makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. CCM ya Rais Samia, Dkt. Nchimbi na Mwenezi Makonda tuishauri lipi? Mengi yametekelezwa

    WanaJf, Salaàm! Kero nyingi za watanzania zimetatuliwa kupitia UTEKELEZAJI wa Ilani ya uchaguzi. Umeme upo Maji yapo Barabara zipo Mikopo kwa wanafunzi ipo Uwezeshaji wanawake, walemavu, na wazee umefanyika Ajira kwa vijana zimeongezeka Ruzuku ya kilimo ipo Michezo imefadhiliwa nk nk Sasa...
  2. PreGE2025 Makonda: Yetote mwenye sifa atasimamia uchaguzi

    “Wanasema wakurugenzi wasisimamie uchaguzi. Sisi tunasema Mtanzania mwenye sifa Tume itampa nafasi ya kusimamia uchaguzi.” – Paul Makonda, Katibu wa Halmashauri Kuu CCM, Itikadi, Uenezi na Mafunzo PIA, SOMA: Matamko mengine ya Makonda Makonda: 2024 na 2025 tutakupima kwa kazi; sio kwa...
  3. R

    Rais Samia alifikiria nini kumteua Makonda? Alikuwa ana lengo gani?

    Makonda ana sifa moja kubwa nationally and Internationally, Gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons." Kwa watu wenye akili watajiuliza swali kama hilo Mama Samia lengo lako ni nini kumteua Makonda? Any...
  4. Nchi yetu nzuri Tanzania tutaiharibu wenyewe kwa kuteua na kutumia watu kama kina Makonda

    It is very funny! 1. Serikali imeweka utaratibu wa kupanga na kusimamia sekta zake mfano ujenzi wa barabara. Leo tumeuacha, Makonda ndiye anapeleka magreda site kuchimba barabara. Nasi tuko kimya tunaona sawa. 2. Vikundi vya kupinga vyama halali vya upinzani vinaasisiwa na vinatumia dini na...
  5. Picha: Debate Nyani Ngabu Vs Makonda

    ??
  6. PreGE2025 Paul Makonda: Lissu mjanja ameona maandamano hayana maana

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda amebainisha kuwa Tundu Lissu ni mjanja ndio maana ameamua kuwakimbia CHADEMA baada ya kuona hakuna haja ya kufanya maandamano yasiyo na tija wala maana yoyote na kuamua kwenda zake Nchini Ivorycoast kuangalia...
  7. B

    Ziara ya Paul Makonda yaingia shubiri Bagamoyo na kuibua mapungufu ya Serikali ya CCM

    19 January 2024 Bagamoyo, Pwani PAUL MAKONDA AKUTANA NA UGUMU ULIOPITILIZA UNAOSHINDWA KUPATIWA UFUMBUZI NA MFUMO WA UTAWALA WA SERIKALI YA CCM https://m.youtube.com/watch?v=om38fxu03Yc Katibu wa uenezi, itikadi na mafunzo wa CCM Bw. Paul Makando leo hakuamini macho yake kuona jinsi ya mfumo...
  8. PreGE2025 Paul Makonda: Tumechoka na ahadi za treni za umeme

    Kuhusu kuanza kwa treni ya kisasa ya SGR, Makonda amesema kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kilichoketi Unguja hivi karibuni kiliwaita Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa kutoa maelezo kuhusu maendeleo ya ujenzi wa reli...
  9. PreGE2025 Makonda kutoa Katapila 20 kusaidia kurekebisha barabara za Jimbo la Kawe

    Katibu wa Itikadi , Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Paul Makonda leo Januari 19, 2024 ameahidi kukabidhi katapira 20 kwa mbunge wa jimbo la Kawe, Josephat Gwajima kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa barabara. Makonda ametoa ahadi hiyo kutokana na wananchi wa jimbo hilo kulalamikia ubovu wa...
  10. Debate challenge: Nyani Ngabu vs Paul Makonda!

    Paul Makonda kadai anataka mdahalo na viongozi wa CHADEMA. Wao wamemjibu kwa kuweka masharti ili mdahalo huo ufanyike. Here I come. Mbeba maboksi niliyeishia kidato cha nne na kufeli. Siweki masharti yoyote yale. Mimi na yeye tufanye mdahalo kuhusu mada yoyote ile…katiba mpya, ufisadi, global...
  11. Nimepata kusomea Ratiba ya Makonda mikoa 20, anapita barabara zenye lami tu? Kwenye barabara za maeneo yenye vumbi hakuna wanaccm?

