Kwanini wazazi wa Makonda wasijitokeze hadharani ili kuthibitisha jina halisi la mtoto wao?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
68,417
Points
2,000

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
68,417 2,000
Fedheha anayoipata mtoto wao iliyosababishwa na tuhuma za kuiba jina la mtu kutokana na kufeli masomo yake ya awali ni kubwa sana.

Hata kama anatengeneza hela hata za haramu lakini kwa kweli tuhuma hizi ni aibu kubwa sana kwake na kwa wazazi wake.

Wanyakyusa wa Kyela wana kamsemo kao haka, "Ikuliila Muunto", kwa tafsiri wanamaanisha kwamba pamoja na kwamba mhusika anakula lakini anakula kwa tabu sana.

Labda kama hana wazazi, lakini kama wapo ni vema wakajitokeza hadharani kumuondolea aibu kijana wao.

Halafu kingine ni hiki, mbona hatujawahi kumsikia hata kwenda kwao kuwajulia hali wazazi wake, hawajawahi hata kuumwa?
 

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
68,417
Points
2,000

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
68,417 2,000
Anza na wazazi wa mbowe maana nasikia hajulikani hata kama alikanyaga shule lakini mkwe wake alimsuka hadi akafanya kazi BOT


state agent
Wazazi wa Mbowe wanafahamika , maana ndio waliompa nauli Nyerere kwenda UNO kudai uhuru wa Tanganyika
 

Forum statistics

Threads 1,392,235
Members 528,573
Posts 34,102,550
Top