makamba

  1. Roving Journalist

    Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Nishati ya Trilioni 2.9: Gridi ya taifa kufika Kigoma na Katavi kabla ya Oktoba 2022

    Salaam, MWANZO 1. Serikali kuanza Ujenzi wa Vituo vya kujazia Gesi asilia kwenye Magari. 2. Ujenzi wa Mabomba ya kusafirishia Gesi kutoka Tanzania kwenda Kenya na Uganda waanza. 3. Kwa mara ya kwanza Kigoma na Katavi kuanza kupata Umeme wa Gridi ya Tifa. Akisoma Bajeti hiyo, Waziri wa...
  2. JanguKamaJangu

    Waziri Makamba: Hatujafanya uwekezaji, Miundombinu ya Umeme imechakaa na Gridi ya Taifa imezidiwa

    Changamoto kubwa ya umeme Nchini imetajwa kuwa ni kutofanyika kwa uwekezaji wa kuboresha miundombinu inayoendana na mahitaji kwa miaka mingi, ndio maana gridi ya umeme imekuwa ikizidiwa uwezo wa kufanya kazi. Waziri wa Nishati, January Makamba akiwa Mkoani Tabora wakati wa ziara ya Rais Samia...
  3. Bemendazole

    Bilioni 100 za Makamba zitumiwe kufunga mifumo ya gesi kwenye usafiri wa Umma!

    Bilioni 100 za Makamba zitumiwe kufunga mifumo ya gesi kwenye usafiri wa Umma! Nimekadiria jiji la Dar tu kuwa na dala dala si chini ya elfu hamsini ambazo zinatumia mafuta ya zaidi ya Bilioni 150 kwa mwezi ambazo ni zaidi ya trilioni moja kwa mwaka. Kuliko kuzipeleka fedha hizo kwenye kutoa...
  4. Magazetini

    Serikali kutoa ruzuku ya bilioni 100 kunusuru bei ya mafuta. Yaomba mkopo IMF na Benki ya Dunia

    Bunge litaendelea na vikao vyake leo na kubwa linalotarajiwa kutokea ni mrejesho wa hatua ambazo Serikali inatarajiwa kuchukua kukabiliana na kupanda kwa kasi bei za mafuta kunakotajwa kusababishwa na vita ya Urusi na Ukraine. Hali hiyo ilipelekea ongezeko la nauli kwenye daladala ambalo mara ya...
  5. ryan riz

    Wakazi wa Mkonze Dodoma jiji, barabara ya Iringa, tuna nguzo za REA huu mwaka wa pili zimesimamishwa ila hazina nyaya

    Kichwa cha habari chajieleza.. Huu mwaka wa pili tangu hizi nguzo zisimamishwe baada ya agizo la Hayati Magufuli alipopita kwenda ziarani Iringa.. Alisema haiwezekani anapita mjin halafu kuna giza tuwekewe umeme haraka sana. Nguzo zikawekwa alipofariki na umeme umefariki pia.. Sasa hivi...
  6. C

    Ni nani alipendekeza Mwigulu awe Waziri wa Fedha na Makamba Jr awe Waziri wa Nishati?

    Habari Watanzania, Hivi kweli nchi ya Tanzania, Mwigulu aliyeibuliwa na JK, baada ya sakata la Escrow, kijana wa kazi chafu kabisa kutokea huko UVCCM wkt huo...mkaona ndie awe mtunga sera namba moja za Fedha, na mshauri mkuu wa Uchumi wa Rais ktk Taifa hili? Mlikuwa mnajaribu? Au kuna kazi...
  7. Komeo Lachuma

    Mliokuwa mnamwona January Makamba na Nape ni Mashujaa... bado mna dhana hiyo?

    Nliwahi waambia watu flani Nape wala Makamba hawajawahi kuwa smart. Ila waliokuwa wanadhani hao watu ni smart wao ndo hawakuwa smart. Ilishangaza sana kuna watu kabisa wakaanza na kumpigia debe Makamba kuwa Rais....nikaona hii nchi mnadhani sisi sote ni MAZUZU so mnataka tuishi kwa akili zenu...
  8. Scaramanga

    Nampongeza Waziri Bashungwa, Makamba na Masauni igeni

    Nichukue nafasi hii kumpongeza Waziri wa Tamisemi Mh Bashungwa kwa hatua aliyochukua kuhusu kero ya maegesho ya gari toka Tarura walipojikita na mfumo wao. Ni kweli Tarura walifikia hatua ya kujisahau kazi yao ya msingi na kuamua toza tozo za maegesho ndiyo maana hata kero walikuwa hawajali...
  9. Suzy Elias

    Huenda January Makamba ana gundu

    Kwa nini mambo yake mengi hayakubaliki na watu?! Tuhuma za ujanja ujanja ili afanikiwe mambo yake zimetamalaki mno hali inayoelezwa huenda ni fisadi-pengine?! Mbaya zaidi hakubaliki na kila analolifanya hali inayowapelekea watu kumuona ni mhuni wa kisasa ndani ya kazi ya siasa. Huenda analo...
  10. Notorious thug

    Namfananisha January Makamba na Harry Maguire!

