Kilichopangwa kutokana na Hujuma ya N-CARD dhidi ya Simba SC katika Simba Day ni hiki... Viongozi wa Simba SC muwe makini

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
1. Watu wa Data ( N-CARD ) kwa Kushirikiana na Wakubwa Wawili ( Mmoja Waziri na mwingine Katibu Mkuu ) wamefanya hivi ili Mashabiki wa Simba SC wakate Tamaa na wasiende Uwanjani Klabu ikose Mapato makubwa.

2. Watu wa Data ( N-CARD ) kwa Kushirikiana na Wakubwa Wawili ( Mmoja Waziri na mwingine Katibu Mkuu ) wamefanya hivi ili Mashabiki wa Simba SC wapandwe na Hasira wafanye Fujo Simba Day na Klabu iadhibiwe na Serikali pamoja na Mapolisi ambao kwa bahati mbaya Kwetu ila bahati nzuri Kwao ni kwamba hata IGP ni Yanga SC lia lia.

3. Watu wa Data ( N-CARD ) kwa Kushirikiana na Wakubwa Wawili ( Mmoja Waziri na mwingine Katibu Mkuu ) wamefanya hivi ili Kusahaulisha Watu ( Kubalansi ) na Matokeo mabaya na ya kutia Aibu ambayo Yanga SC itayapata huko ilikoenda Mjini Port Harcourt nchini Nigeria kucheza na Rivers United FC.

4. Watu wa Data ( N-CARD ) kwa Kushirikiana na Wakubwa Wawili ( Mmoja Waziri na mwingine Katibu Mkuu ) wamefanya hivi ili Mashabiki wa Simba SC watakaokuwa na Hasira kwa Usumbufu na Kupatikana Tiketi kwa Mtandao kusumbua Waharibu Muundombinu ya Uwanja wa Mkapa kisha Simba SC izuiwe Kuutumia huo Uwanja ili kuifanya isije kupata Pesa nyingi.

5. Watu wa Data ( N-CARD ) kwa Kushirikiana na Wakubwa Wawili ( Mmoja Waziri na mwingine Katibu Mkuu ) wamefanya hivi ili Mashabiki wa Simba SC wasifurike mpaka Kuvunja Rekodi zote Uwanja wa Mkapa na Rekodi ya karibuni iendelee Kushikwa na Yanga SC kwa muda huu.

6. Watu wa Data ( N-CARD ) kwa Kushirikiana na Wakubwa Wawili ( Mmoja Waziri na mwingine Katibu Mkuu ) wamefanya hivi ili Kuikomoa Simba SC na Kufifisha Umaarufu wake mkubwa ndani na nje ya Tanzania kwa miaka ya hivi karibuni.

7. Watu wa Data ( N-CARD ) kwa Kushirikiana na Wakubwa Wawili ( Mmoja Waziri na mwingine Katibu Mkuu ) wamefanya hivi ili Kulifurahisha Genge ( Kikundi ) cha wana Yanga SC ( tena Waandamizi ) walio katika Serikali ya Rais Samia na ambao wote hawa wanatumika na Mstaafu Mmoja Kikatiba.

Ushauri wa bure kwa Simba SC yetu

Baada ya Mightier kuwafumbueni hivi ninachowaomba tu toeni upesi Elimu kwa Mashabiki wa Simba SC kuwa wasifanye Fujo ya aina yoyote ile kwani tumewekwa Mtegoni Kimakusudi ili tufanye Tukio la Hasira kisha wapate Kisingizio cha Kutumaliza kama siyo Kutukandamiza.

OMBI

Tafadhali naomba upesi sana kama Wewe ni mwana Simba SC na una access ya namba za Simu za akina Mohammed Dewji, Barbara Gonzalez, Mangungu, Kaimu Msemaji Ezekiel Kamwaga na Crescetius Magori ili walijue haraka na waanze Kulifanyia Kazi na ikiwezekana hata Kujihami nalo.
 
Kwenye Mechi za ligi sawa!,
Mechi za Club bingwa sawa!,
Mechi za FA na mashindano mengine yote ya kitaifa sawa! Kutumua mfumo wa N-CARD kwenye kukata ticket kwasababu ni mambo ya kitaifa na seriikali hivyo kutumia mfumo wa malipo wa serikali ni kawaida.

Hili tamasha la Simba Day lina mahusiano gani na malipo ya serikali na mfumo wake wa malipo?, kivipi yani??

Gharama za kukodi uwanja wa taifa kwa siku moja zina fahamika makato ya kodi kwa mapato ya tamasha yanajulikana kivipi sasa simba hawaku andaa ticket zao kama matamasha mengine yasio ya serilikali kama FIESTA ,WASAFI FESTIVAL au NANDY festival yanavyo fanya??

Inamaana wasafi festival ikifanyika taifa ticket zitakatiwa kwenye Ncard?

Kuna uzuzu hapa unaendelea!!
IMG-20210916-WA0136.jpg
 
1. Watu wa Data ( N-CARD ) kwa Kushirikiana na Wakubwa Wawili ( Mmoja Waziri na mwingine Katibu Mkuu ) wamefanya hivi ili Mashabiki wa Simba SC wakate Tamaa na wasiende Uwanjani Klabu ikose Mapato makubwa.

