Majina ya ukoo hayana wamiliki

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,605
8,744
Nimeona clip moja ya Gwajima eti anamwita baba yake miaka 87 na kumlaghai aseme kwamba ana mwamrisha mkwe wake asitumie jina lao.

Hakuna mtu binafsi ambaye anamiliki jina na koo yoote .

Haya majina ya koo yalikuwepo miaka mingi sana na wengi hata hawajui yametokea wapi. Hakuna mtu ambaye ni ana uwezo wa kuamua nani na yupi atumie jina la koo.

Hizi ni drama za kitoto za Gwajima. Huyu kaka yake Gwajima hakuchaguliwa kuwa Gwajima ni haki yake ya kuzaliwa
 
Kabisa! Upo sahihi. Ndo tatizo la watu ambao waliitiwa na Mungu wafanye kazi za madhabahuni, ili kuwalisha watu wa Mungu kiroho, lkn wao tena wanakimbilia kwenye vyeo vya kisiasa. Ko ni kama wamejichanganya vile.
 
Kuna mzee mmoja alizinguana na kijana wake, akamsusa kwamba si mtoto wake tena na asitumie jina lake. Kijana wake akakomaa kwamba jina la ukoo analotumia si la dingi yake bali ni jina la babu yake kwa hiyo ni haki yake kulitumia..........
 
We nae mpuuzi tu, kwanini ang'ang'anie jina la ukoo wa watu!!

Jina la ukoo linamilikiwa na wanaukoo kulingana na wajina wako (mtangulizi) ndani ya ukoo wenu.

Kama ukivuliwa uanaukoo basi huna uunganiko (tie) wowote na ukoo husika.

Your premise is totally a fallacy!
 
Sheria ipi na kwa mamlaka yapi mtu anaweza kukuvua ukoi? Hakuna kitu cha namna hiyo
 
Nimeona clip moja ya Gwajima eti anamwita baba yake miaka 87 na kumlaghai aseme kwamba ana mwamrisha mkwe wake asitumie jina lao. Hakuna mtu binafsi ambaye anamiliki jina na koo yoote . Haya majina ya koo yalikuwepo miaka mingi sana na wengi hata hawajui yametokea wapi. Hakuna mtu ambaye ni ana uwezo wa kuamua nani na yupi atumie jina la koo. Hizi ni drama za kitoto za Gwajima. Huyu kaka yake Gwajima hakuchaguliwa kuwa Gwajima ni haki yake ya kuzaliwa
Kabila gani ambalo hakuna umiliki wa jina la ukoo kuna umuhimu gani kuwa kiongozi wa ukoo.
Huyo waziri hana jina la ukoo wake.
 
Gwajima alianza kumfanya pengo mjinga,akaja kwa bashite,akaja kwa waumini wake,akaja kwa serikali,akaja kwa baba yake akaja kwa anayefuata.
 
Nimeona clip moja ya Gwajima eti anamwita baba yake miaka 87 na kumlaghai aseme kwamba ana mwamrisha mkwe wake asitumie jina lao.

Hakuna mtu binafsi ambaye anamiliki jina na koo yoote .

Haya majina ya koo yalikuwepo miaka mingi sana na wengi hata hawajui yametokea wapi. Hakuna mtu ambaye ni ana uwezo wa kuamua nani na yupi atumie jina la koo.

Hizi ni drama za kitoto za Gwajima. Huyu kaka yake Gwajima hakuchaguliwa kuwa Gwajima ni haki yake ya kuzaliwa
1631258668435.png

Similar Discussions

Back
Top Bottom