makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Kwanini Makonda haendi Kizimkazi kutoa salamu za rambirambi?

    Nayeye hajasikitishwa wala kuguswa na kifo cha ubavu wa mama yetu kipenzi au nini tatizo?
  2. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Gwajima kumpasua vipande vipande Makonda jumapili hii

    Naliamsha dudeeeeee (kwa sauti ya gwajima). Jumapili mje kwa wingi sana na virekoda vyenu.
  3. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kosa la Makonda kwenye jezi ni kuukataa mkataba halali hata kama mbovu.

    Kama mkataba ni mbovu lakini ni halali basi ni halali hata kama ni mbovu. Kikubwa angalia wapi umekiukwa au subiria hadi umalizike.
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Makonda: Maandamano kuzuia AFCON? Hayatakuwepo, Mtanzania anataka Amani!

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian Makonda, amepuuza taarifa na uvumi unaosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kuwepo kwa maandamano ya kuzuia michezo kuelekea Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), akisisitiza kuwa hakuna maandamano yoyote na kwamba...
  5. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Tanzania Makonda: Tutaangalia kama Dudu Baya anaweza kuwajibishwa kisheria

    Leo hii, Waziri wa Michezo, Paul Makonda, akiwa anazungumza na waandishi wa habari kuhusiana na Mkataba kati ya TFF na Sandaland, ameeleza kuhusu sintofahamu ya wochi bela baki aliyoizua mitandao. Makonda amesisitiza kwamba, yeye na jopo lake la wataalamu, pamoja na watendaji walio chini yake...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Makonda anavyoitangaza Tanzania kupitia watu mashuhuri katika sanaa, michezo na burudani

    Mpango wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mheshimiwa Paul Christian Makonda kutumia watu mashuhuri katika tasnia za sanaa na michezo kama vile Didier Drogba, Rio Ferdinand, Rick Ross na Laporta Rais wa klabu ya FC Barcelona pamoja na wachezaji wake kuitembelea, kuizungumzia na...
  7. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Makonda: Wananchi Mnaichanganya Serikali

    Amesema kuwa wananchi wanaichanganya serikali kiasi kwamba inashindwa kujua iwafanyie nini😂 Yani ni kama anasema hata wao wamevurugwa😂 Hii nchi ngumu sana, sasa kama umevurugwa si uachie kiti?
  8. kavulata

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa mtu wa kwanza kumkataa Sandaland kudhamini jezi timu ya Taifa, Makonda kaja kunisapoti.

    Nilikuwa naona aibu kuona timu ya serikali imevalishwa fulana badala ya jezi. Nilikuwa namuoenea huruma Rais wa TFF kavaa tambala badala ya jezi. Mwanzo nilimkataa Sanda kwakuwa alikuwa anatoa jezi ya Simba pia, lakini baadae nilimkataa kwasababu ya ubora wa jezi. Sina jezi ya Timu ya Taifa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Makonda: Tulipanga Jezi ya Taifa izunduliwe na Rais, Wizara zote ziwepo, taasisi zote tuzialike

    Niliamini busara itumike, tuwe na jezi iwe pride ya nchi. Tulipanga sisi wizarani jezi hiyo izinduliwe na mheshimiwa Rais. Wizara zote ziwepo, taasisi zote tulipanga tuzialike, tulikuwa na mpango, hapa kina Haji wanajua hapa, kina Neema, ya kwamba ifike hatua ukienda TFF, ukienda wapi, ilikuwa...
  10. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Makonda namuelewa Sasa! Ana haki ya kuzifurusha Jersy!!!

