majibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mamujay

    JamiiForums Tanzania Mama akipiga utrasound ni majibu gani anatakiwa aambiwe?

    Wajuzi wa mambo naombeni majibu, Umri wa mtoto, jinsia au?
  2. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Dorothy Semu: Hotuba ya Kassimu Majaliwa haina majibu kwa changamoto za wananchi

    Hoja saba (7) za Waziri Mkuu Kivuli ACT Wazalendo Ndg. Dorothy Manka Semu kufuatia Hotuba ya Ofisi ya Waziri Mkuu kuhusu Mapitio ya kazi na mwelekeo wa Serikali na makadirio ya matumizi kwa Mwaka wa Fedha wa 2023/2024. Utangulizi Juzi Jumatano tarehe 05 April 2023 Waziri Mkuu aliwasilisha...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Baada ya Yanga SC kimya kimya Kumuomba Waziri Mwana FA akawaombee CAF nao Washiriki CAF Super Cup haya ndiyo majibu waliyopewa

    "Yaani Watu wenyewe ndiyo Kwanza bado tu wanademadema huko CAFCC na kuwa washamba kufurahishwa kumaliza kundi halafu wanataka mwaka huu huu nao wawemo katika CAF Super Cup ya Mwezi November 2023? Kawaambie kwa mwaka huu tumeiweka Simba SC baada ya mafanikio yake ya mfululizo na pia ndiyo timu...
  4. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Haya ndio maswali yangu machache yaliyokosa majibu. Je, wewe unaweza kunijibu?

    Vipi hali zenu ndugu zangu? Nimekuwa na maswali kadhaa akilini kwangu, lakini kila nikijaribu kuwauliza wana historia wanashindwa kunipa majibu yanayoeleweka. Anyway ngoja niyalete hapa huenda watapatikana wenye majibu yanayoeleweka. Kwanza kabla ya kuendelea naomba niseme kwamba mada yangu...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Marburg ni nini? Majibu sahihi haya hapa

    Marburg ni nini? Kwa mujibu wa WHO, virusi vya marburg ambavyo ni sawa na virusi hatari vya Ebola, viligunduliwa kwa mara ya kwanza baada ya watu 29 kuambukizwa na saba kati yao kufariki dunia mwaka 1967 huko Marburg na Frankfurt, Ujerumani pamoja na Belgrade huko Serbia. Hata hivyo, WHO...
  6. Bufa

    JamiiForums Tanzania Majibu Kwanini Wasanii Wetu Hawaitwi Kwenye Steji Kubwa Duniani

    Naandika huu uzi baada ya kumsoma kamikaze kwenye uzi wake: Mafanikio ya mwanamuziki Burna Boy, Nini tunajifunza! If anything wasanii wabongo inabidi walalamikie ufinyu wa watanzania wengine nje ya nchi hususani in the boardrooms. Nigerians wapo wengi ndani na nje ya nchi yao. Unaposikia...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mahawara wengi uliowazuia Kukupigia Simu Usiku ukiwa na Mkeo wakipiga na ukiwahoji wanakupa majibu yafuatayo?

    Ni Hawara yako (Demu wako) kabisa (japo una Mke) na Umeshamjulisha na Kumkataza kabisa asiwe anakupigia Simu Usiku ukiwa Kwako na Mkeo na ikitokea akakiuka Makubaliano na Masharti yako na akapiga ukija Kumhoji Kesho yake atakuambia (atakujibu) ama Simu ilijipiga au Mtoto aliichezea. Ni kwanini...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Je, maswali haya yana majibu?

    Habarini ndugu wananchi wa jamii forum Mwenye maswali ya haya majibu km anaweza tusaidia Nimekuwa nikijiuliza sana ●Je? ni muda gani muda ulianzishwa ●Nini kilianza muda au dunia? ●Dunia ina deni la nani ikiwa wanadamu walivumbua pesa? ●Tunajifunze vipi kwa kitu ambacho hakipo(non existence)?
  9. Landrover 109

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Juma Lokole kwa Baba Levo

    ====== Watangazaji wa kituo cha wasafi Baba Levo na Juma Lokole wamezua sintofahamu baada ya kurushiana maneno yanayo hashiria kuhusika na vitendo vya kishoga na ufiraji ambavyo ni kinyume na maadili ya kitanzania! Baada ya picha za mtoto wa Kajala kusambaa kwenye mitandao ikidhaniwa kuwa...
  10. Sir robby

    JamiiForums Tanzania Kwanini tukarabati kivuko kwa Tsh. bil 7.5 wakati kipya ni bil 8.5?

