majibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kollebundle

    JamiiForums Tanzania Kwanini Arusha huwa inahujumiwa makusudi?

    Wadau naombeni mnisaidie majibu Ni Kwanini Kila kitu ARUSHA CITY huwa inahujumiwa kwa maksudi kabisa ikiwemo,miradi ya maendeleo kama Stendi ya mabasi, Uwanja wa kisasa wa ndege, na mengine mengi na ukiangalia ARUSHA CITY Ndio city namba 2 kwa tax revenue collector baada ya Dar city na Ni sehemu...
  2. Wanjax jr

    JamiiForums Tanzania Majibu ya usahili wa kada mbalimbali Tengeru Institute of community development Yalishatoka?

    Habari zenu wanajamvini, Naomba kuuliza kuhusiana na matokeo ya usahili wa mahojiano ilifanyika tarehe 19/09/2022 chuo Cha Tengeru Institute of community development kwa kada mbali mbali, je majibu yameshatoka toka utumishi? Na waliofanikiwa kupata NAFASI je wameitwa kwa simu au Bado...
  3. Justdr

    JamiiForums Tanzania Je wajua unaweza kuambukizwa VVU/UKIMWI hata kama uliyefanya naye ngono zembe umempima na majibu yamekuja Negative?

    Habari za muda huu? Najua mko wazima kabisa! Wale mnaoumwa Mungu awajalie mrudi kwenye hali zenu za kawaida. Kumekuwa na hii imani kuhusu Virusi Vya UKIMWI watu wanatumia isivyo vipimo vya VVU(HIV SD BIOLINE au OraQuick HIV test) kama namna moja ya kijikinga ya haya maradhi. Watu wamekuwa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI mulikeni zaidi kutambua mafisadi miradi ya serikali

    MIRADI YA SERIKALI KATIKA TAASISI ZA SERIKALI Hapa Bado Kuna maumivu makubwa na usumbufu kwa viongozi wasimamizi wa miradi,wazabuni na wakandarasi Kama siyo TAMISEMI kunyanyua zaidi camera ili kuwaona adui zetu (mafisadi) ambao wamatawanyika zaidi, basi, TAKUKURU,TAMISEMI NA USALAMA ongezeni...
  5. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Ukame wa sasa ni Matokeo ya Ukataji Miti Mil 2.7 ya Selous

    Magufuli alikuwa hashauriki. Miti 2.7 Milioni ilikatwa kwenye pori la akiba la Selous kupisha ujenzi wa mradi wa umeme wa JNHEP. Idadi hiyo ya miti ikiwekwa ardhini ni sawa na eneo lote la mkoa wa Dar es Salaam
  6. comte

    JamiiForums Tanzania Kama swali hili wangeulizwa wanafunzi wa Tanzania wangetoa majibu kama ya wanafunzi hawa wa India?

    Doc Benway 4 hours ago I do a lot of work in India and based on my first hand evidence of high school students in the US of A and India; India is much more motivated. Ask Indian kids what they want to do with their lives and you get answers such as engineering, technology, or medicals...
  7. Mkanganyiko kukanganya

    JamiiForums Tanzania Mambo ya mazoea ila majibu changamoto

    Memba wote nawasalimu sana, moja kwa moja kuna mambo machache ambayo ni yakwaida ila yananitatiza kwa kutokujua maana zake, mwenye kuelewa anisaidie, Ni hivi unakuta 1) Mara nyingi naona majengo makubwa yakiwa katika hatua za ujenzi uzungushiwa mabati au gorofa kufunikwa kwa vitambaa. Je, ni...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ipo sababu moja tuu itakayomfanya mwanaume amsamehe mkewe endapo atamfumania akiwa kwenye tukio

    Anaandika, Robert Heriel Vijana muache ubishi na ujuaji, oooh mimi siwezi msamehe mke wangu endapo nitamfumania amelala na njemba nyingine, hayo utayasema ukiwa timamu, unajiweza na nguvu za kutosha. Mwanamke msaliti hata Shetani hawezi kumsamehe achilia mbali Mungu mwenye wivu mkali mno...
  9. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania Majibu ya hoja za uzi kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani nitajibu humu

    Habari za muda huu wana Jf, nimeona na kusoma comments zote za uzi wa Retired wenye kichwa cha habari " Kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani? Nilichogundua watu wamekosa umakini kwa kiwango kikubwa watu wengi wanajadili bila facts na porojo nyingi sasa nimejipanga kujibu baadhi ya hoja...
  10. 4

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu nataka majibu katika mambo haya

