makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. G

    JamiiForums Tanzania Sioni nia njema ya Makonda kugawa fedha kwa Content creator zaidi ya kutaka kudhibiti maudhui Yao kama wasanii na waandishi walivyouwawa kimaudhui

    Kwanza kwanini ufungie tik tok wakati creator wengi wako huko kama Nia ni njema. Msaada wowote hata uwe mkubwa kiasi gani kinachoangaliwa ni Nia yake sio kiasi . Kuna Taasisi nyingi zinasaidia vijana wajasiriamali Kwa uhuru kabisa zimewezeshwa Kwa kiasi gani Ili ziwafikie vijana wengi zaidi ...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Makonda: Ndaro anaingiza milioni 17 kwa mwezi, kaajiri vijana 20

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Paul Makonda amesema Serikali ipo kwaajili ya kuwawezesha Vijana wenye ndoto yakuwa mamilionea kupitia maudhui ya kazi zao huku akimtaja mchekeshaji na mtengeneza maudhui kupitia mitandao ya Kijamii Ndaro kuingiza milioni 17 na kutoa fursa za ajira...
  3. funaku

    JamiiForums Tanzania Waziri Makonda anzisha sera ya mitandao mbadala wa instagram na tiktok Tanzania

    Najua hili unaliweza bila shaka ili tuondokane na utegemezi wa kibeberu.Tujifunze kwa wachina
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Mwigulu, Kihongosi, Msigwa, na Makonda ni virusi kwa Chama, Samia na Taifa

    Hawa vijana wanaongozwa na mihemko zaidi kuliko hekima na busara, uwezo wao umejengwa kwenye misingi ya Uongo, Kibri, Kisasi na Kujipendekeza, wanapotoa matamshi huwa hawaangalii consequences zake, kuna siku isiyo na tarehe watakuja kuliponza taifa. Kazi yetu ni ndogo sana, kusema, kama...
  5. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Makonda ni kama hamtaki Mwana FA pale Wizarani

    Ni kama figisu zimeanza. Makonda hamtaki Mwana FA pale Wizarani. Alichofanya Makonda, ni kumgeuza Msigwa (Katibu Mkuu wa Wizara) kama chawa wake kwenye mitikasi yake pale wizarani. Safari wapo wote, Briefings na waandishi wapo wote. Ishu zote muhimu zenye posho nzito kipaumbele ni yeye...
  6. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi watu wa Arusha mjini mpaka sasa mmenufaika nini na Makonda kuwa mbunge wenu?

    Mlimchagua kwa mbwembwe.. Vipi kuna lolote zuri alilolianzisha hapo Arusha mjini tulijue?
  7. Keynez

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje Makonda anaongea kisomi kuliko "daktari" Mwigulu

    Moja ya alama ya mtu yoyote aliyesoma na kuelimika ni uongeaji wake. Hata mtu ambaye hajasoma shule sana ila ni msomaji wa vitabu, ni rahisi kumtambua. Kuanzia upangaji wake wa maneno, akiwa anatoa mawazo yake, nk. Mwigulu sijawahi kumkubali kwa sababu toka nimeanza kumsikiliza day 1, naona ni...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Makonda anataka kuifikisha wapi tasnia ya habari?

    Nimemsikiliza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda akizungumza na watumishi wa Wizara yake baada ya kuapishwa na Rais Samia Suluhu Hassan jijini Dodoma Januari 13, 2026. Katika hotuba yake, Makonda aliyekuwa Naibu Waziri akisaidiana na Khamisi Mwinjuma (Mwana FA) chini ya...
  9. McLaren

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Kuna kipindi tunawachukia wanahabari wanaoripoti kero za wananchi. Mkurugenzi kaa kwenye kiti chako na uenee

    Wakuu, Huyu hapa Makonda akiwa anawawashia moto wanahabari ambao wanamind vyombo vya habari ambavyo vinaripoti kero na changamoto za wananchi "Inafika mahala Watanzania wanaenda kulalamika kwa wanahabari huko mitaani, wanahabari wanaenda kuripoti kero za wananchi iliyotokea kwenye halmashauri...
  10. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania JamiiForums tegemeeni tamko kutoka kwa Makonda muda sio mrefu.

