makonda

 1. G Sam

  Tetesi: Paul Makonda ana tuhuma za kuhusika na mauaji dhidi ya Ben Saanane!

  Hizi ni tuhuma tu pia nasisitiza ni tetesi. Inaelezwa kuwa ndugu Ben Saanane alitekwa siku za mwanzo wa wiki na baadaye mwisho wa wiki (Jumamosi) mauaji yake yalifanyika. Hii ni baada ya yeye kuwekwa kizuizi cha mateso takribani siku nne baada ya kutekwa. Zipo tuhuma kuwa mipango yote...
 2. J

  Sasa mke wa Makonda ana kosa gani hadi azuiliwe kuingia Marekani?

  Nimeshangazwa sana na katazo la mke wa RC kuingia nchini Marekani. Yeye binafsi ana kosa gani?! Naomba Pascal Mayalla na Nyani Ngabu mkuje hapa kunitoa tongotongo. Nawasilisha!
 3. jingalao

  Mh.Paul Makonda atembelea Chama Cha Wanasheria (TAWLA) wanaopambana na ukatili wa kijinsia

  Kutoka Mitandaoni: Mh Mkuu wa Mkoa wa Jiji la Dar es Salaam babalao kwa herufi ndogo ametembelea kituo cha Wanasheria Wanawake wanaojihusisha na msaada wa kisheria kwa wanawake na watoto. Makonda amewapongeza kwa kazi kubwa wanayoifanya. My Take: Hili ni jibu Konki sana kwa Pompeo na waliompotosha!
 4. malisoka

  Kama Tanzania ingekuwa kweli na Demokrasia " Ingemsweka Makonda Jela"

  Ili ajibu tuhuma zinazomkabili Ili aweze kusafisha jina lake lililotwexwa. Ili serikali ijitoe kwenye tuhuma za haki za binadamu. Ili watanzani tujiridhishe Tanzania kuna haki. Sio hivyo who is next.
 5. F

  Tamko la Mark Pompeo (US Secretary of State) dhidi ya Paul Makonda ni aibu sana kwa Mhashamu Baba Kadinali Pengo!

  Ni hivi karibuni tu Paul Makonda akiwa amewaita viongozi mbalimbali wa dini pale Julius Nyerere Convection Center kuwafundisha na kuwahabarisha kuhusu " maajabu" aliyofanya Mheshimiwa Rais Dr.John Pombe Joseph Magufuli kwa kipindi cha miaka 4. Mhashamu Baba Kadinali Pengo alisikika akisema...
 6. malisoka

  Najiuliza tu!-"Inamaana Makonda Marufuku kukanya ubalozi wa USA Nchini"

  Kiutaratibu ofisi za ubalozi ni nchi. Kwa hiyo Makonda marufuku kuingia ofisi za ubalozi wa usa nchini? Kama ni kweli. Hii ni dharau kubwa. Mkuu wa mkoa asiyekuwa huru aliye wekewa mipaka. Haikubaliki kabisa.
 7. Synthesizer

  Nini maana ya Makonda ‘kuwanyima watu haki ya kuishi’ kunakosemwa na serikali ya Marekani?

  Katika sababu zilizotajwa kwa Makonda kuzuiliwa kwenda Marekani ni "kuwanyima watu haki ya kuishi na usalama wao" Hi ni sentensi nzito kwa watu wanaofikiria mambo kwa umakini, kwa kuwa unapomnyima mtu haki ya kuishi ina maana huyo mtu haishi tena, hayuko hai tena kwa kuwa umeondoa haki yake ya...
 8. Erythrocyte

  Muhimu : Simba iitishe Mkutano Mkuu wa Dharula ili kumuondoa Makonda

  Sasa ni dhahiri kwamba huyu Makonda amepigwa marufuku kukanyaga Marekani , kuendelea kumbakisha kama Mshauri Mkuu wa bodi ya Simba ni kuiingiza timu yetu kwenye uchafu wake ulioshitukiwa dunia nzima . Simba ni Taasisi kubwa yenye mipango mingi ndani na nje ya nchi , mtu mwenye tuhuma za kuzuia...
 9. Private investigator

  Hongera Mh. Makonda, Marekani imeguswa na utendaji wako

  Ndio!! Hizi ni pongezi zangu binafsi toka Mwanza kwa Mh Makonda kwa kutambuliwa na Marekani wababe wa dunia. Wameamua kumpiga pini kwenda Marekani. Nitaeleza kwanini nampongeza Mh Makonda kwa hili. Ikumbukwe Marekani mbali na kujitanabaisha kama taifa linalolinda haki za binadamu ila ndio...
 10. G Sam

  Mjadala: Waziri wa mambo ya nje ya Marekani anamkuta Paul Makonda na hatia ya kuua watu! Kwanini anakumbatiwa sana na Rais Magufuli?