    Waziri utukufu wa mungu ukawe juu yako, na nakupa pole na majukum yako kwa mbali sana maana ni kazi yako na ujira unalipwa hufanyi bure. Naja kwenye dhumuni la andiko hili, moja kwa moja maana u waziri mwenye dhamana kwa hili. Ndugu waziri chini ya wizara yako vipo vitengo vingi ambavyo kwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Prof Kabudi atueleze kutoka Trilioni 360 hadi bilioni 700

    Kosa moja siku zote linaloendelea kutugharimu basi ni kusikiliza bila kuelewa hatupo tayari kusikiliza tumejianda kujibu kila wakati. Inawezekana hii ni tabia yetu ya kutotafuta Ukweli, binafsi suala la Makinikia nimekuwa nikilifahamu hata kabla ya Mhe. Magufuli kuliweka kwenye meza ya...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson, Mawaziri wa CCM hawana majibu usiwabane sana

    Nakusihi Spika, ulichomfanyia leo Dkt wa Uchumi hakikubaliki machoni mwa wana CCM Dkt kajikanyaga hadi huruma Trilioni 360 hatujui ziliko, hongera kwa Luhaga mpina kwa swali zuri. Sasa mama wana CCM hawapendi mambo kama hayo na usirudie kuwabana mbele ya kadamnasi namna ile, utaundiwa zengwe...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mwigulu ajikanyaga Bungeni kuhusu kodi ya Tsh. Trilioni 360 za Makinikia ya Dhahabu

    Sakata la Makinikia limetinga bungeni baada ya Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kuhoji kwa nini Serikali ilikubali kupokea Tsh. Bilioni 700 zilizotokana na kesi za malimbikizo ya madeni ya Makinikia badala ya Tsh. Trilioni 360 ambayo ni madai halali kwa Tanzania. Mpina amehoji swali hilo la...
  14. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Naomba majibu wanaume mmeniacha njia panda mmeshindikana kabisa

    Jamani za leo? Mimi kwangu nipo sawa tunashukuru Mungu. Sasa wanaume mnanishangaza sana walahi tuanze hawa wanaume namba 1 . 1. Wanaume msiojielewa. Hivi inakuwaje unampa mtu mimba anakuzalia mtoto halafu matunzo unasua sua halafu unaenda kuoa halafu unazaa na mkeo unaenda kuzaa na mchepuko...
  15. Myahudi Jr II

    JamiiForums Tanzania Watabe wa Physics naombeni msaada haya maswali chap chap, sijiamini na majibu

    Note: Swali la 3 nishagugo nikapata
  16. D

    JamiiForums Tanzania Wacha mvua inyeshe tuone panapovuja

    Pira la leo litatoa majibu ya viwango vya wachezaji pamoja na makocha kati ya simba na yanga.
  17. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Suala la Juma Mgunda, TFF wamezidisha maswali zaidi kuliko majibu au ufafanuzi walioutowa

    Taarifa ya TFF ndio hiyo, yani hapo ndio wametowa ufafanuzi Sasa ufafanuzi wao unazalisha maswali zaidi kuliko awali. 1. Kuna makocha wamehitimu mafunzo na wana Leseni class A ya CAF, halafu kuna orodha ya makocha 21 akiwemi Juma Mgunda wamehitimu mafunzo lakini hawana Leseni. Sasa swali la...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Huu ndiyo wakati wa majibu uliyokuwa unajiuliza ukiwa mtoto

    Anaandika, Robert Heriel Maisha ni mchezo wa maswali na majibu. Kikawaida swali ndio linatangulia ndipo jibu lifuate. Lakini kwenye maisha majibu huweza kutangulia alafu maswali ndio yafuate. Hayo ni maisha. Yapo majibu yasiyo na maswali. Lakini hakuna swali lisilo na jibu. Vijana bado...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Nape aanza nyodo kwa wananchi. Anatoa majibu ya shombo

    Nape anashiba na kusaza awamu hii. Mama alishamtoa wasiwasi Nape na mawaziri wengine kwamba hatowatumbua hata wakikosea. Hivyo hawana hofu tena. Nape anaulizwa kuhusu TOZO mpya za miamala ya kibenki anajibu kwa nyodo. Majibu yake yananuka shombo la ulevi wa madaraka. Nchi hii jamani! Acha tu.
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania UCHUNGUZI: Hospitali za DSM hazitoi majibu sahihi vipimo vya UTI

    “Kila nikihisi homa na kwenda hospitali kupima nakutwa na UTI. Imekuwa ikinitokea mara kwa mara, napewa dawa nakunywa lakini bado inarudi tena,” ni kauli ya Mwanahamisi Ally, mkazi wa Mabibo, jijini Dar es Salaam. Urinary Tract Infection au UTI ni ugonjwa unaosababishwa na maambukizi kwa njia...
Back
Top Bottom