    Ni suala la muda tu , makonda anakuja kutoa tamko kuhusu jamiiforums. Tutegemee zaidi uhuru wa habari ukiminywa chini ya uongozi wake.
  11. 4

    JamiiForums Tanzania Makonda usitishe watu hapa , hii nchi sio ya baba yako au mama yako ,chunga kauli zako

    Wana Mungu jf ,amani ya Bwana ikawe juu yenu. Nyie mliopata viti kwa hila , sio mda wa kuleta drama ambazo hazina msingi, bila kujali wewe ni nani utakufa kwa mateso makubwa sana , leo ati mtu yupo pale kwa hila alafu unajitutumua , Taifa lazima lishinde kwa hila za kipuuzi ,tueshimiane , hili...
  12. blogger

    JamiiForums Tanzania Huyu Naibu Waziri TAMISEMI awe Waziri kamili, kama ilivyofanyika kwa Makonda

    Ni mchapakazi. Mambo yake yako Wazi. VIDEO Kwako samuya..
  13. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Makonda ha-fit kuwa Waziri Kamili, icho kiti kilipaswa kuwa cha MwanaFA

    Kama habari inavyojieleza, Makonda hakustahili kuwa Waziri kamili, kwanza hana uzoefu wa kutosha bungeni, pili amehudumu unaibu Waziri kwa miezi michache tu. Tatu wizara yenyewe haiendani na itikadi za Makonda Makonda ni mtu wa shurti na nguvu hasa napotoa matamko yake, wizara ambayo ingemfaa...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Makonda alipokataa kuwaomba radhi Clouds Media

    Huyu jamaa watu tumeamua kufukua makaburi yake yote ya nyuma! Leo acha tuanze na hili tukio ambalo binafsi liliniacha mdomo wazi baada ya Makonda alipokata kuomba msamaha kwa Clouds baada ya tukio la kuvamia Media hiyo! Tena alikataa mbele ya Marehemu Ruge Hii ilikuwa ni Aug 9, 2017 katika...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Makonda haruhusiwi kuingia USA-World Cup hata kama ni Waziri

    Makonda haruhusiwi kuingia USA-World cup hata kama waziri The Department of State is publicly designating Paul Christian Makonda under Section 7031(c) of the FY 2020 Department of State, Foreign Operations, and Related Programs Appropriations Act due to his involvement in gross violations of...
  16. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Makonda kuteuliwa kuwa waziri wa habari maana yake ni moja tu

    Uhuru wa habari utazidi kuminywa.. Vyombo vitazidi kuminywa na mateso yatazidi zaidi.. Maana ya kumteua ni moja tu.. Kumaliza yale yote yaliyobaki... Kumbuka huyu ni mpenda Sifa yaani hapo Dully Sykes akajifunze.. Kwa hiyo tutegemee sana wimbo wa mama this ... Mama that.. Uzuri ni kwamba hata...
  17. Influenza

    JamiiForums Tanzania Ndugu zetu wa Arusha: Mmeletewa Arnold Schwarzenegger kama mlivyoahidiwa na Makonda kwenye kampeni?

    Paul Makonda ambaye kwa sasa ni Naibu Waziri wa Michezo nchini na Mbunge wa Arusha Mjini alitoa ahadi ambayo kwa kweli ilikuwa ni ya ajabu sana. Septemba 19, 2025 alipotembelea soko la Samunge na kuzungumza na wafanyabiashara aliahidi kuwa katika kusherehesha shamrashamra za mkesha wa mwaka...
  18. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda kuiongoza Taifa Stars AFCON 2025 nchini Morocco

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda ndiye ataongoza msafara wa Tanzania katika Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) zitakazofanyika Morocco kuanzia Desemba 21, mwaka huu hadi Januari 18, mwakani. Hilo limethibitishwa leo na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na...
  19. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Naibu Waziri wa Michezo, Paul Makonda?

    Habari wakuu.. Naibu Waziri wa Michezo, Mh. Makonda sijamsikia tangu ameingia serikalini/ kuteuliwa. Yuwapi Bro? Hatujamzoea hivi
  20. President of China

    JamiiForums Tanzania The Return of Makonda in Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo - Makonda ni Mlokole, Mcha Mungu Kwelikweli

    Upande wa juu wa mawingu, wingu kubwa limetanda msiyemtaka kaja. Makonda anajulikana kwa uzalendo wake na kupanga mikakati ya kisasa ya kulitetea Taifa. Makonda ni mwamba kabisa hakuna aisye mjua. Watu wale wenye nia mbaya na Taifa la Tanzania ninauhakika wameanza kutetemeka. Karibu makonda...
Back
Top Bottom