    Wadau nawasabahi. Nikiwa mlipa kodi pamoja na tozo mbalimbali najisikia uchungu sana kusikia kuwa Serikali inataka kukarabati kivuko cha Mv Magogoni kwa bil.7. wakati bei ya kuunda kivuko kipya ni kati ya bil.8.5 -9 Najiuliza kwanini ufanyike ukarabati? Kwanini kisinunuliwe kivuko kipya...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu, sauti ya Luhaga Mpina ni sauti ya watanzania. Tupatie majibu, kwanini ujenge madarasa kwa pesa za foreign reserve? Ulisema za UVIKO zinatosha

    Mmesasahau wewe na CCM mlisema mmepata msaada wa pesa za kupambana na Uviko na mkadai zimeelekezwa kujenga madarasa nchi nzima? Sasa kwa nini uchukue tril 1 kutoka foreign reserve na uitumie kujengea madarasa ili hali madarasa yalishajengwa kwa pesa za Uviko? Tupe majibu watanzania
  12. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Naomba majibu ya maswali haya

    Qn 1: Ni miradi ipi inayoendeshwa kwa tozo na ipi ni uwekezaji, ufadhili au mkopo?🤔 Qn2: Hapo kabla inasemekana nchi ilikuwa imefungwa (utawala wa hayati JPM) lakini bado hakukuwa na tozo na mfumko wa bei ulidhibitiwa, je kwa sasa ambapo nchi imefunguliwa kwanini watu wakatwe kodi na tozo kwa...
  13. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe yuko wapi mjadala wa kitaifa wa Mfumko wa Bei na majibu ya Mwigulu?

    Zitto Kabwe ni moja ya wanasiasa wachambuzi wazuri wa Uchumi, kwenye hoja inayotikisa taifa kwa sasa ni Mfumko wa Bei za bidhaa na ugumu wa maisha hadi watu kushindia kukoroga uji kwa mujibu Dk Bashiru kwa kushindwa kununua unga wa ugali. Jambo la kusikitisha mjadala huu mpana unaogusa masilahi...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwingira kauliza swali. Karibuni kwa majibu

    N.B. Naomba wote mnaotaka kutoa comment kwenye uzi huu mjibu swali la askofu na si vinginevyo
  15. Azizi Mussa

    JamiiForums Tanzania Majibu kuhusu bei ya vyakula kupanda

    Kuna hoja imewekewa mkazo na baadhi ya watu kuwa bei ya vyakula imepanda na hivyo wakulaumiwa ni CCM. Kusema kweli hii ni "logical fallacy". Ni kweli vyakula vinapanda bei kwa kasi, na kimsingi hali hii inasabahishwa na upungufu wa mavuno yanayo sababishwa na kukosekana kwa mvua kutokana na...
  16. bahati93

    JamiiForums Tanzania Nimeongea na robot juu ya Tanzania haya ndio majibu yake

    Wandugu mambo yanaenda kasi sana. Kuna huyu mdudu mpya kwenye mtandao anaitwa ChatGPT. hii ni AI ambayo ipo mbioni kufuta kazi nyingi sana za waandishi habari. Hapa ni machache tu ambayo nilikuwa naongea nayo. Hata hivyo ilinipa moyo baada ya kuona huzuni yangu Asanteni kwa kushiriki
  17. PAGAN

    JamiiForums Tanzania Majibu kutoka kwa Jide

  18. W

    JamiiForums Tanzania Na nyie NECTA toeni majibu ya kidato cha nne, ndugu zetu wamechoka kusubiri!

    Yatoeni bwana, watasubiri katika hali hii ya hofu hadi lini?!!!!!
  19. Sesko

    JamiiForums Tanzania Ajibu ametupa majibu ya kibepari, muda utaongea

    By Edo Kumwembe. RAFIKI yangu Ibrahim Ajibu Migomba alikuwa katika ubora wake mbele ya vinasa sauti vya waandishi wa habari baada ya pambano kati ya Singida Big Stars na Mlandege kumalizika Ijumaa usiku katika Uwanja wa Amaan pale Unguja. Ajibu alikuwa ameulizwa maswali mawili mazuri na...
  20. Gavana

    JamiiForums Tanzania Majibu kwa thread, "Mungu kwenye Quran kusema kwamba Jua hutuama kwenye kisima cha matope mazito alikuwa na maana gani?"

    Miongoni mwa masuala ambayo wamishenari wa Kikristo wanayatumia kupinga Qur'ani Tukufu ni kifungu kifuatacho. "Wanakuuliza juu ya Zul-Qarnain. Sema nitakusomea khabari zake. Hakika sisi tuliuweka uwezo wake katika ardhi, na tukampa njia na njia za kila jambo. Njia moja (hiyo) akaifuata. Hata...
Back
Top Bottom