    Pale Manchester United kuna mchezaji ambaye amekua akishutumiwa na kupewa lawama nyingi kutokana na ufanisi wake uwanjani Harry Maguire hivyo hivyo kwa Waziri January Makamba ambaye wizara yake iimepoa mithili ya mchuzi wa juzi usiokua na nyama.
  11. F

    Hili la Symbion kulipwa Tshs. Bilioni 356, January Makamba tunakutahadharisha mapema

    Mimi binafsi kama Fumadilu Kalimanzila toka ulipoteuliwa kuwa Waziri wa Nishati na ukaanza kuunda Bodi ya TANESCO na haraka sana hata kabla ya kutembelea miradi uliyokuta chini ya Wizara yako kama ule wa Nyerere Hydropower (Stiglers Gorge) ukakimbilia ubalozi wa Marekani kuanza kuomba misaada...
  12. Analogia Malenga

    Rais Samia: Hata Washington umeme unakatika ingekuwa Tanzania, Makamba angetukanwa

    Rais Samia Suluhu Hassan akiwahutubia watanzania walioko Marekani amesema alishangazwa na umeme kukatika nchini humo ambapo amesema ingekuwa Tanzania, January Makamba angetukanwa
  13. Nyankurungu2020

    Mzee Kinana anza na January Makamba na Mkataba tata wa Mahimdra Tech

    Huu mkataba wa bil 70+ uligubikwa na utata mkubwa juu ulivyoingiwa na umuhimu wake kwa Tanesco. Kwa ufupi hapa kuna harufu ya ufisadi mkubwa sana maana bil 70 ya kitanzania ni pesa nyingi. Madhari umeanza kudili na ufisadi basi huu ndio wakati muafaka kuwalaani wanao wapiga madili na ufisadi.
  14. Nyankurungu2020

    Kwanini Zitto Kabwe anapotosha taarifa ya CAG ili kumchafua Hayati Magufuli?

    Kama anajua fika kuwa ni utaratibu wa kawaida CAG akiibua hoja basi lazima PAC na LAAC wazipitie na kuhakiki kama kuna ubadhirifu basi wao ndio watatoa majumuisho. Lakini amekomaa kumchafua hayati JPM kwa nini? Huyu kiongozi wa Act Wazalendo anatumika na wanaCCM kwa manufaa ya gani kumchafua...
  15. Nyankurungu2020

    Kama Rais Samia anashaurika na msikivu awafute kazi ya uwaziri January Makamba na Nape, ni mawaziri mzigo kwa taifa

    Wananchi wa kila kada wamepiga kelele na kushauri mkuu wa nchi amfute kazi January Makamba maana tangu aingie Wizara ya Nishati kila kitu kimeenda mrama. Bwawa la Nyerere ambalo kama lingekamilika Juni 2022 lingekuwa msaada mkubwa kwa Watanzania na kuleta ahueni ya maisha maana gharama za...
  16. chiembe

    Magenge ya awamu iliyopita yaligawana tenda za ujenzi wa mradi wa Stiglers wenye thamani ya trilioni 20, wamejaa hofu kuumbuliwa na CAG na Makamba

    Kwa wasiojua, mmisiri pale ni nyapara, hajengi, hawa Chato dynasty ndio wameji subconstruct . Magenge ya awamu ya tano yaligawana tenda ya ujenzi wa mradi wa Stiglers, hawa wanaopiga kelele na kumshutumu Waziri Makamba, ni kwamba wameanza kuuona moto, kampuni zao zimeanza kuitwa moja baada ya...
  17. tang'ana

    Legacy ya Yusuph Makamba ni ipi haswa?

    Naomba kueleweshwa ni ipi legacy ya ndugu yusuph Makamba hapa Tanzania kwenye chama chake na serikalini kwa ujumla.
  18. Guselya Ngwandu

    Mnamshambulia Rais Samia kwa kivuli cha January Makamba

    Halafu kinachonisikitisha ni namna mnavyotumia Ukabila, eti tuonekane Wasukuma na watu wa Kanda ya Ziwa kwa ujumla hatumtaki Rais wetu. Ni nani aliyewaroga ninyi? Juzi hapa Joel Luhaga Mpina katoka hadahrani akiwa amekula maharage, akaanza kuropoka maneno. Anamshambulia Rais Samia na Serikali...
  19. Chizi Maarifa

    Makamba Yusuf. Na hawa Wananchi waliokunjamana uso utadhani wanaangalia jua kali, lini wataanza Kulamba Asali kama Ninyi?

    Hii nchi inaumiza sana moyo. Yaani wakati wananchi wa kipato cha chini wanaumia na maisha magumu wakilambishwa Shubiri. Kuna mtu anatamba kuwa wao wanalamba asali. Na mbaya zaidi kuna watu wanampigia makofu na kushangilia. Hili ndilo lililoniumiza zaidi. Yaani form one wanacheka na form two...
  20. Ettore Bugatti

    Hizi ni tuhuma nzito kwa Waziri January Makamba, Je kuna ukweli hapa?

    Something is not right, s'thing is quite wrong mazee.. Wakuu siongezi kitu, tumsikilize mwamba hapa..!!!
Back
Top Bottom