MAJIBU: Niagize Nissan Murano, Dualis au Xtrail?

KIMOMWEMOTORS

JF-Expert Member
May 17, 2018
358
670
NICHUKUE IPI KATI YA NISSAN MURANO, DUALIS NA XTRAIL?

Na KIMOMWE MOTORS (T) Ltd- Waagizaji Magari

1. Nissan Murano

Injini bora ya hii ni ile yenye Cc 2500 inayokadiriwa kwenda Km 10.6/L. Katika safari ndefu hii inasifika kufanya vizuri zaidi ya hizo nyingine sababu ina uzito mkubwa wa tani 1.6 na injini yenye uwezo wa juu. Kuagiza inaanzia 17.3m

Nissan Dualis

Hii ina injini inayofanana na ya Xtrail model mpya yenye Cc 2000 ambayo ni bora zaidi ya zile Xtrail ya zamani. Dualis inakadiriwa kwenda km 13.5/L. kwa safari ndefu, hii ni nzuri japo sio tulivu sana kama Xtrail na Murano hii ni kwa kua bodi lake ni jepesi kidogo wakati injini ina uwezo mkubwa. kuagiza inaanzia 18m

Nissan Xtrail

Hapa tunaongelea Model mpya ya kuanzia 2007. Ina injini iliyoboreshwa zaidi inayopatikana pia katika Dualis ikiwa na Cc 2000 inayokadiriwa kwenda Km12.5/L. Katika safari ndefu hii ni nzuri pia sababu imetulia japo sio kama Murano. kwa kuagiza inaanzia 17.5m

Vifaa kwa ujumla

Gari hizi zote vifaa vyake ni vingi zaidi katika miji mikubwa yaani Dar, Mwanza na Arusha japo gharama zake ni juu za wastani...sifa kuu navyo vinadum kwa mda mrefu kiasi. Pia ili kutunza injini zake kwa mda mrefu unashauriwa kutumia oil inayoshauriwa yenye uzito mkubwa.

Maoni

Ikiwa unataka kufurahia safari gari inayoshauriwa zaidi ni hiyo Murano ingawa mafuta inagharim pakubwa pia vifaa vyake ni bei juu zaidi ya hizi Dualis na Xtrail. Kama kipato ni cha wastani unashauriwa kuchukua Dualis au Xtrail. Uzuri wa Xtrail ni 4WD ya kuingiza mwenyewe pamoja na nafasi kubwa.

IMG_20210623_142958_923.jpg
IMG_20210623_142958_937.jpg
IMG_20210623_142958_938.jpg
 
View attachment 1827555View attachment 1827556View attachment 1827557
Gari ndogo iliyoandikwa " Nissan" iepuke kama ukoma mkuu. Utakuja kunikumbuka siku moja.
 
Back
Top Bottom