Mbase1970
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 6,053
- 4,595
Nitangulize kwa kusema kuna baadhi ya mambo ayafanyayo huyu kiumbe anayeitwa Paulo Makonda ana mikono michafu a.k.a Bashite nakubaliana nayo. Baadhi ni vita dhidi ya mihadarati na kusaidia vijana wasiojiweza na baadhi ya maamuzi ya kuwasaidia wenye umasikini.
Huko nyuma kuna thread iliyoletwa na mwanahabari na Broadcaster Nguli Ndugu yangu Paskali Njaa Mayalla kuhusu huyu msukuma mwenzake Paulo ana mikono michafu Makonda.
Kwa sasa ni miaka minne imepita na ameshaleta vituko vingi zaidi katika serikali ya msukuma mwenzake Pombe. Msumari wa mwisho ni hili suala la Idrisa Sultan. Wengine tunashindwa hata kujua ni kipengele gani watakitumia kumfanya atiwe hatiani. Wanasheria wa jamvini kama kina mtani wangu Petro E. Mselewa na wenzake watusaidie.
Swali kwako Mayalla, je Makonda bado ni Presidential Material?