Kuwa makini na mzigo wako unapofika Stendi ya Magufuli, unaweza kujikuta unaozea Segerea

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Feb 26, 2018
2,490
3,534
Habari wadau..!

Hii imewakuta watu ninao wafahamu.

Ipo hivi unaweza ukawa umesafiri salama ila ukishuka tu kituo cha bus pale stand ya Magufuli unapokelewa moja kwa moja mpaka polisi post ukizingua kunyoosha mkono au maelezo unajikuta upo Ukonga, Keko au Segerea sijajua sasa kama ni ubambikiwaji kesi au ni coincidence inatokea.

Usiniulize inakuwaje:Jamaa anahadithia alienda kwenye msiba mkoani wakati wa kurudi akafungashiwa mizawadi ya ndizi na mazagazaga alipofika stand akasimamishwa na watu wanajiita polisi jamii wakawapakia na mizigo yao mpaka kituo cha polisi, polisi wakachana katikati ya kiroba wakakutana na kitu ya marijuana msala ndio ukaanzia hapo.

Je hii ni coincidence kwamba kuna wahuni walichanganya viroba wakabeba sio, utapeli mpya mjini au ubambikizwaji kesi za bangi???
 
Inawezekana amebambikiwa au anafanya hyo bizness

Wiki mbil zilizopita nilisafir kwenda Arusha na bas ya osaka toka dsm tulipofka korogwe walipanda wadada 2 visu hatari lakn pale mwanga wale wadada walidakwa na bangi na askari aliwapoint wao mojakwamoja kila mtu alishtuka

Askar wanakuwa na informer wao
 
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kuna mwana alisafiri toka mwanza akaweka begi kwenye buti ,wakati wa kushuka akazama kwenye buti akakutana na begi kama lake alipofungua akakuta full mzigo wa bangi ikabidi aliache pale pale hakupata begi lake mpaka leo
 
Je hii ni coincidence kwamba kuna wahuni walichanganya viroba wakabeba sio,utapeli mpya mjini au ubambikizwaji kesi za bangi???
Wakati anatoka, alihakikisha mzigo ni salama?!

1. What if waliyemfungishia mzigo waliweka mzigo haramu bila kufahamu ambao, baada ya kufika Dar salama, mwenyewe ndo angejitokeza na kusema kuna mzigo wake ndani ya mzigo.

2. What if kama kakomolewa ama na mbaya wake or anything like that. Kwamba, kuna mtu ana bifu nae na akaamua kumtia adabu kwa kuwatuma watu wafanye walichomfanyia! (Hao polisi jamii walifahamu vp kwamba kulikuwa na mzigo haramu ndani ya mzigo wake?!)

3. Nani anaweza kukubali kirahisi kwamba alibeba ganja? What if katika kujikosha tu kwako, akajifanya alikuwa hafahamu chochote kuhusu mzigo kumbe alikuwa anafahamu from A-Z; na kwamba mzigo ni ama wa kwake mwenyewe alikuwa anausafirisha knowingly kwa mtu! (Namba 2 hapo juu, au mzigo ni wa ndizi lakini ukawa unatoa manukato mazuri ya kukata harufu ya ganja na hivyo kutengeneza mashaka ambayo hata mbebaji alitakiwa kushtuka mapema kabisa?)
 
bado maswali mengi hata mm najiuliza
 
Ile stand ya ubungo kasoro yake ilikuwa mpangilio mbovu na miundo mbinu isiyo rafiki Kwa abiria lakini hakukuwa na uswahili,uonevu na vibaka wengi kama hii stand mpya! Nahisi ni kwakuwa mabasi mengi hayana ofisi pale ingekuwepo nahisi abiria wasingekuwa wanasumbuliwa kama ilivyo Leo,rushwa na usumbufu wa hapa na pale

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Ile stand imejengwa vizuri sana ila customer care,wizi na vitisho mshenzi Kwa abiria vimezidi!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Yeah pale full time...mwezi wa 9 nilifika pale saa 8 usiku kutoka Sumbawanga nikaona ngoja nikaushe mpaka asubuhi pale pale na kweli kulikua na shuguli muda wote kuna gari mpaka saa 9-10 zilikua zinashusha watu.
Hivi stendi ya magufuli abiria wanaotoka mbali na kushindwa kufika mapema saa 11 asubuhi.wanaruhusiwa kuja usiku kusubiri pale?
 
mzigo mi huwa naufunga mwenyewe na ninaufungaji wa peke yangu kiasi kwamba mtu akifungua awezi rudisha kama nilivyofunga, kwahiyo nikikuta tofauti lazima niwe na mashaka na pia naweka alama ktk mzigo wangu .
Makini sana upo🙌
 
Ile stand ya ubungo kasoro yake ilikuwa mpangilio mbovu na miundo mbinu isiyo rafiki Kwa abiria lakini hakukuwa na uswahili,uonevu na vibaka wengi kama hii stand mpya! Nahisi ni kwakuwa mabasi mengi hayana ofisi pale ingekuwepo nahisi abiria wasingekuwa wanasumbuliwa kama ilivyo Leo,rushwa na usumbufu wa hapa na pale

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
uonevu kama upi?
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom