Mnaoshangilia kesi ya Makonda mnapoteza muda wenu bure, hakuna kesi pale

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,279
21,396
Niaminini ninachowaambia!

Misingi ya kesi ya makonda ni tofauti kabisa na ilivyokuwa kesi ya Sabaya!!

Ikumbukwe kwamba Punde tu sabaya baada ya kutenguliwa u DC, aliwekwa kitimoto/mahabusu chini ya Takukuru kabla ya kushitakiwa!

Sasa ishu ya makonda ukiitazama unaona kabisa waziwazi hakuna kesi pale zaidi ya watu wachache waliokubaliana kutafta kiki tu!

Nasema kesi ya makonda ilitakiwa kuwakilishwa na uzito mkubwa zaidi ya huu wa kina kubenea kwasababu zifuatazo!

1. Mlalamikaji mkuu wa kesi ya uvamizi wa clouds media ni KUBENEA! .hahah Sawa kubenea ni mlalamikaji lakini vipi kama clouds watagoma kutoa ushahidi kuna kesi hapo? Jibu ni hakuna
2. Mashitaka yanamtaja mtuhumiwa ni "Paul Makonda" Jina ambalo KUBENEA Mwenyewe kupitia gazeti lake walisema jina halisi la mkuu wa mkoa ni bashite, na Makonda ni la mtu aliyeko nzega na kutanabaisha kwamba anaejitambulisha kuwa ni makonda aitwe ALBERT BASHITE. Kwahiyo mlalamikaji hajaweka bayana anaemshitaki sasa ni nani kati ya hawa wawili, he ni aliyejiita MAKONDA au anamaanisha BASHITE?

3. Nasema hakuna kesi kwasababu tatu makonda mwenyewe yuko kwake akiwa huru, tahudhuria kesi kutokea kwake, hivyo kama kuna ushahidi wowote unaoweza kuwa hatari anaweza kuutempa kirahisi.

4. Wanaomshitaki Makonda si wakuaminika ki viile, ni kesi yenye msingi ya kisiasa na ulaji binafsi.
5. Hata makonda alipoingia clouds, hakupora mtu zaidi ya kuchukua CD yake! Hapo inampa uwanja mpana wa kukana mashitaka kwasababu hakuvunja milango, Milango yote walimfungulia wao wenyewe clouds!

Kiufupi kesi ya makonda na kubenea hamna kesi mule niaminini nachowaambia!

NASHAURI MASHITAKA YAPANGWE VIZURI ILI KESI IWE NA UZITO UNAOSTAHILI dhidi ya mtuhumiwa
 
Ukiishi kwa upambe hapa mjini lazima upigwe boro pimbi wewe.

Hata haya huna unamtetea jambazi kama Makonda si lazima mtakuwa mnaliwa wote pamoja na lile kubwa jinga lenu Le Mutuz?
Hehehe...mazee ya kupumliwa visogoni bwana, hakuna mtu anaweza kufungua kesi ya jinai bila kibari cha DPP, na kama kingekuwa na makosa kama mnavyodai basi DPP angeshafungua kesi kitambo, tatizo upstairs mmejaza kamasi tu.
 
Pole Sana wengine wakiwa darasani wewe ulikuwa una Chuma machungwa ya mwalimu
 
2. Mashitaka yanamtaja mtuhumiwa ni "Paul Makonda" Jina ambalo KUBENEA Mwenyewe kupitia gazeti lake walisema jina halisi la mkuu wa mkoa ni bashite, na Makonda ni la mtu aliyeko nzega na kutanabaisha kwamba anaejitambulisha kuwa ni makonda aitwe ALBERT BASHITE!
Kwahiyo mlalamikaji hajaweka bayana anaemshitaki sasa ni nani kati ya hawa wawili, he ni aliyejiita MAKONDA au anamaanisha BASHITE?
Paul Makonda atakaye poker summons ndiye atakayepanda kortini.
 
Ukiishi kwa upambe hapa mjini lazima upigwe boro pimbi wewe.

