makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Je, Makonda ni asset au liability kwa CCM?

    Katika maamuzi ya hovyo ambayo CCM wamewahi kuyafanya ni kumrudisha huyu kijana katika nafasi kubwa sana ndani ya chama. Pengine ni katika hali ya kutapatapa kisiasa kwa rais Samia na Pengine kwa sababu ya urafiki wake na Makonda uliomsukuma Rais atumie nguvu na ushawishi wake kumrudisha...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Makonda tunajua ukimya wako wa ghafla si wa kawaida

    Nilishasema kuwa watafichwa Watu wote juu ya yanayoendelea ila siyo Malaika mpendwa mimi wa Mwenyezi Mungu GENTAMYCINE, ila nikisema hivi huwa mnaniona kama vile hamnazo (nimedata) Kunakotukuka. Kama kuna Kosa kubwa na la Kiufundi ambalo CCM na hasa Rais Samia (Mwenyekiti CCM Taifa) alilifanya...
  3. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Lissu amuumbua Makonda sakata la kutaka kumtapeli nyumba ya GSM

    Katika utawala wa Jiwe vijana wake wengi walifanya unyama mwingi sana. Lissu anasema MAKONDA ni jambazi sana aliyetumia jina la Jiwe kuwatapeli wafanya biashara. Alimtapeli GSM kuwa Rais Magufuli amemtuma amwambie GSM amjengee nyumba. Kama ni kweli Jiwe alimtuma basi hiyo awamu ilikuwa ni ya...
  4. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Jeshi la Polisi fanyeni kazi ya kutusaidia kwenye maandamano kama mnavyofanya kwa Makonda

    Lissu amesema sehemu nyingine duniani Polisi hutaja njia ambako maandamano yatapita na kutoa tahadhari kwa wafanyabiashara pamoja watu wanaotumia barabara hiyo wajue itatumika kwa maandamo, lakini maandamano ya CHADEMA yanafanyika huku magari yanaingilia msafara wao wa maandamano. Akiongeza...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Makonda na Maagizo yake

    Wakuu nauliza muda ambao Katibu Mwenezi wa CCM, Paul Makonda ambazo alimpa Waziri Mkuu, Mh. Kassim Majaliwa kumaliza tatizo la migogoro ya ardhi unatazamiwa kuisha lini? Je tangu agizo hilo litolewe migogoro imepungua? Na je ikidhihirika kwamba tatizo la migogoro ya ardhi bado liko pale pale...
  6. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Makonda ni Shujaa na hajawahi kufuta Kauli yake Hii hadharani!

    Mwenezi wa CCM Bwana "Daudi Albert Bashite" al maaruf kama Po Makonda, amekuwa na kauli tofauti tofauti dhidi ya mtu yeyote. So far kishawazodoa karibu viongozi wote,wa kisiasa na kidini isipokuwa aliyemteua. Unakumbuka kauli ipi kwa kiongozi yupi ? Nukuu tafadhali!
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ikiwa tunasoma kuwa Mungu na shetani walikuwa wanapiga stori, kwa nini iwe shida kwa Mbowe na Makonda kuzungumza?

    Mpo salama bila shaka! Mahasimu wakubwa wakihistoria katika imani na dini ambao ni Mungu muumbaji na Lusifa ambaye huitwa shetani licha ya uhasimu wao karibu kutoana roho na kutaka kupinduana katika siasa za rohoni, lakini tunasoma walikuwa Wanapiga stori na kuteta juu ya Wanachama wa vyama...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Hayati Edward Lowassa, Februari 17, 2024

    Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Zamani wa Monduli (CCM) Hayati Edward Lowassa anazikwa leo Nyumbani kwake, Monduli. Mazishi haya yamehudhuriwa na viongozi wakuu wa Nchi wakiongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan. https://www.youtube.com/live/v2qFUEf1N_s?si=0DxihDr8JzbqfhH_ Waombolezaji wametoa...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Monduli: Lema agoma kumpa mkono Makonda

    Ni kweli kwamba ni siku ya Mazishi , lakini kama tulivyosema awali , kila kwenye jambo kubwa hakukosekani tuvituvitu tudogo tusitoonekana kirahisi . Sisi wengine pamoja na msiba huu macho yetu ni kama yamefungwa shingo ya feni , tunaona yasiyoonekana kirahisi . Nabii wa Mungu Godblesa Lema...
  10. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Mbowe na Makonda wakiteta msibani kwa Lowassa

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amekutana na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Paul Makonda msibani kwa Hayati Edward Lowasa. ✍️ Mjanja M1
  11. S

    JamiiForums Tanzania Meneja TANESCO Mkoa wa Arusha umempuuza Makonda kuhusu mgawo wa umeme?

