Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.
Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.
He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
Kichwa cha habari kinajieleza. Tanzania kuna wato wawili ambao kwa rais Samia siyo wana ushawishi mkubwa bali ni maalum ambao ni Jakaya Mrisho Kikwete na Daudi Albert Bashite. Kwa wanaojua undani wa wandani hawa watujulishe lau tujue kwa sababu rais ni public figure.
Ameshiba mihogo. Leo anasema Magufuli ni kaka yake. Wewe makonda ni wakumuita magufuli kaka Yako kweli? Unakumbuka alivyokusitahi kama mwanae. Unakumbuka alivyokuunganisha wewe na Ruge kule chongoleani Tanga kwa kuwaita wewe na Ruge ni wanaye. Leo unamuita kaka Yako eti.
Tafadhali usimtumie...
Nimeona Clip ya Makonda aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha na sasa mgombea ubunge Arusha akipita Kanda ya ziwa na maeneo mengine nchini na magari yake akihotubia umma na kusema watu wasikubali alichofanyiwa magufuli afanyiwe Samia.
Mimi swali langu ni Makonda alitakiwa afanye kampeni zake Arusha...
Na mimi namuomba Mwenyenzi Mungu amlinda Dkt Samia aingie kwenye uongozi wa miaka yake mitano. Na ukisikia kelele zinazopingwa hizo ni ule wivu wa kuona mwanamke anaweza?
Wanampa maneno ya kumkatisha tamaa ili akasirike au asuse, na wengi pia wanatamani kuichafua Tanzania yetu huko duniani ili...
Mgombea ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (#CCM) Jimbo la Arusha mjini Paul Makonda akiwa Mkoani mara kumuombea kura mgombea wa Chama hicho nafasi ya urais Samia Suluhu Hassan amewaomba wananchi wa mkoa huo kukataa kuungana na wanaosema hawatopiga kura na wakiwaambia na wao wasiende kupiga kura...
Mgombea ubunge wa Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, amesema endapo atashinda uchaguzi na kuingia bungeni, ataweka nguvu kubwa katika kumsaidia Rais Samia Suluhu Hassan kutekeleza Ilani ya CCM ya mwaka 2025–2030.
Makonda amesema anatarajia kutumia nafasi hiyo...
Kuna kelele kibao mpaka wakasema Makonda mzalendo anaweza kuvaa viatu vya Magufuli. Wapi sasa ukweli? Ukweli uko wazi; jamaa yenu Makonda hana uzalendo wowote. Tangia Magufuli alipoondoka, wazalendo wa kweli tumewaona kwa macho yetu, na maskio waliobaki wote walikuwa ni kelele.
Kipindi cha...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Paul Makonda amekuwa katika yadhifa za uongozi kwa muda mrefu sasa, kwa nafasi ambazo ameshika, anafahamu kwamba kuna mambo yanayohitaji mipaka.
Kabla sijaendelea niweke wazi kuwa ni vizuri kwa kiongozi kuwa Mbunifu, lakini si vyema kuvuka mipaka kwa...
Anonymous (e667)
Thread
alama
bandarini
jeshi
maalum
magari
makonda
matumizi
raia
ukimya
wengine
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaendelea na kampeni katika mikoa mbalimbali, na kwa sasa wametia mguu wao huku Kanda ya Ziwa.
Ukiachana na mambo kadhaa yanayoacha tafakuri kuhusu mwenendo mzima wa kampeni, yapo mambo mawili yanayonifanya nijikune kichwa, kama siyo kushika tama.
UKWASI WA MAKONDA...
Mgombea ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, amewataka Watanzania kupuuza watu wanaohamasisha uvunjifu wa amani nchini, huku akisisitiza umuhimu wa kumuunga mkono Mgombea Urais wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Makonda ametoa kauli hiyo jijini Mwanza...
Leo Safina, tumeshuhudia nguvu ya Mungu ikidhihirika kupitia mtumishi wake Paul Makonda Kwa jina la Yesu Kristo, pepo wameondoka na watu wengi wamepata uhuru wa kweli. Kama maandiko yanavyosema, ‘nanyi mtajua kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru’ (Yohana 8:32). Hakika Mungu yupo pamoja nasi.”
Nauliza kwanini ema ulishindwa kuwapatanisha Gambo, na Makonda kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni?
Alishindwa kuwaita na kuwapatanisha mbona mikoa mingine walifanikiwa kufanya hivyo?
Kwanini CCM ndio imeleta uadui mkubwa kwa vijana Hawa? Nini hatima ya VIZAZI vyao?
Juzi Nchimbi alikuwa...
Kwa ile ban ya kutoingia US ni wazi sasa Mheshimiwa Mbunge na Waziri (Mtarajiwa) analazimika kuishia Zanzibar na Juba kutekeleza majukumu yake ya WIZARA YA MAMBO YA NJE.
Wajinga ukiwauliza watakuambia eti Makonda anapendwa sana, wanasahau huyu zero brain ni moja ya watu wana propaganda nyingi kutengeneza picha ili kuhalalisha mipango yao, makonda ni mmoja wapo.
Arusha yote, Kilimanjaro Yote, Manyara Yote, ni ukweli ambao haupingiki si kwa CCM tu bali Tanzania...
Kwa mara ya kwanza jana Makonda amesema jambo ambalo ni ufunguo wa maisha mambo muhimu sana kama unataka kubadilisha maisha yako Tanzania ni haya
1. Uoe au Kuolewa Kaskazi
2. Usome Kaskazini
3. Uzaliwe Kaskazini
Watu wa Kaskazini Kilimanjaro na Arusha wana IQ kubwa 120+ ukiwa karibu nao...
Nimewahi kuishi Arusha, nimesoma A-level Arusha, naipenda Arusha na watu wake. Lakini ukweli lazima usemwe... Miaka ya nyuma, hususani mwanzoni mwa miaka ya 2000’s, kuna namna wakazi wa Arusha walitanabaishwa kama watu shupavu, wenye misimamo mikali katika kusimamia wanayoyaamini, watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.