Hata haya huna unamtetea jambazi kama Makonda si lazima mtakuwa mnaliwa wote pamoja na lile kubwa jinga lenu Le Mutuz?
Uelewa wako ni mdogo sana! Hoja hapa siyo kutetea makonda! HOJA NI NAMNA KESI ILIVYOFUNGULIWA kwa udhaifu mkubwa na waliofungua ni dhaifu sana!
Mtu kama KUBENEA si wa kumwamini hata kidogo
 
Njaa mbaya sana na inaondowa utu, hivi vibia mnavyonunuliwa ndio vinawatowa akili kiasi hiki?

By the way lile wowowo lake siku akiingia kwenye nondo za magereza lazima aliwe tigo kama jambazi mwenzake Ole Sabaya.
Aisee kuna tajiri mmoja arusha alimpa fedha mkuu wa gereza ili sabaya aliwe kwa mpalange,basi alikanyagwa siju 7 mfululizo na manjemba,we acha amekanyagwa balaaa
 
Makonda bana wamuache tu!! Lugumya na jinga la mwaka lilikuwa ni li gujiwe!! hilo liendelee kupta adhabu!! mie nadhani alisha kufa kaleee sana!
 
Niaminini ninachowaambia!

Misingi ya kesi ya makonda ni tofauti kabisa na ilivyokuwa kesi ya Sabaya!!

Ikumbukwe kwamba Punde tu sabaya baada ya kutenguliwa u DC, aliwekwa kitimoto/mahabusu chini ya Takukuru kabla ya kushitakiwa!

Sasa ishu ya makonda ukiitazama unaona kabisa waziwazi hakuna kesi pale zaidi ya watu wachache waliokubaliana kutafta kiki tu!

Nasema kesi ya makonda ilitakiwa kuwakilishwa na uzito mkubwa zaidi ya huu wa kina kubenea kwasababu zifuatazo!

1. Mlalamikaji mkuu wa kesi ya uvamizi wa clouds media ni KUBENEA! .hahah Sawa kubenea ni mlalamikaji lakini vipi kama clouds watagoma kutoa ushahidi kuna kesi hapo? Jibu ni hakuna
2. Mashitaka yanamtaja mtuhumiwa ni "Paul Makonda" Jina ambalo KUBENEA Mwenyewe kupitia gazeti lake walisema jina halisi la mkuu wa mkoa ni bashite, na Makonda ni la mtu aliyeko nzega na kutanabaisha kwamba anaejitambulisha kuwa ni makonda aitwe ALBERT BASHITE. Kwahiyo mlalamikaji hajaweka bayana anaemshitaki sasa ni nani kati ya hawa wawili, he ni aliyejiita MAKONDA au anamaanisha BASHITE?

3. Nasema hakuna kesi kwasababu tatu makonda mwenyewe yuko kwake akiwa huru, tahudhuria kesi kutokea kwake, hivyo kama kuna ushahidi wowote unaoweza kuwa hatari anaweza kuutempa kirahisi.

4. Wanaomshitaki Makonda si wakuaminika ki viile, ni kesi yenye msingi ya kisiasa na ulaji binafsi.
5. Hata makonda alipoingia clouds, hakupora mtu zaidi ya kuchukua CD yake! Hapo inampa uwanja mpana wa kukana mashitaka kwasababu hakuvunja milango, Milango yote walimfungulia wao wenyewe clouds!

Kiufupi kesi ya makonda na kubenea hamna kesi mule niaminini nachowaambia!

NASHAURI MASHITAKA YAPANGWE VIZURI ILI KESI IWE NA UZITO UNAOSTAHILI dhidi ya mtuhumiwa
Wee jamaa mi huwa nakuamini sana ! Hata hilo nakuamini pia
 
umasikini ukizidi,faraja huwa ni kuona watu wwaliofanikiwa wanaumizwa.

makonda hana kesi ya msingi hata moja ya kujibu,mbali na kwamba hata mimi nilimchukia.
Makonda ndiyo mtu pekee anaekula bata Tanzania kwa kauli yake mwenyewe
 
Back
Top Bottom