Naruhusiwa kuweka jina la 3 kwenye jina lenye majina 2?

Nawatania

Senior Member
Jul 13, 2021
148
549
Wakuu nauliza naweza weka jina 3 na lisilete shida yeyote kwenye mfumo wa kiserikali ikiwa vyeti vyangu vya shule na chuo vina majina mawili.

Wanasheria naombeni hatua ya kwanza kufanya ili niweze kuwa na majina matatu kwenye mfumo wangu wa majina.

Pia nauliza Kama haiwezi leta shida katika process za kuomba ajira serikalini kwenye mfumo?

Maana zamani ilikuwa kawaida kutumia majina mawili shule hata chuo.

Asante.
 
Siku hizi majina yaliyo uliyojisajilia nida ndio huangaliwa zaidi mkuu.
Kurahisisha zoezi kama vyeti vina majina 2 then nida yako 3, nenda mahakamani kaape kutumia hilo jina la 3 pia.
 
Back
Top Bottom