maji

  1. JamiiForums Tanzania To be honest Architecture wa jengo la Chuo cha maji nimemkubali

    Nimeona design nyingi ya miradi ya serikali hasa majengo , ni ya hovyo hovyo na ya kitoto , design inapelekea jengo kuwa Baya na baada ya miaka miwili ya kupigwa jua jengo linaanza kupoteza mvuto. Ni tofaut Kwa Hili jengo la idara ya maji lililopo karbu na chuo cha maji ubungo , design yake ya...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini ng'ombe anatoa maziwa yanayokuwa kama maji?

    Habari wanajukwaa la kilimo na ufugaji, Tafadhali rejea kichwa cha mada. Ng'ombe hapa nyumbani siku za karibuni amekuwa akitoa maziwa ambayo kwa kweli ni kama maji, hayana uzito wowote na hata ukiyachemsha hayana ladha yoyote ni kama maji. Jambo hili limepelekea mpaka wateja kulalamika kuwa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Aweso tusaidie Tanga tupate maji, Tanga Uwasa wanatutesa

    Leo ni siku ya nne hakuna maji kabisa . Mvua zinanyesha na Tanga Uwasa Walikuwa wanasingizia ukame. Sasa mvua zipo za kutosha. Hakuna maji kabisa, siku nne! Tanga Uwasa hawana wa kumwogopa, hawana wa kuwakemea ndiyo maana wanafanya wanavyojua!
  4. JamiiForums Tanzania Ujazwaji maji Bwawa la Julius Nyerere wafikia mita 108

    Ujazo wa maji katika bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere (JNHPP) linalotarajiwa kujaa ndani ya miezi 18 hadi Januari 9, 2022 ulifika mita 108.31 kutoka usawa wa bahari. Ujazaji maji katika bwawa hilo linalotarajiwa kuzalisha megawati 2,115 za umeme likiwa na uwezo wa kuhifadhi lita bilioni...
  5. JamiiForums Tanzania Eti soda unaipanua, chupa ya maji unaifungua na kufunga

    Wajameni. Wkt nakula bia mhudumu wa bar alinitolea mpya Leo. Mimi. "Wewe dada lete Serengeti lite, na konyagi. Gras iwe ndefu tafadhali" Mhudumu. - Huyo akaenda akaja na bia Serengeti baridi na konyagi kaschana. " Serengeti Moja au mbili." ? Mimi. "Mbili" Muhudumu. " Nii panue?" Mimi...
  6. JamiiForums Tanzania Singida Kaskazini yaneemeka na miradi ya maji, Serikali yatatua kero

    SINGIDA KASKAZINI YANEMEEKA NA MIRADI YA MAJI, SERIKALI YATATUA KERO. Jimbo la Singida Kaskazini linazidi kupata Miradi mbalimbali ya Maendeleo kila iitwapo leo Kwani Wanasingida Kaskazini kwa Ujumla wake wanazidi kushuhudia Kasi kubwa ya Maendeleo tangu Mhe. Ramadhan Ighondo ambaye ndiye...
  7. JamiiForums Tanzania Hatua za kukabiliana na joto la Dar es Salaam

    Kwa hali ilivo Dar es Salaam wakati huu sio ya kawaida. Joto lililopo wakati huu linatukumbusha kufanya vitu vingi sana kwanzia kwenye miili yetu mpaka maeneo tunayoishi au kushinda. Unapaswa kunjwa maji mengi ya kutosha, kama hauendi haja ndogo mara kwa mara na ukienda mkojo unakua na rangi ya...
  8. JamiiForums Tanzania Zaidi ya Bilioni 4 Kusambaza Maji Kata za Tegeruka na Mugango - Jimbo la Musoma Vijijini

    Zaidi ya Bilioni 4 Kusambaza Maji Kata za Tegeruka na Mugango - Jimbo la Musoma Vijijini Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Anthony Sanga ameelekeza ifikapo Februari, 2023 utekelezaji wa mradi wa kufikisha maji kwenye Kata za Mugango na Tegeruka Wilaya ya Musoma Vijijini uwe umeanza ili...
  9. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Ndani ya Maji Marefu ya Mateso ya Wakristo

    Mnamo Machi 19, 2020, Mchungaji James* aliamka kama kawaida na kuondoka kwenda kufanya maombi katika kanisa lake katika kisiwa cha Zanzibar, kilicho karibu na pwani ya Afrika mashariki mwa Tanzania. Lakini alipofika, kwa mshtuko wake, alikuta kanisa lake lilikuwa limeboreshwa. Kabla hajaelewa...
  10. JamiiForums Tanzania Nini kinasababisha mwanamke kuwa na maji mengi ukeni?

