Dorian Gray, kijana mtanashati na mwenye mwonekano mzuri anachorwa picha yake na mchoraji Basil Hallward.
Mchoraji huyo ana rafiki yake anayeitwa Lord Henry Wotton, ambaye anavutiwa sana na Dorian pamoja na picha yake.
Lord Henry anamweleza Dorian jinsi ujana ulivyo kitu kizuri na muhimu, ila...