maji

  1. JamiiForums Tanzania Zamani wash basin ilikua ni karai na jug la maji

  2. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Watu zaidi ya 800 wachomwa maji badala.ya chanjo

    Uganda imethibitisha kuwa watu zaidi ya 800 walichomwa maji badala ya chanjo ya #COVID19 Watu hao wamechomwa kati ya Mei 15 hadi Juni 17. Wataalamu wamesema hawako katika hatari kwa kuwa ni maji tu Manesi wa Naamawa, Kampala wanaotuhumiwa kuwachoma watu chanjo feki wamekamatwa === Ugandan...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia, kumbuka mgema akisifiwa tembo hulitia maji

    Naomba kuwasilisha! Mama ulianza kwa kupika mvinyo mwanana wa uongozi mpaka wasiofungamana na wew kiitikad (ikiwemo Mimi mshale21) wakaukubali kwa utam kisha wakaonesha hisia zao kua huenda mwelekeo ukawa sawa! Sasa umepata sifa umeanza kupiga dilution kwenye mvinyo Sasa hauna Radha na hakuna...
  4. JamiiForums Tanzania Huyu Waziri namtabiria muda wowote kuanzia sasa 'Kutumbuliwa' na Rais Samia, labda Nduguye 'amsalie' sana Ubungo Maji

    1. Ameingia katika Mtego wa Kujibizana na Mitandao ya Kijamii 2. Anatumia muda mwingi Kubishana badala ya kutoa Suluhisho. 3. Anataka Kumuonyesha Mtangulizi wake katika hiyo Wizara kuwa alikuwa hajui Kitu 4. Hajajua tu kuwa Mama hamtaki hapo ila anamuwinda tu amtoe na sababu imepatikana 5...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Aweso hivi unafahamu kwamba ni mwezi mzima sasa DAWASA hawajaunganisha maji kwa Wateja wapya?

    Habarini za Majukumu wadau, Kama kichwa cha habari kisemavyo, mamlaka ya maji Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani (DAWASA) wameshindwa kuwaunganishia wateja wapya huduma ya maji kwa sababu wanadai vifaa hamna. Specifically, binafsi nimefanya malipo ya kuunganishiwa huduma ya maji katka ofisi ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia haupigi mwingi tena, kuna dalili za kutosha kuwa Uchumi utamuelemea

    Zipo kila dalili kuwa hali ya uchumi kwenye utawala huu wa Rais Samia unaenda kuwa fyongo! Hali hii itaenda kuyafanya maisha ya wananchi kuwa magumu sana. Nimeangalia kwa mfano viwango vipya vya tozo za miamala ya kutuma fedha na kutoa fedha kupitia mitandao ya simu, Gharama zake zimeongezeka...
  7. JamiiForums Tanzania Je, duniani kote Mchezaji mahiri Siku ya Kuagwa na Klabu yake huanzia Benchi na kuishia Kumwagiwa tu Maji 'Vumbi' ya Kandoro?

    Kuna Waafrika wachache wanasababisha Waafrika wote tuonekane si tu Wapuuzi bali Washamba sana hapa duniani. Tuacheni Kukurupuka tunachekwa sana.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Stiglers Gorge HEP hauwezi kukamilika 2022, Novemba 2021 bwawa halianzi kujazwa maji

    Huu mradi wa maji ya kuleta umeme wa nyerere tumekuwa tukidanganywa kila siku kuwa utakamilika June 2022, kitu ambacho c Cha kweli hata kidogo, pia tukidanganywa Mwezi wa 11 maji yataanza kujazwa kwenye bwawa huu ni uongo mkubwa, kwanini nasema hivo 1. Njia za kupeleka maji kwenye mashine...
  9. JamiiForums Tanzania Nanunua chupa tupu za maji na juice. Kama unazo tuwasiliane

    .
  10. JamiiForums Tanzania Ni nani aliyewaambia na kuwadanganya Wamisri kuwa wana umiliki wa 87% ya maji yote ya Mto Nile?

    Nilipoona tu tamko la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa likisema kuwa haliwezi Kuingilia kati Mgogoro wa Matumizi ya Maji ya Mto Nile kati ya nchi za Misri na Ethiopia kwakuwa inajua kuwa Misri ina uhalali wa 87% ya Maji ya Mto huo nimeshtuka na kuwa na maswali mengi mno. Hivi ni lini...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Masoko na Stendi zote zinazomilikiwa na TAMISEMI kujengewa Visima vya Maji ili kukabiliana na moto

    Waziri wa TAMISEMI, Mhe. Ummy Mwalimu amesema Serikali itajenga visima vya maji kwenye masoko na stendi za mabasi zote zinazomilikiwa na Halmashauri ili kukabiliana na majanga ya moto pindi yanapojitokeza. Chanzo: Radio One
  12. JamiiForums Tanzania Mbona magari yao ya washawasha hayajawahi kukosa maji?

