Kama unapenda aendelee kuwa waziri sasa unaweza kumbadilisha vizara ila kwa wizara ya nishati kusema kweli ni changamoto kubwa:
Watu wanalia kila kukicha lakini wewe kuna uwezekano hupati taarifa sahihi,ila naomba ujue hali sio nzuri!
Gharama za maisha zimepanda watu wa ofisi ndogondogo kama...
Ma-Ded waanza kushushiwa moto,Sasa kuwapisha wenye uwezo wa kukusanya Mapato,
Wakati halmashauri 85 zikikusanya mapato chini ya kiwango zilichopangiwa, Serikali imeanza kuchukua hatua dhidi ya wakurugenzi wake (DED), ikiwataka watoe maelezo ya kilichotokea.
Katika halmashauri hizo...
Serikali imetangaza kununua umeme kwa wawekezaji
Chanzo: ITV Tanzania/ facebook
--------
Waziri wa Nishati, January Makamba na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe wametumia jukwaa moja kutoa majibu ya wananchi wa Lugalawa, wilayani Ludewa mkoani hapa, kuhusu upatikanaji wa umeme na mbolea kwa...
Waziri wa Nishati, Makamba amempigia simu Waziri wa Kilimo kuhusiana na suala la tatizo la kilio kikubwa cha bei ya Mbolea akiwa kwenye mkutano wa wananchi Ludewa, inamaana Bashe hawezi kusimamia majukumu yake hadi asaidiwe na makamba au Bashe hawezi kufanya ziara Ludewa kuzungumza na wakulima...
Wakati anaapishwa kuwa Waziri wa Nishati, Januari Makamba aliapa kuilinda na kuitetea Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyowekwa kwa mujibu wa sheria.
Pia wakati anakula kiapo cha Maadili ya Viongozi wa Umma aliapa kutotumia cheo chake kutoa upendeleo kwa ndugu yake au rafiki yake...
Kuna mambo Kwa sasa ukitumia akili kufikiri, utajiridhisha kwamba,
Kwa sasa utawalala huu hauhitaji watu wenye weledi katika kusukuma gurudumu la maendeleo ya nchi hii, isipokuwa ni kubebana tu ili mtoto wa aliyekuwa Fulani serikalini ale.
Na wakati mwingine ukitizama saaana kwa jicho la mwewe...
"TUJIKUMBUSHE KIDOGO"
Mwanzoni mwa mwaka huu, mwezi Januari, Waziri wa Kilimo Hussein Bashe aliagiza mtuhumiwa aliyekuwa amekamatwa kwa kosa la kuendesha kiwanda bubu cha kutengeneza mafuta ya Mawese katika Kijiji cha Kongowe-Kibaha, Halifa Said atafutwe na asaidiwe na Shirika la kuhudumia...
Habari wana Jf ,ninapata shida sana kuamini kwamba kabla ya kuteua mtu kuwa kiongozi tunafuatilia kwa kina sana .
Kwa J Makamba mbali na kwamba ana roho nzuri na ndicho kitu nacho kipenda kwake nimeona haya :-
1.Kutakuwa na Shida kwenye ufaulu wa darasani ,sidhani kama ufaulu wake unaonyesha...
Waziri wa Nishati, Januari Makamba amesema kama kuna mtu anataka kutapika kwa sababu kina mama wa vijijini wamepata mitungi ya gesi basi aende pembeni kutapika lakini hataacha wala kusimamisha zoezi la kugawa mitungi kwa sababu ni msaada mkubwa kwa akina mama.
"Sasa kama kuna mtu anataka...
Mwanzoni mwa miaka 2012 hadi 2015 jina la Januari Makamba lilikuwa na mvuto mkubwa kwenye umma hasa mitandaoni na hata wengi tuliamini anafaa kwa nafasi ya Urais kama ambavyo aliingia kwenye mchakato na kufanikiwa kuingia Tano bora.
Nini kimesababisha umaarufu wa Januari Makamba kuporomoka...
Mbunge wa Tabora Mjini, Emmanuel Mwakasaka amesema pamoja na mambo yote yanayofanywa na Wizara ya Nishati lakini wananchi wa Tabora wanataka umeme. "tuongeee yote wanataka kuona umeme ni umeme ni umeme
Naye Mbunge wa Urambo, Margareth Sitta amesema nishati ya umeme kwa wananchi ni uchumi na ni...
Matatizo ya viongozi wetu wengi ni kujifanya wanajua masuala ya ukandarasi na ujenzi wakati kiukweli ni watupu kabisa.
Taarifa ya habari saa mbili ITV waziri Makamba amewaonya makandarasi wazawa kwa kutokamilisha miradi kwa wakati.
Waziri kaongea hivyo akiweka jiwe la msingi kiwanda cha...
Wana Bodi suala la Waziri wa Nishati, Januari Makamba kuhamasisha matumizi ya majiko ya gesi limepitishwa na Bunge hili la Bajeti lililomalizika Juni 30.
Kama mnavyofahamu Bunge linasimama kwa niaba ya wananchi na wao ndio wameidhinisha atumie Shilingi Milioni 500 kwa kazi hiyo ya kuhamisha...
DCI mpya Kingai fungua file la uchunguzi dhidi ya tuhuma zinazomkabili Waziri Januari Makamba za kuvunja Sheria za nchi . Fuatilia Kashfa inayoendelea sasa ya kati yake na Kampuni Kubwa ya kuuza gesi ya Taifa gas
Nawasalimu sana wanajamvi,
Chondechonde kazi ya Uwaziri sio lelemama na hasa kwa nafasi yake. HUKU mikoani umeme hakuna, nchi ipo gizani lakini yeye yupo busy kugawa mitungi midogo ya gesi badala ya yeye kama Waziri wa Nishati kuangalia mambo yenye "impact" kubwa kwa watanzania kama suala la...
Tangu Waziri wa Nishati, Januari Makamba alivyoanza ziara yake ya mikoa 14 ya kugawa majiko ya gesi katika Mkoa wa Mara amekuwa akiandikwa ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanchi peke yake
Kama ziara hii ni ya kiserikali na ni ya kiongozi wa kitaifa kwanini magazeti mengine yakiwemo Nipashe, The...
Sifa ya asali ni utamu, Ila katika Serikali ya Rais Samia Suluhu ni faida wanazopata wananchi kutokana na mambo mazuri yanayofanywa na serikali ya awamu ya sita. Katika moja ya hotuba zake Rais Samia alisema moja ya mipango ya Serikali ni kuendelea kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha utalii wa...
Nimefuatilia biashara anayoifanya Makamba kanda ya ziwa, kugawa mitungi ya gesi kwa wananchi na sijatambua kama biashara hiyo ni endelevu.
Iwapo mitungi hiyo gesi itaisha ni nini hatma ya mradi huo?
Je, mitungi anayoigawa fedha ni kodi ya wananchi au ni fedha za CCM?
Je, Makamba ametumwa au...
Kumekuwa na mfululizo wa threads za kumpondea Makamba kila uchao!
Akijikwaa basi inafunguliwa thread hasi dhidi yake;
Akikohoa basi inafunguliwa thread hasi dhidi yake;
Akisalimia basi inafunguliwa thread hasi dhidi yake;
Akisalimia hali hiyohiyo;
Akitoa zawadi, kama wanavyofanya wengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.