    Kutokana na Press ya Makonda kuna vitu kavigusia na sasa nimemuelewa!,Kumbe watengeneza Jersy hawakutaka kusubiri kwa maana walishatengeneza jersy kindi kirefu kabla ya vikao na serikali maana yake wamekurupuka,Pia mahudhui yanatakiwa kuwekwa!Pia mkataba ni wakimagumashi auonyeshi ni mkataba wa...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Makonda: Jezi za timu ya Taifa ni mbaya, hata ukiisugua na dodokii

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, akizungumza na waandishi wa habari leo, Septemba 24, 2026, amesema jezi za timu za taifa zilizozinduliwa ni jezi mbaya sana hazina ubunifu hata wazisugue na dodoki “Jezi ni mbaya, hata ukiisugua na dodoki, pambaneni kuifanya jezi iwe...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Makonda Afafanua Kuhusu Wasanii Walioitwa na Waziri Katambi, Asema Ni Jambo la Kawaida Kiutendaji

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, akizungumza na waandishi wa habari leo, Septemba 24, 2026, amesema kitendo cha Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, kuwaita wasanii na kuzungumza nao ni jambo la kawaida kiutendaji. Kauli hiyo imekuja wiki kadhaa baada...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Makonda: CRDB na NBC zimeshusha riba ya mikopo kwa wasanii kutoka 9% hadi 7%, baadhi ya masharti yameondolewa

    Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, ametangaza kuwa Serikali kupitia Mfuko wa Waandaji wa Maudhui (Content Creators) imefanikiwa kushirikiana na benki za CRDB na NBC kupunguza kiwango cha riba ya mikopo kwa vijana na wasanii kutoka asilimia 9 hadi asilimia 7. Makonda...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Makonda: Wasanii kulipwa Tsh. Bilioni 2 za Mirabaha Novemba

    Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, ametangaza kuwa jumla ya Tsh. Bilioni 2 ziko tayari kutolewa kama gawio la ada za hakimiliki (copyright levy) kupitia COSOTA kwa wasanii nchini. Makonda ameeleza kuwa utaratibu wa maandalizi ya ugawaji wa fedha hizo unakamilishwa na...
  15. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Sandaland kuongea na wanahabari kesho. Ni kuhusu Makonda kuingilia mkataba halali na TFF

    Uongozi wa Kampuni ya Sandaland Fashion Wear limited unatarajia kuzungumza na Waandishi wa Habari kesho September 22 2026 katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es salaam kuanzia saa tano kamili asubuhi. Hata hivyo kupitia taarifa yake kwa Umma, Kampuni hiyo ambayo ndiyo yenye tenda ya jezi za Timu...
  16. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania makonda ndie rais ajae.....

    sote kwa pamoja tunaona utendaji kazi wa makonda, heko heko, ccm mbele kwa mbeleee....hawapumui wapinzani...ccm mbele kwa mbele....baada ya kumpata rais msukuma magufuri sasa ni zamu ya makonda..kijana kutoka mwambola katika wilaya ya misungwi, hekooooo hekooo
  17. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Waziri Makonda na Lamine Yamal uso kwa uso Jijini Barcelona

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye, Paul Makonda, amefanya ziara ya kikazi nchini Hispania ambapo ametembelea Jiji la Barcelona na kukutana ana kwa ana na nyota kijana wa mpira wa miguu duniani na klabu ya FC Barcelona, Lamine Yamal. Ziara hiyo ya kiserikali imefanyika wiki...
  18. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Mzabuni wa Jezi Taifa Stars Sandaland kumpeleka Makonda Mahakamani

    Kampuni ya Sandaland Fashion Wear Limited imetangaza kuchukua hatua za kisheria dhidi ya kauli iliyotolewa hadharani na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, kuhusu jezi za Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars. Hatua hiyo imetangazwa kupitia tamko rasmi la kampuni hiyo...
  19. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Makonda kuunda kamati ya kuchunguza zabuni jezi za timu za Taifa.

    Wizara ya habari, Utamaduni Sanaa na Michezo leo Septemba 18 imefafanua kuwa Waziri wake Paul Makonda anatarajiwa kuunda Kamati ya kuchunguza mkataba wa mzabuni wa jezi za Taifa Stars ili kubaini manufaa ya makataba huo kwa Timu za Taifa. Taarifa ya Wizara hiyo imeeleza kuwa Waziri huyo...
  20. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Makonda; Hizi sio jezi za stars, tuheshimiane

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, ameonyesha kutoridhishwa kwake na jezi mpya zinazosambaa zikidaiwa kuwa za timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars. Waziri Makonda ameweka wazi msimamo wake kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram, ambapo ameeleza kuwa vazi hilo...
Back
Top Bottom