    Huyu bwana ni msaani! Anatumia Kodi na fedha za chama kupitia na gari Kila mkoa Kwa siku Moja! Cha kunifurahisha Sasa , hapiti maeneo yenye matatizo mfano , maeneo ambayo hakuna maji, shule, barabara, umeme bali anapitia maeneo ya barabara kuu penye lami TU. Cha kujiuliza huko kusiko na lami...
  12. CHADEMA tambueni Makonda kupita mule alipopita Magufuli ni kwa sababu Watanzania wanahitaji matokeo chanya

    Watanzania wanahitaji kuona reli ya Sgr kutoka Dar mpaka Mwanza inafanya kazi hii ni kwa sababu ughali wa maisha utapungua sababu mizigo na abiria watasafiri kwa bei rahisi. Bwawa la JHNP linazalisha umeme na umeme haukatiki hovyo. Bei ya umme ishuke na umeme usiwe anasa. Raia wanyonge...
  13. PreGE2025 Makonda ampigia simu Waziri Silaa, amtaka akatatue migogoro ya ardhi Bunju

    Katibu wa itikadi na uenezi chama cha Mapinduzi CCM, Ndugu Paul Makonda akizunngumza na wananchi wa wilaya ya kinondoni kwenye mkutano wa hadhara wa chama hicho. Makonda amemtaka waziri wa Ardhi kufika katika jimbo la kawe na kutatua migogoro ya ardhi iliyopo ndani ya jimbo hilo.
  14. PreGE2025 Makonda: 2024 na 2025 tutakupima kwa kazi; sio kwa maneno, sio kwa kugawa kanga kipindi cha uchaguzi

    Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Paul Makonda, leo January 19,2024 ameanza ziara yake kwa kuongea na Wakazi wa Tegeta Jijini Dar es salaam ambapo pamoja na mambo mengine amesema Wabunge, Wawakilishi na Madiwani watapimwa kwa kazi wanazofanya na sio kwa maneno au kujipendekeza kwa...
  15. PreGE2025 Makonda: Siasa imemlipa Mbowe kajenga kasri

    Katibu Mwenezi wa CCM, Paul Makonda amlipua Freeman Mbowe kuwa "siasa imemlipa, amejenga kasri, naenda kulala kwake" PIA, SOMA: Matamko mengine ya Makonda Makonda: 2024 na 2025 tutakupima kwa kazi; sio kwa maneno, sio kwa kugawa kanga kipindi cha uchaguzi Makonda: Yetote mwenye sifa...
  16. PreGE2025 Makonda: Sababu ya Nchimbi, viongozi CHADEMA wanataka kadi za CCM

    " Toka tumpate katibu mkuu mpya ndg Nchimbi, wapinzani wameanza kutetemeka na simu yangu imekuwa bize kupita maelezo. Viongozi wa ACT, Chadema, NCCR nk wakiniomba kufanya mchakato wa kupewa kadi za uanachama. Wengi ni makatibu, wenyeviti na makamu wenyevoti wamekuwa wakinisisitiza." Makonda...
  17. Makonda kuunguruma leo Mkoani Pwani

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda, anatarajiwa kuhutubia maelfu ya wananchi katika Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani, katika siku yake ya kwanza ya ziara ya siku 30 kwenye mikoa 20. Pia, Makonda anatarajiwa kufanya vikao na viongozi mbalimbali wa kamati za utekelezaji wa...
  18. Kinachowaponza CHADEMA ni kukataa kuwa hili taifa lina wanyonge. Paul Makonda ndio anapitia hapo hapo na kuwamaliza

    Mnyonge katika nchi yoyote ile ni raia ambae ili apate haki zake lazima asaidiwe kwa nguvu ziada. Hapa nazungumzia haki za kupata huduma za jamii, haki za kisheria na hata tendo la ndoa. Alipokuwepo hayati JPM raia wanyonge walimkubali sababu karata kubwa kwake ilikuwa ni kuhakikisha raia...
  19. Ndimi mbili za Makonda hizi hapa. Mdahalo alioulilia wamtokea puani , aweka mpira kwapani

    Hebu jionee mwenyewe Mdahalo nao aukimbia
  20. Mwanangu Makonda, umeichoka na kuikinai nafasi yako chamani?

    Jana nilikusikia na kukusikitikia sana. Jinsi unavyojikaanga kwa mafuta yako mwenyewe. Jinsi unavyoonesha kuchoka na kukinai nafasi uliyonayo kwasasa chamani. Pale ulipozungumzia kuhusu mdahalo na viongozi wa CHADEMA. Ngoja nikusaidie kwakuwa nilikuwa kiongozi mwandamizi chamani kabla yako...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…