    Alipokuja katibu wa NEC itikadi, uenezi na mafunzo wananchi wa Arusha walilalamika kuwa mgawo wa umeme unaoendelea siyo fair. Unakuta kuna eneo linakatwa umeme kila siku kuanzia asubuhi mpaka jioni, kuna eneo lenyewe lina umeme kila siku mchana wanakatiwa jioni, hawa kila siku jioni wanakuwa...
  12. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Mauzauza: Alichojibiwa Makonda kero ya Iringa ni ile aliyotishia kumpiga kibao Naibu Waziri

    Wakuu heshima kwenu. Poleni na msiba mkubwa sana wa kitaifa wenye historia kubwa hapa JamiiForums. Nipende kuwakumbusha kuwa akiwa ziarani Iringa ndugu Makonda alikutana na KERO ya wafanyakazi kiwanda cha karatasi mgololo ambapo kwa miaka 20 wafanyakazi hao wamekuwa wakiidai serikali mafao yao...
  13. 2019

    JamiiForums Tanzania Makonda ni kiongozi mzuri ila mfumo unamkataa. Ni hatari kwake

    Nisiwe mnafiki, huyu kijana nilimchukia sana enzi za Magufuli. Baada ya Magufuli kutangulia na uongozi dhaifu wa Samia asee Makonda ni bonge la kiongozi. Nimegundua hilo kupitia ziara zake mikoani. Hata kama ni kisiasa lakini asemayo mtu yanatoka moyoni mwake. Kwa spidi ya huyu kijana mapapa...
  14. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Makonda usipitilize unafiki, omboleza kivyako halafu nenda zako

    Nimeikuta hii makala mahali, nikajisemea, wanafiki wote hata geti la mbinguni hawataliona, Makonda akiwemo. Paulo Makonda akiwa Mkuu wa Mkoa DSM, alimtafuta mwanamke anaitwa Fatma Chikawe, akampa jina la ‘Fatma Lowassa’. Edward Lowassa alikuwa mjumbe wa kamati kuu CHADEMA. Paulo Makonda...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Video - Interview ya Tundu Lissu: Afafanua kwa ufasaha zaidi uhusika wa Paul Makonda kuratibu jaribio la kumuua kwa risasi Septemba, 2017

    Kwa ufupi; ##Pamoja na kusimulia kwa kina juu ya uhusika wa Paul Makonda kuratibu shambulio la jaribio la kumuua kwa risasi mwaka 2017, Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA taifa upande wa Tanganyika ameeleza mambo mengine mengi yakiwemo; 1. Maoni yake juu ya ziara za Paul Makonda mwenezi...
  16. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Video ya Paul Makonda akimnanga Mzee Edward Lowassa

    Mtangazaji maarufu wa vipindi vya michezo nchini Maulid Kitenge, amepost video inayoonyesha Mhe. Makonda akimuongelea vibaya hayati Lowassa. Kitenge ameandika kwenye Video hiyo "WAKATI tunatafakari ya sasa tukumbuke tulipotoka". ANGALIA VIDEO HAPA Nini maoni yako? Written by Mjanja M1 ✍️
  17. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Makonda: Kuna watu hawakumuona Mzee Lowassa wakati anaumwa, leo hii amefariki wanajifanya walikuwa pamoja

    Katibu mwenezi Wa CCM amewatolea uvivu watu wanafiki wanaojifanya kuwa walikuwa karibu na Lowassa huku wakati anaumwa hakuna aliyefika hata hospitali kumjulia Hali. Amenena maneno hayo akiwa ziarani mkoani Mtwara katika shughuli za chama. Amesema kwamba yeye hamungunyi maneno na kweli...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Tuishi katika kweli, tusitengenezeane ajali

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Paul Makonda amewasihi Watanzania kuwa na desturi ya kuzungumza mazuri ya mtu akiwa bado yupo hai badala ya kusubiri afariki. Makonda ameyasema hayo kwenye msiba wa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa na kueleza kuwa baadhi ya watu hawakuwahi kwenda kumuona...
  19. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Makonda azuru kaburi la Benjamin Mkapa

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Paul Makonda amezuru kaburi la Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Hayati Benjamin William Mkapa Kijijini kwao Lupaso Mkoani Mtwara. Mwenezi Makonda aliyesitisha ziara yake Mkoa wa Ruvuma na Mtwara kufuatia kifo cha Waziri Mkuu Mstaafu Edward...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Watu wa Lindi na Mtwara hawafurahishwi na Makonda kuingilia kazi za Kassim Majaliwa

    Tangu Makonda arudi kwenye jukwaa la siasa imekuwa kama vile yeye ndio waziri mkuu, makamu wa rais au rais mwenyewe. Sio kila mtu anafuria jambo hili na ndio maana hata Makonda mwenyewe tayari alishaanza kulalamika kuwa kuna watu wanamtafuta wamuue. Makonda awe makini anaposafiri kwenda...
Back
Top Bottom