    Habari zenu wadau? Nini kinasababisha baadhi ya wanawake kuwa na maji ukeni yaani wakati wa mgegedo, unasikia pacha pacha ukiwa unapeleka moto unakuwa kama unatwanga kisamvu. Siko hapa kuwakejeli wanawake, ila naomba nijuzwe kama kuna dawa niusaidie huu mchepuko wangu maana kuna muda anakuwa...
  11. JamiiForums Tanzania DOKEZO Aweso nakujulisha kuwa rushwa imetamalaki sana DAWASA pindi wananchi tunapohitaji kuunganishiwa huduma ya maji

    Salaam, Kwanza nianze kwa kumpongeza Aweso kwa namna anavyopambana kuhakikisha maji yanafika kwa wananchi ili kuyafikia malengo ambayo chama na serikali wamejiwekea. Licha ya haya mapambano ambayo wazari anapambana kuhakikisha maji yanasambaa kwa wananchi, yanayoendelea huku kwa watendaji wako...
  12. JamiiForums Tanzania Aweso apanda bodaboda kukagua vyanzo vya maji, wenzake wanatumia Chopa

    WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso kijana wa watu asiye na mbeleko anahangaika kwa usafiri wa bodaboda ili mradi afike ajionee mwenyewe changamoto za maji zinazowakabili wananchi. Wengine watoto wa wakubwa wanatumia Helkopta kukagua vyanzo vya maji vilivyokauka kwa ukame na kusababisha mgao wa umeme...
  13. JamiiForums Tanzania Niaminini mimi, Asernal hachukui ndoo hata ya maji EPL

    Msindikizaji Sana huyu dogo. Anasindikiza baadae wanachukua wengine.
  14. JamiiForums Tanzania Utafiti: Kunywa Maji Mengi kunapunguza hatari ya kupata Magonjwa na kufa mapema

    Unaweza kujua kwamba kuwa na maji ya kutosha ni muhimu kwa utendaji wa kila siku wa mwili kama vile kudhibiti halijoto na kudumisha afya ya ngozi. Taasisi ya Afya ya Marekani kupitia utafiti uliochapishwa na jarida la eBioMedicine umeonesha kunywa maji ya kutosha pia kunahusishwa na hatari...
  15. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Malalamiko yanayotoka ndani ya DAWASA

    Nawasalimu katika Jina la Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania, DAWASA ni Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa mazingira mkoa wa Dar es salaam pamoja na baadhi ya maeneo ya Pwani. Nianze kwa kupongea juhudi inafsi zinazofanywa na serikali yetu ya kumtua mama ndoo kichwani, na juhudi za kuhakikisha kua...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna siri kubwa iliyofichwa katika kuoga maji ya maporomoko ya Marangu

    Hakuna kuongea sana siri za kimungu zilizopo katika maji hayo ni za ajabu na zinastaajabisha ni mara 1000 zaidi ya maji ya upako, fanyeni hivyo mje kutoa ushuhuda hapa. Sina mengi, twendeni.
  17. J

    JamiiForums Tanzania DG - RUWASA awaomba radhi wananchi wa vijiji vya Igando na Kijombe kwa kucheleweshewa huduma ya maji

    Mkurugenzi Mkuu wa RUWASA Mhandisi Clement KIVEGALO ameowaomba radhi wananchi wa vijiji vya Igando na Kijombe wilayani Wanging’ombe kufuatia kucheleweshwa kwa mradi wa maji waliousubiri kwa muda mrefu. “Kwa kweli kwanza nitumie nafasi hii kuwaomba radhi wananchi wote kwa kusubiri mradi huu kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Ladha ya chumvi kwenye maji ya Kilimanjaro inasababishwa na nini?

    Maji ya Kilimanjaro hapo awali hayakuwa na ladha ya chumvi, ila haya ya siku hizi hili tatizo limekuwa sugu, nini sababu ya haya maji kuwa na ladha ya chumvi chumvi? Na ukikagua packaginh yanaonekana ni authentic kabisa, sio fake..
  19. U

    JamiiForums Tanzania Stereotype kuhusu Zoezi la ujazwaji maji Bwawa La Nyerere (JNHPP)

    Mods Msitoe huu Uzi. Serikali Juzi imefanya sherehe ya kurudisha mtiririko wa asili wa Mto Rufiji Kwa Kufunga geti la kupitisha maji katika diversion tunnel( njia ya mchepuko), sherehe zilizohudhuriwa na Rais wa Tanzania na zilizotumia gharama nyingi. Ukweli uliopo Serikali haikuzindua kuanza...
  20. JamiiForums Tanzania Star Tv wameingia vitani dhidi ya awamu ya sita? Habari ya SSH kuzindua uingiaji maji Stiglers ilirushwa ya mwisho, Alloyce Nyanda atumika

    Television zote nchi nzima habari ya kwanza ni bwawa la Mwalimu Nyerere kujazwa maji. Ilikuwa shangwe na vigelegele nchi nzima kumpongeza. Ni star tv tu ndio walirusha habari hiyo kama ya mwisho, ishara ya wazi ya chuki kubwa waliyo nayo dhidi ya SSH. Wahusika wanamtumia Alloyce Nyanda kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…