2. Watu wa Data ( N-CARD ) kwa Kushirikiana na Wakubwa Wawili ( Mmoja Waziri na mwingine Katibu Mkuu ) wamefanya hivi ili Mashabiki wa Simba SC wapandwe na Hasira wafanye Fujo Simba Day na Klabu iadhibiwe na Serikali pamoja na Mapolisi ambao kwa bahati mbaya Kwetu ila bahati nzuri Kwao ni kwamba hata IGP ni Yanga SC lia lia.

3. Watu wa Data ( N-CARD ) kwa Kushirikiana na Wakubwa Wawili ( Mmoja Waziri na mwingine Katibu Mkuu ) wamefanya hivi ili Kusahaulisha Watu ( Kubalansi ) na Matokeo mabaya na ya kutia Aibu ambayo Yanga SC itayapata huko ilikoenda Mjini Port Harcourt nchini Nigeria kucheza na Rivers United FC.

4. Watu wa Data ( N-CARD ) kwa Kushirikiana na Wakubwa Wawili ( Mmoja Waziri na mwingine Katibu Mkuu ) wamefanya hivi ili Mashabiki wa Simba SC watakaokuwa na Hasira kwa Usumbufu na Kupatikana Tiketi kwa Mtandao kusumbua Waharibu Muundombinu ya Uwanja wa Mkapa kisha Simba SC izuiwe Kuutumia huo Uwanja ili kuifanya isije kupata Pesa nyingi.

5. Watu wa Data ( N-CARD ) kwa Kushirikiana na Wakubwa Wawili ( Mmoja Waziri na mwingine Katibu Mkuu ) wamefanya hivi ili Mashabiki wa Simba SC wasifurike mpaka Kuvunja Rekodi zote Uwanja wa Mkapa na Rekodi ya karibuni iendelee Kushikwa na Yanga SC kwa muda huu.

6. Watu wa Data ( N-CARD ) kwa Kushirikiana na Wakubwa Wawili ( Mmoja Waziri na mwingine Katibu Mkuu ) wamefanya hivi ili Kuikomoa Simba SC na Kufifisha Umaarufu wake mkubwa ndani na nje ya Tanzania kwa miaka ya hivi karibuni.

7. Watu wa Data ( N-CARD ) kwa Kushirikiana na Wakubwa Wawili ( Mmoja Waziri na mwingine Katibu Mkuu ) wamefanya hivi ili Kulifurahisha Genge ( Kikundi ) cha wana Yanga SC ( tena Waandamizi ) walio katika Serikali ya Rais Samia na ambao wote hawa wanatumika na Mstaafu Mmoja Kikatiba.

Ushauri wa bure kwa Simba SC yetu

Baada ya Mightier kuwafumbueni hivi ninachowaomba tu toeni upesi Elimu kwa Mashabiki wa Simba SC kuwa wasifanye Fujo ya aina yoyote ile kwani tumewekwa Mtegoni Kimakusudi ili tufanye Tukio la Hasira kisha wapate Kisingizio cha Kutumaliza kama siyo Kutukandamiza.

OMBI

Tafadhali naomba upesi sana kama Wewe ni mwana Simba SC na una access ya namba za Simu za akina Mohammed Dewji, Barbara Gonzalez, Mangungu, Kaimu Msemaji Ezekiel Kamwaga na Crescetius Magori ili walijue haraka na waanze Kulifanyia Kazi na ikiwezekana hata Kujihami nalo.
Kwa akili hizi lazima uvalishwe ile minyago ya Mo Dewji sijui mnaiitaje wenyewe!!
 
Naona Sasa mnatafuta sababu,Babra kuteleza siyo kuanguka Tafakari mmekosea wapi mjisahihishe makosa yenu,Acheni ujanja ujanja nyie,Mnawafanya mashabiki wa Simba mazombi
 
Hivi simba nayo imeanza kuwa lawama fc?
 
Hii yote ni kwa sababu ya uduwanzi wa N card.
Ni ngumu kwa Simba kuweka utaratibu wake kwa sababu imekodi tu uwanja ni mali ya serikali. Kodi ya serikali sio fixed itategemea mapato ya mlangoni. Kwa hiyo mfumo pekee kwa serikali kuniridhisha kama kweli mmepata 300m ni N card na sio mfumo wa Simba Sc.

Hizo Nandy Festival hazifanyikii taifa,hata Simba ingetaka hivyo ingefanyia popote lakini sio kwa Mkapa na Uhuru,ile ni mali ya mtu mwingine kwa hiyo lazima wafate masharti.

Kero ni kubwa sana
 
Nilikuwa nasikia kuwa hii nchi tumelogwa nikawa siamini,ila sasa naamini hilo..Kwasabu;

1.Iweje club iliyoliletea taifa heshima na sifa kubwa (Simba SC) ichukiwe namna hii? mbona Simba imelitangaza sana Taifa letu na kulijengea heshima,kwanini itendewe hivyo?

2.Iweje club isiyojielewa na yenye kulifedhehesha Taifa ndo iwe ipendwe? mara 'imepigwa nao' na akina Kapumbu na Isaac Shamtompa, mara imeliwa kiboga chumbani kwa wazazi na Rivers United,halafu bado ndo inapendwa! NCHI YETU IMELOGWA.

Simba ina bahati mbaya.Ni sawa na mtoto mwenye mafanikio,utu na upendo kuzaliwa kwenye familia ya kichawi.Akijifanya kuwajengea wazazi wake nyumba na kuhakikisha wanakula vizuri lazima atakufa mapema na kuyaacha 'matoto' yasiyo na msaada kwa wazazi hao yakiishi maisha marefu. It feels sad!
 
Back
Top Bottom