Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.
Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.
He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
Kwako Mkuu wa Mkoa Arusha mteuliwa Ndg. Paul Makonda, ninakupongeza Kwa uteuzi wako ambao kimsingi umenipa furaha hususani Kwa kupelekwa mkoa ambao ni kitovu Kwa shughuli za utalii ndani ya nchi yetu.
Utalii ni Moja ya sekta tegemeo katika upatikanaji wa fedha za kigeni na upatikanaji wa ajira...
Heri ya pasaka kwa wanajukwaa na waumini wote. Waliofunga nawatakia swaum njema
Kutokana na kuondolewa Makonda kwenye nafasi yake ya Itikadi na Uenezi ndani ya chama na kwenda kuwa RC Arusha, ninaweza kusema Amosi Makalla anaweza kupewa nafasi hiyo.
Amekua mtulivu kisiasa hana siasa za...
Baada ya Makonda kuteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha leo hii, kumeibuka maswali na mijadala mbalimbali ikiwemo, Je amepanda cheo ama ameshuka?. Hapa nitajitahidi kieleza kadiri ya ninavyo fahamu.
Ipo hivi, katika mfumo wa utawala wa Tanzania, Mkuu wa Mkoa ni mwakilishi wa Rais katika mkoa na...
Yale maigizo ya Bashite ya kupanda mikokoteni,matrecta...... yamemchosha Mama wa Kizimkazi.
Ni wazi kupitia mikutano yake iliyojaa maigizo na ulaghai uliopitiliza ameonekana ni vyema akapewa nafasi level ya mkoa akapambane na mama ntilie,kupokea mwenge na kupambana na waendesha bodaboda...
Haya jamani mpo?? Sasa ni hivi Bashite hajabadilika hata kidogo.
Kumbukeni mwaka jana kulikuwa na story kubwa ya Bashite kung’ang’ania nyumba aliyompora GSM kipindi cha Magu? Kama mnakumbuka hata majuzi tu Bashite aliongea kuwa na yeye kadhulumiwa nyumba, alikuwa anamuongelea yüke GSM wa Yanga...
Salaam Wakuu,
Kwa kuwa ameonekana kutokukubaliana na Sera za Rais Samia, alitakiwa ajiuzulu bila Shuruti.
Paul Makonda ni Mwenezi wa CCM na Samia Suluhu ni Mwenyekiti. Mwenezi hakubaliani na Mwenyekiti, anatakiwa aachie ngazi kuliko kutengeneza mtatandao wa matajiri kwa nia Ovu.
Siku zote...
Makonda is on a mission kumsafisha Magufuli kwa mazuri ya mama Samia.
Makonda ni mwanasiasa anayeweka maslahi yake mbele na kuutupa ukweli ili kuridhisha matakwa yake kisiasa.
Magufuli alikuwa na mafanikio yake, na madudu yake kibao.
Magufuli alifanikiwa na SGR, Bwawa la Mwalimu Nyerere na...
Makonda katika sherehe za kuipokea ndege mpya ya ATCL (BOEING 737-9 MAX) jijini Dar; amekemea tabia inayoonekana kuanza kukua na kukomaa kwa baadhi ya viongozi wa Serikali kwa ngazi mbalimbali ya kujaribu kutenganisha mafanikio yanayoendelea kutokea chini ya Rais Samia na kipindi cha awamu ya...
Ndugu zangu Watanzania, uchapakazi wa Mheshimiwa Makonda, ujasiri wake, uzalendo wake, kujitoa kwake kutetea wanyonge, ushupavu na umadhubuti wake umewakosha na kukonga mioyo ya Watanzania mitaani.
Ambao kwa sasa wana kiu ya kutaka kuona Paul Makonda anagombea urais na kuchaguliwa kwa kishindo...
Hakuna hata waziri mmoja aliyepeleka ripoti ya utendaji kazi mpk sasa. Yupo waziri fulani yeye aliamua kumtemea mbovu Makonda kwa kusema kuwa "kuna watu 4 tu wanaoweza kumuamrisha nchi hii". Makonda ni debe tupu.
Tunadhani hii case closed!
Wengi ndani na nje ya CCM mmekuwa mkihoji kwa nini Mwenezi wa CCM Paul Makonda amekuwa akifanya ziara na misafara mirefu kuliko hata PM na Naibu PM.
Katika ziara zake amekuwa akisikiliza kero za wananchi na kuwapigia simu papo kwa papo Waziri au Mkurugenzi na kutoa...
Paul Makonda ulifanya ziara nchi nzima na kuhitimisha kwa kusema umekuta nchi nzima inanuka dhuluma kutokana na wananchi kufanyiwa dhuluma kubwa na viongozi waliopewa dhamana katika ngazi za wizara, mikoa na wilaya hadi ukafika hatua ya kutoa machozi.
Jambo la kusikitisha sana tukio la...
Salaam Wakuu,
Nimeshangaa kuona Paul Makonda kubadili gia angani. Alipoanza kujitangaza, alikuwa akiwasimamisha Mawaziri watoe ufafanuzi na Wengine alikuwa akiwapigia simu akiwa majukwaani huku akisema Mawaziri mizigo siku zao zinahesabika.
Alifika mbali na kuwataka Mawaziri wawe wanatuma...
Paul makonda ni kizazi kipya cha dhahabu yeye na vijana wenzake wengi.
Kama unamchukia kwa Leo utakuwa unafanya makosa makubwa sana ! Makonda ni kitabu kikubwa kilichobeba hatima ijayo. Hawa unaowaona Leo 2030 watakuwa wamekata pumzi kabisa. Wengi watakuwa wamezeeka na wengine wamestaafu...
#UWAJIBIKAJI: Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Paul Makonda amesema katika ziara zake alizofanya katika Mikoa 23 nchini, amebaini matatizo na kero kubwa zinazowakabili Wananchi ikiwemo Watu kudhulumiwa Ardhi na tatizo la Hati Batili.
Amesema Ipo dhulma kubwa kwenye Sekta ya Ardhi, huko...
Unakaribia mwezi mmoja sasa tangu msafara Ndugu Paul Makonda, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, upate ajali kule Sululu, Masasi mkoani Mtwara. Ajali hiyo iliyohusisha magari yapatayo 10, ilitokea tarehe 11 mwezi uliopita na kusababisha uharibifu wa magari kadhaa yakiwamo ya...
Hivi hawa CCM walishatuona maboya?
Leo hii PM Majaliwa amegeuka kuwa kamanada wa Takukuru Tanzania nzima.
Kila wilaya ina ofisi za Takukuru na wachunguzi kibao. PM Majaaliwa halijui hili? Pesa anazotumia kuzunguka si zingejenga shule kibao?
Huyu Makonda mwenye mikwara mbuzi majukwwani mbona...
Katika maamuzi ya hovyo ambayo CCM wamewahi kuyafanya ni kumrudisha huyu kijana katika nafasi kubwa sana ndani ya chama.
Pengine ni katika hali ya kutapatapa kisiasa kwa rais Samia na Pengine kwa sababu ya urafiki wake na Makonda uliomsukuma Rais atumie nguvu na ushawishi wake kumrudisha...
Nilishasema kuwa watafichwa Watu wote juu ya yanayoendelea ila siyo Malaika mpendwa mimi wa Mwenyezi Mungu GENTAMYCINE, ila nikisema hivi huwa mnaniona kama vile hamnazo (nimedata) Kunakotukuka.
Kama kuna Kosa kubwa na la Kiufundi ambalo CCM na hasa Rais Samia (Mwenyekiti CCM Taifa) alilifanya...
Katika utawala wa Jiwe vijana wake wengi walifanya unyama mwingi sana.
Lissu anasema MAKONDA ni jambazi sana aliyetumia jina la Jiwe kuwatapeli wafanya biashara.
Alimtapeli GSM kuwa Rais Magufuli amemtuma amwambie GSM amjengee nyumba.
Kama ni kweli Jiwe alimtuma basi hiyo awamu ilikuwa ni ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.