Leo nikiwa mmoja ya Watanzania walioalikwa kwenye mnuso na Wakenya iliyofanyika nyumbani kwa Mkenya mmoja maeneo ya Mbezi Beach, baada ya kupiga gambe la uhakika, Wakenya walianza kuropoka. Ila nilishtushwa na kushanganzwa jinsi walivyokuwa wakisema waziwazi, kwamba maendeleo ya Kenya hasa...