    Hivii kweli kariako sokoni na fire makaoo makuu ni Kama km 3!!makao makuu haya fire hydrants kweli? Mpaka wafuate maji airport? Ila wangesikia BAVICHA au mbowe wanafanya mikutano ya ndani wangekuja mpaka na vidumu vya maji ya washawasha! Ifike pahala kuwe na uwajibashwajii wa uzembe Kama huo...
  13. JamiiForums Tanzania CAG alishaliona hili kuhusu janga la moto na miundombinu ya kupambana nalo tukampuuza

    Aliposema haya na mengine mengi yenye maslahi ya umma, viongozi wetu dhaifu, wafupi wa kimo na upeo walimbeza, wakamdhalilisha na kumtweza Prof Assad... leo Zimamoto wanakwambia "tulizima moto maji yakaisha, tukaenda kuchota maji.. moto ukazidi" Nachofahamu mimi kwa upeo wangu mdogo, ni kuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini Afrika tusichimbe mfereji hadi Israel na Uarabuni kuwauzia maji?

    Nilikua naangalia nchi kama Jordan walivyo na changamoto ya maji yaani maji ni shida aisee Nikaangalia na Israel si haba wanajitahidi japo changamoto, nchi nyingi za kiarabu wana shida ya maji kinoma nachomaanisha hawana vyanzo vya uhakika vya maji. Africa mito mingi huishia baharini tu yaani...
  15. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Vyama vya watumia maji vyasema Sabaya aliwapora mabilioni

    Hai. Bodi saba za watumia maji wilayani Hai, Siha na Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro zimeibuka na tuhuma nzito kwamba aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya aliwapora mali za mabilioni. Bodi hizo zimeiomba Serikali kuingilia kati sakata hilo ili warejeshewe mali zenye thamani ya...
  16. JamiiForums Tanzania Tunachimba visima na kuuza machine za kuchujia maji chumvi kuwa maji baridi

    Samaritan Water Solution LTD ni wataalamu wa kuchimba visima kwa kutumia mitambo ya kisasa kabisa. Tunafanya survey kwa bei nafuu. Pia tunatengeneza machine za kuchujia maji kwa wale wenye visima vya maji chumvi. Pia tunafunga irrigation system kwa wale wanaofanya kilimo cha umwagiliaji. Pia...
  17. JamiiForums Tanzania Maji ya upako ni nini? Ni kweli? Yanatoka wapi? Yanaponya?

    Salute to all my fathers, mothers, brothers, sisters and my age mates in this social forum.. straight to the topic of discussion. nimekuwa nikisikia tetesi nyingi sana hasa kwa makanisa mengi na watumishi wa mungu humu nchini kuhusu maji ya upako. kuna siku nilikuwa kijiweni muda fulani...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Tumerudi kuibomoa nchi kuilinda CCM, mama kibao kikigeuka kisima kitakauka maji

    Chama Cha mapinduzi pambaneni kwa hoja achaneni na dola. Mnatia aibu mambo madogomadogo yanayowekwa kimkakati na wapinzani wenu yawachafue kimataifa mnashindwaje kuyang'amua. Vimitego vidogo vidogo mnavyoshindwa kuving'amua ndivyo binawapa mailage ya kisiasa chadema na wafuasi. Mmekubali kuwa...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Siasa imeharibu miradi ya maji kichefuchefu nchini

    Miaka nenda rudi majimaji,maziwa,mito na mabwawa yamejaa. Wamisionari walijenga miradi ya maji miaka mingi lakini bado inadumu na inafanya kazi. Miradi kichefuchefu nani husababisha.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Nyangasa karibu Kigamboni anza na kupatikana Huduma ya Maji ya DAWASA na Tozo Daraja la Kigamboni

    MHESHIMIWA NYANGASA KARIBU KIGAMBONI ANZA NA UFUMBUZI WA KUPATIKANA HUDUMA YA MAJI NA PILI TENGENEZA MIKAKATI YA SERIKALI KUONDOA TOZO ZA DARAJA LA KIGAMBONI KWA WANANCHI Nianze kwa kuipongeza mamlaka ya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya, yaani Mheshimiwa Raisi Samia Suluhu Hassan kwa kukuchagua wewe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…