasa wanaume haswa maofisini n.k. Nimejiuliza bila makalio mbinuko hawa watu wangetumia nini...
  18. 1

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mabadiliko makubwa katika Sayansi na Teknologia yanayofanyika katika nchi zenye uchumi imara yana maana gani kwetu? Ni ipi dira yetu?

    Nchi zenye uchumi mkubwa duniani kama Marekani na China zinapiga hatua kubwa katika Nyanja mbalimbali za teknologia wakati sisi Tanzania(Africa kwa ujumla ) tukiwa bado tuko nyuma. Mifano mizuri tumekuwa tukiona mapinduzi yanayozidi kufanywa katika utengenezaji wa magari, kampuni moja ya hukou...
  19. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane 1,2,3 za udereva wa magari makubwa na Thomas B. MWAMFUPE

    Chunguza upepo wa gari yako #Roadlife.Tuendelee kukumbushana kuwa dereva ukiendesha lori lako jitahidi kuangalia geji zako zote mara kwa mara,tofauti yake ni kuwa madereva tunaangalia saana geji ya mafuta,geji ziko nyingi na kila moja ina umuhimu wake, ipo geji ya Mafuta Upepo kwenye mitungi...
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Serikali ipambane na suala la afya ya akili kwa Watanzania kabla ya kufanya mambo mengine makubwa.

    Hamjambo humu ndani? Tatizo la upungufu wa akili miongoni mwa wanajamii ya Kitanzania limekuwa kubwa sana. Vijana kwa wazee. Serikali iboreshe lishe kwa jamii hali ngumu. Nguvu kazi hasa vijana wana ukosefu wa akili na wengine wana upungufu wa akili kichwani. Vijana wa nchi hii wasomi kwa...
Back
Top Bottom