makini

Jully Makini (also known as Jully Sipolo) (born c. 1953 (age 64 in 2017)) is a Solomon Islander poet, writer and women's rights activist. The author of poems such as Civilized Girl (1981) and Praying Parents (1986), in June 2017 she received the International Women of Courage Award from the US Secretary of State for her work in promoting women's rights in the Solomon Islands.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Serikali iwe makini na sheria mpya za kutoza kodi hasa BRELA, TRA N.K

    Kuna baadhi ya taasisi za serikali zinazokusanya mapato hivi karibuni zimepewa au kuanzaisha namna ya kuongeza mapato yao kupitia sheria mpya, Mfano BRELA wana sheria ya Kufile Beneficial Ower Details kabla 31, dec,21 kwa makampuni yote, na wanadai kutofanya ivyo faini yake ni...
  2. Midnight

    Angalizo, Tuwe makini

    Naandika ujumbe huu nikiwa na loss ya Kama 50k+ hivi. Aisee kuna hivi vi-pub ushenzi vimemiminika kila baada ya mlango mmoja wa flem, yaani ni mwendo wa duka la nguo, pub, duka la chakula pub... Hivyo hivyo kwa nguvu ya 5G hadi hatulali na pesa siku hizi. Sasa basi wamiliki wengi wa vi-pub...
  3. R

    Udikiteta sio dili tena. Wanaccm Kwa haya mapigo saba(7) mna la kujifunza?? Msipokuwa makini mtapata magonjwa ua akili.

    Habari za Mchana huu. Tukiwa tunafunga wiki kuelekea wikendi hebu tutafakari kidogo. Nimegundua udikteta sio ishu tena kwenye ulimwengu unaostaarabika. Dunia ya Sasa madikteta wa zamani wapo lakini hawa wapya wanaoibukia kishamba hakuna nafasi tena kwao. Dunia inapambana na hawa wachache...
  4. N

    Inaonesha Wasaidizi wa Rais hawako makini kivile!

    Kuhusu kukosea kosea kwa maneno kunazidi kuongezeka kwa Mheshimiwa Rais wetu. Wkt akihojiwa na BBC aliongea kuwa wenzake Mbowe walishafungwa na ilikuwa inasubiriwa Mbowe tu arudi kutoka ughaibuni naye afungwe! Ninavyojua mimi kwa mtu asiyeelewa (yaan layman) hata kupelekwa mahakamani ni sawa na...
  5. beth

    Mahakama yatupilia mbali mapingamizi ya utetezi, maelezo ya Mohamed Lingw'enya yapokelewa na Mahakama. Kesi kuu kuendelea Des. 15, 2021

    Usikilizwaji wa Kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu; Halfan Bwire Hassan, Adamu Hassan Kasekwa na Mohammed Ling'wenya inatarajiwa kuendelea leo Desemba 14, 2021 Mahakama inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu pingamizi la Mshitakiwa Mohammed...
  6. B

    Uhuru Day: Tuliposahau Hadhira ilikuwa pia na Wageni Waalikwa

    Kupiga hatua ni pamoja na kujifunza kutokana na makosa. Kwa kuangalia tukio la jana, umuhimu wa kuwa na moderators (@mods) unaonekana wazi. Pana haja ya kuwaandaa moderators katika hadhira kutegemeana na wageni waalikwa. Kwa kweli kubeza majanga ya Nzige wakati waathirika wapo kulikuwa...
  7. Faana

    Wakina Mama kuweni makini na kuchangia simu zenu na Binti zenu, akina Baba kuweni na utu

    Nilikuwa sehemu kwa mafundi umeme wa magari Kinondoni, nimesikitika kumsikia baba mmoja akimsimulia rafiki yake kuwa anatembea na mama mmoja wa binti waliyeshindana kimahusiano in other words amechanganya mama na mwana kimapenzi. Kisa ni kwamba siku moja binti alimpigia simu mwanaume wake kwa...
  8. Song of Solomon

    Epuka mtego wa shetani, kuwa makini sana

    Punda mmoja alikuwa amefungwa kwenye mti. Shetani (Pepo) akaja akaifungua ile kamba. Punda baada ya kujiona yuko huru, akaingia kwenye shamba na kuanza kula kila kitu. Mke wa mwenye Shamba (Mke wa mkulima) akahofia Punda anataharibu kila kitu, hivyo akachukua bunduki, akamuua yule Punda...
  9. The Assassin

    Rick Ross yuko makini sana na afya yake

    Rapa Rick Ross ni mtu makini sana inapokuja swala la afya yake. Rick Ross sio mtu wa kuvamia machaka ya ajabu ajabu bila tahadhari kubwa na kinga. Rick ni mtu anajua kwamba sio kila machaka unayaongia ingia tu kienyeji, utakutana na miba, wanyama wakali, manyoka makali ama hata kuliwa na chatu.
  10. nyboma

