Makonda akiongea Kingereza cha kubangaiza

View: https://youtu.be/tXhJ6gAj-Cs?si=bEedIn-AZpN-b4LQ

Aliipona English inataka kumponyoka akamshikilia Mchina kujivika ujasiri.

My Take
Kama kwenye CV yako umesema Iam fluent in speaking English, basi ondoa mara moja

🔨🔨📍📌
 
Haha from the same video kuna jinga moja huku linaitwa Mwashambwa linamsifia Makonda eti kaongea kiingereza ambacho kimewaacha watanzania kwenye furaha kubwa kwa jinsi kilivyonyooka🤣🤣
Huyo ni fala mmoja JF nzima yaan km ni class ni ile mijitu fulani hivi inapenda sifa sifa tu za hovyo hovyo halafu pepa likija kataga na kwenye report anashika mkia ndio dizaini ya Lucas Mwashambwa ni jinga
 
Shule kama hauna hauna tuu, hata uwe nani? 😁
Mshua wangu alikuwa ananambia ukiwa hujasoma hata uende ulaya, ukirudi utajulikana tuu hujasoma. 😁
Yaan nikimchukua DAB nikamweka pale Mchengerwa japokua Mchengerwa akiongea kingereza kigugumizi kinapanda sana juu ila nampa point 3 Mchengerwa na kile kigugumizi na huyo DAB nampa 0, shule muhimu sana utafanya janja janja weee utanasa tu haya hiki kingereza cha wapi umemsikia pale sekunde za mwanzo anachosema

"is that will came up here, people are will be moving the chair..."

What is this?
 
😂😂😂
 
Back
Top Bottom