Wafanyakazi Wasoma Mita wa Dawasco na Mgawo huu wa Maji DSM msipokuwa na Majibu ya Kinidhamu mtaishia ICU Muhimbili

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,862
Mteja...

Ndugu Mfanyakazi wa Dawasco mbona Kwetu sasa Maji hayatoki Wiki Mbili?

Mfanyakazi Dawsco....

Kwa Matajiri na Wakubwa Masaki sasa wana Mwezi wa Pili umesikia au kuona Wanalamika?

Mteja.....

Ndugu Mfanyakazi wa Dawasco imekuwaje leo Kawe Maji mmeyafungulia Saa 1 Asubuhi na kuyakata mazima Saa 2 na Nusu?

Mfanyakazi Dawasco

Tuliamua kuyaachia kwa muda huo mfupi tu ili Mkoge na Mchambe msianze Kunuka ( Kutema ) hovyo.

Mteja....

Ndugu Mfanyakazi wa Dawasco inakuwaje Maji ya sasa yana Chumvi?

Mfanyakazi Dawasco

Kamuulize aliyeiweka tafadhali.

Taarifa niliyonayo kuna Mfanyakazi Mwenzenu ( Msoma Mita ) Mmoja huko Tabata kwa Majibu yenu ya Kijeuri na Kinyodo kama haya Nguo zake za Kazi kagawana na Mbwa wa Mwenye Nyumba aliyekerwa.

Halafu Dawasco Kawe kuna Dada Mmoja hivi aitwae Grace ( Jina lake la Ukoo nalihifadhi kwa Usalama wake wa Kibaiolojia ) ni Mbulu na Mrangi mmempeleka wapi huyu?

Alikuwa akija Kwako / Nyumbani kwa ule Urembo na Uweupe wake akikurembulia yale Macho yake ya Kichina huku Kifungo chake cha Juu ya Shati ( Uniforms zenu ) akikifungua Maziwa ( Matiti ) yake mazuri yapate Upepo na Sauti yake Murua Mwenyewe ( Mteja ) unatoa Ushirikiano Kwake na ikiwezekana hata Hela ya Deni la Kutukuka unalodaiwa nao ( Dawasco ) unaitoa na Kumlipa hapo hapo tu.
 
Leo nimekaa home amekuja bi mkubwa mmoja ajasalimia sura mbovuuu,alijua nitamuanza, nimecheka sana ajui km amekutana na jasusi wa kujitegemea.
 
Nipo makaburi matatu huku nakunywa chang'aa kabla sijapanda daladala niende kwetu bunju mkuu. Upo kawe ipi nije tule monde aisee?
 
Back
Top Bottom