    Wazazi muwe makini na birthday wanazokwenda vijana wenu. Birthday party nyingi ni sehemu ya kuhalalisha ushoga kwa Dar

    Siku hizi unaweza kukutana na kusanyiko la vijana wa kiume wakisherehekea birthday, kumbe ni kusanyiko la mashoga. Kuna birthday zinazo wakutanisha mashoga, vijana wadogo ingawa wengine watu wazima. Hili janga tusione aibu kulizungumzia kwa kudhani halipo nawahakikishieni lipo tena kubwa sana...
  11. patience96

    Angalia Picha Hii Kwa Makini Kisha Elezea kama ni Murder au Suicide

  12. luangalila

    Uingereza iwe makini na wauguzi wa Kikenya baada ya tukio hili

    Baada ya utata kuibuka last week kuhusu utaratibu wa kuwapa ajira wauguzi wa afya toka Kenya , wiki hili limetokea tukio ambalo pengine lita ibua maswali kwa serikali ya Uingerezaa kuhusu ubora na uweledi wa manesi toka kenya Ina daiwa kijana mmoja Mkenya anaidai fidia hospitali fulan baada...
  13. Fatma-Zehra

    Hii miradi siyo ya Hayati Magufuli, ni ya nchi. Waziri Makamba kuwa makini sana

    Kaka Janu shikamoo. Naomba leo nikupe ukweli ambao wengi hatuufahamu. "Wenye nchi yao", baada ya kuona taifa linalegalega, waliamua kumtafuta mwendawazimu mmoja ili alirudishe kwenye reli. Kwa ustadi mkubwa sana walifanikiwa kumchanganya JK kiasi kwamba amekuja kushtuka tayari JPM ni candidate...
  14. MUTUYAMUNGU

    Ajali mbaya, madereva muwe makini

  15. Ngamanya Kitangalala

    Tuwe makini sana na mikopo hii ya kutoka Bretton Woods Institutions (IMF & World Bank)

    Leo nchi yetu tumepata mkopo wa 1.3 trilioni kutoka IMF (International Monetary Fund) tumefurahia sana watanzania na kupongeza sana kwa hatua hii Lakini ukifuatilia sana mikopo hii, ambayo mabeberu wanasema eti ni mikopo ya masharti nafuu (concession loan) kutoka kwenye hizo taasisi za...
  16. Da'Vinci

    Wazazi kuweni makini na watoto wenu kuangalia muvi zenye superheroes Content

    Head's Up: Maneno nitakayoandika hapa haimaanishi kua nina dharau Uweza na Uumbaji/ Status ya-wa mwanamke katika Jamii. Kwanza kabisa mimi ni mpenzi wa Superhero based content, hasa content zinazotengenezwa na kampuni ya Marvel. Muvi hizi zinapendwa na watu wengi sana duniani wa rika zote na...
  17. M

    Rais Samia kwenye ziara yako huko Misri kuwa makini na ishu ya maji ya ziwa victoria

    Siku zote Misri imekuwa ikidai kuwa ina haki na maji ya mto na nile na chanzo chake kuliko nchi nyingine yoyote ya ukanda wa mto nile. Misri imekuwa ikirejea mkataba wa kikoloni unaoipa Misri share kubwa ya Maji hayo kwa kudai kuwa nchi ambazo mto nile na vyanzo vyake vipo havipaswi kutumia...
  18. K

    Tamisemi kuweni makini na yanayoendelea kwenye mgawanyo fedha za ujenzi za kujengea Hospitali na Shule

    Habari wanajukwaaa. Mimi ni mdau wa elimu na pia wa maendeleo ya wananchi kwa nimekuwa mfatiliaji mzuri wa maswala ya ujenzi hasa kipindi hiki ambacho tamisemi kupitia Rais wetu Samia Suluhu wamezamilia wanafunzi wote watakaoanza kidato cha kwanza mwakani waripoti wote.Lakini nimegundua...
  19. Prof Koboko

    Mawakili wa Serikali kuweni makini sana kwenye kesi ya Mbowe na wenzake

    Kama wakili Msomi ninaomba kuwashauri mawakili wa Serikali wakiongozwa na ndugu yangu Robert Kidando ambaye namheshimu sana, msifanye kazi kwa mazoea mtalitia taifa aibu. Kuweni makini katika kufanya kila jambo mMhakamani kila hatua achaneni na mazoea, Ugaidi si kitu cha mchezo hamjui tu...
  20. MTV MBONGO

    Mnaonunua magari, kuweni makini na usanii huu msije kujuta

    Kuna wimbi kubwa la usanii Wakati unapouziwa gari kwenye showroom: wateja wengi wanalalamika kuwa wauzaji wanaondoa Baadhi ya vifaa muhimu vya magari mf. Vifaa ndani ya Exhaust system n. k. Kagua vizuri kabla na uende kununua ukiwa na fundi gari. Wengi hawakagui, wanastuka Baadae wanapopeleka...
Back
Top Bottom