  Waziri wa mambo ya nje wa Marekani ambaye kimsingi ni moja ya viongozi wanaoheshimika sana duniani anaitangazia dunia kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ndugu Paul Makonda anadhulumu haki ya mtu kuishi ( Anaua watu) na dunia nzima inasambaza habari hizo. Ukija hapa Tanzania utaambiwa na...
 11. N

  Makonda awa Maarufu Duniani habari za Zito na Lisu cha mtoto ameandikwa na Vyombo vikubwa vya habari Dunia nzima CNN, FOX NEWS, BBC. nk

  Hongereni Marekani kwa kupaisha jina LA kijana wa KOLOMIJE mmemupandisha chati saana lakn pia mmemsaidia Rais maana hata yy alishawakataza kutosafiri mmemusaidia
 12. FRANCIS DA DON

  Nimesikitika sana waTz kushangilia kwa RC Makonda kupigwa marufuku ya kuingia Marekani, ushoga sio kitu kizuri

  https://www.jamiiforums.com/threads/demokrasia-barani-afrika-ni-ya-kuogopa-kama-ukoma-mwenye-hoja-ya-kupinga-aje-ulingoni.1523480/ Nimefuatilia comments za waTz katika majukwaa mbali mbali kwenye mitandao ya kijamii; kwa kweli niseme kwa dhati kabisa kwamba nimeshtushwa na kushangazwa na...
 13. Echililo

  Zuio la Watanzania kwenda Ng’ambo: Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani

  Serikali ya Marekani imemzuia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuingi nchini humo kutokana na kuhusika kwake kwenye uvunjifu wa Haki za Binadamu unaohusisha kunyima haki ya kuishi, uhuru na ulinzi wa watu. Katika uongozi wake, Makonda ameonesha uonevu kwa wapinzani, kuminya uhuru wa...
 14. Rebeca 83

  Hivi hii system haiwezi kutumika na Makonda na wengineo?

  Hello JF.. Merry Christmas Everyone. Wazungu walituwahi wakaweka miundo mbinu mizuri huko chini kwa chini kwa ajili ya choo na floods. Sasa,hatuwezi kuanza kubomoa na kuanza kujenga hio miundo mbinu na sisi (ingawa inawezakana in the future) But nimeona kuna hii system sio mpya..ila...
 15. J

  Bakhresa alijenga ofisi ya CCM tawi la Masaki RC Makonda anajenga ofisi za wilaya ya Kinondoni, CCM haikumbatii umaskini

  Kiukweli ukiziangalia ofisi za CCM tawi la Masaki halafu ukayapitia makao makuu ya chama kikuu cha upinzani pale Ufipa lazima utajifunza kitu. Ofisi za CCM masaki zimejengwa na billionea Bakhresa. Najiuliza tu kuna wakati bilionea Sabodo alitangaza kuwajengea Chadema jengo la makao yao...
 16. pantheraleo

  Makonda awapa Ofisi CHADEMA. Awataka walipie pango la ofisi ya Makao Makuu kwani mwenye nyumba analalamika

  Habari wakuu, Ofisi ambayo CHADEMA Makao Makuu wamezawaidiwa Leo Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, amewagawia nyumba ambayo ni Ofisi ya CCM Wilaya ya Kinondoni. Amesema ameamua kuwagawia CHADEMA kwa sababu Makao Makuu ya CHADEMA Wamepanga na hawalipi Kodi hivyo, Mwenye nyumba kila siku anashinda...
 17. Makanyaga

  Makonda atoa bima ya afya kwa watoto 625

  MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amegawa kadi za bima ya afya za Mfuko wa Jamii (CHF) kwa watoto yatima na waishio kwenye mazingira magumu 625. Akizungumza wakati wa kutoa bima hizo, Makonda alisema anatoa zawadi ya sikukuu za Christmas, mwaka mpya na Maulid baada ya kubaini...
 18. GENTAMYCINE

  Sasa ni rasmi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul C. Makonda ana Akili, Elimu na Ufahamu mkubwa kuliko Watanzania wote

  Kama kuna Mtu ambaye nilikuwa nabisha na nakataa kabisa kuhusu ‘ Dhihaka ‘ za Watanzania wenye Akili nyingi dhidi ya Uelewa na Uwezo wa Maarifa aliyonayo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Paul C. Makonda basi nilikuwa ni Mimi GENTAMYCINE ila kwa nilichokisikia leo na Mimi sasa rasmi...
 19. pantheraleo

  Makonda atangaza siku za tano ukaguzi bure wa magari Dar

  Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametangaza siku tano, kuanzia Desemba 10 hadi 15, 2019 kwa wenye magari kufanya ukaguzi ili wasafiri salama kwenda mikoani kwa ajili ya mapumziko ya sikukuu za mwisho wa mwaka. Makonda ametangaza ukaguzi huo leo Alhamisi Desemba 5...
Top