maji

  1. Mwanangikolo

    JamiiForums Tanzania Mtaa wa Karume Morogoro maji hayatoki kwa wiki ya pili sasa

    Swali kwenu nyinyi mamlaka ya maji mkoa wa Morogoro sijui MORUWASA cjui MWARUWASA, mana me mgeni, kwenye huu mkoa nna mwez wa 2. Sasa toka nihamie kwenye huu mkoa na mtaa nliopanga nyumba apa Karume tunaenda wik ya 2 sasa maji hayatoki shida ni nini asee mana sasa tunakoelekea mtaaan yatazuka...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kwa miaka 61, chama chenye maarifa mengi (CCM), kimeshindwa kutatua tatizo la maji na umeme!

    Sisemi mengi. Hivi inakuingia akilini kuwa CCM ni chama chenye maarifa mengi kama kwa miaka 61 sasa watanzania wanakabiliwa na shida ya maji na umeme wakati nchi imezungukwa na mito, maziwa na hata bahari? Yaani watu walioshindwa kutumia maji ya maziwa (mfano ziwa victoria) katika kupambana na...
  3. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania KUMEKUCHA! JNHPP Kuanza kujazwa maji Disemba 15, 2022

    Kama ulikuwa na shaka kuhusu ujenzi wa Bwawa la JNHPP kwamba litaanza lini kufanya kazi ya kuzalisha umeme, basi wakati wa kumaliza kabisa shaka zako umefikia tamati. Serikali imesema kwamba kuanzia Disemba 15, 2022 itaanza kujaza maji kwenye bwawa hilon ambapo maji hayo yatajazwa hadi Aprili...
  4. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kama hupendi unene na uzito usiofaa pata haya maarifa ufanikiwe ndani ya mwezi mmoja

    Habari wadau, Naomba ushiriki katika ujenzi wa afya, Dunia hii malaika ni watu na si vinginevyo, kila mmoja wetu kaumbwa kama malaika wa pekee, niwape hili moja la kupunguza mwili na Uzito na kuondokana na tabia ya kula kula kila wakati. Anza zoezi la kutumia kahawa iliosagwa vizuri ya dukani...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: 9 wafariki kwa kusombwa na maji wakiwa kwenye Ubatizo, 8 hawajulikani walipo

    Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Huduma za Usimamizi wa Dharura kutoka Jiji la Johannesburg, waumini 16 kati 33 waliokolewa huku watu 8 wakiwa hawajapatikana hadi sasa Mchungaji aliyekuwa akiendesha Ibada ya Ubatizo huo ni kati ya waliokolewa kutoka eneo hilo pamoja na waumini wengine...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Ramaphosa anafikiria kujiuzulu kutokana na kashfa ya kuficha Mabilioni shambani

    Vyanzo mbalimbali ikiwemo Bloomberg vimeripoti kuwa Rais Cyril Ramaphosa yuko kwenye mashauriano na watu wake wa karibu juu ya uamuzi huo kutokana na ripoti ya uchunguzi kuonesha alivunja Katiba ya Nchi. Ramaphosa anakabiliwa na kashfa ya kuficha zaidi ya Tsh. Bilioni 9 kwenye shamba lake...
  7. Gily Gru

    JamiiForums Tanzania Inauzwa: Camera cover ndani ya maji

    Nauza camera cover kwa ajili ya kuzuia mvua au camera kuingia maji. unaweza shoot hata ukiwa ndani ya maji, mazingira ya maji au mvua ikiwa inanyesha. . Bei elfu 50 sawa na bure. .
  8. N

    JamiiForums Tanzania Serikali yasitisha rasmi mgao wa maji

    Serikali ya Rais Samia Suluhu inaendelea kuondoa kero kwa wananchi na sasa mgao wa maji Dar es Salaam umefika mwisho na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alitangaza kusitishwa kwa mgao wa maji. RC Makala jana alisema kwa sasa Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani unapata maji ya kutosha na ya ziada...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatangaza maandamano kudai Umeme, Maji Dar

    Kufuatia kuwapo kwa mgawo wa maji na umeme katika Jimbo la Kibamba jijini Dar es Salaam, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeandaa maandamano ya amani kwenda ofisi hizo ili kujua kiini cha tatizo. Maandamano hayo yaliyopangwa kufanyika Jumatatu Novemba 28, 2022 na Jumanne...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania RC Makalla: Hakuna tena mgawo wa maji Dar

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla ametangaza kuanzia sasa hakuna mgao wa maji ndani ya mkoa huo na kuitaka Mamlaka ya Majisafi na Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuelekeza nguvu kuimarisha miundombinu na miradi mikubwa ikiwemo Mabwepande. Oktoba 24, 2022, RC Makalla alitangaza kuwepo...
  11. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Siri nzito yafichuka upungufu wa maji Ona hii.

    Afu tunasema kuna usalama wa Taifa au wa chadema Mpaka ukuta huu unaisha serikali ipo wapi? Kuna maeneo lukuki Hali Ipo hivi hivi afu mnasingizia ng'ombe wamekuwa wengi. Serikali ya mama ni dhaifu kweli kweli msitufanye watoto wadogo.
  12. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Ipo haja ya kujaribu kuwekeza kwenye vyanzo vingine vya umeme tofauti na umeme wa maji Tanzania

    Nchi yetu imetegemea umeme wa maji kwa muda mrefu sasa licha ya ukweli kuwa zipo njia mandala nyingi na mazingira yanayoruhusu kupatikana kwa nishati mbadala. Ni kama tumejiaminisha kuwa umeme ni mpaka utokane na maji “Hydro-electric power” tu. Tafiti zinaonesha yapo maeneo yanayoweza kutumika...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANESCO yaelezea undani wa tatizo la umeme wa mgao, yataja uhaba wa maji na matengezo ya mitambo

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Maharage Chande amezungumia kinachoendelea kuhusu mgao wa umeme Nchini akitaja sababu na mipango yao ya wanachokifanya ili kukabiliana na changamoto zinazojitokeza. Amesema kuna upungufu wa Megawats 300 hadi 350 kwa siku kutokana na...
  14. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya umeme nchini ilianza na Awamu ya Tatu, sasa ni mbaya zaidi. Kwanini maji ya Ziwa Victoria yasipelekwe hadi Mtera na JNHPP kupata suluhu?

    Awamu ya baba wa taifa na ile ya mzee ruhusa hakukuwa na changamoto la katika katika kwa umeme maeneo ambayo huduma hii ilikuwa imeyafikia. Ni kweli kwamba maeneo hayo yalikuwa hasa kwenye miji mikubwa ya nchi. Shughuli za kiuchumi wa viwanda hazikuwa nyingi kama ilivyo sasa ambapo tumesambaza...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Miaka 61 tangia tupate Uhuru bado tunategemea Umeme wa Maji

    Hivi shida ni nini? Kwanini wanaotuongoza wanaonyesha uwezo mdogo wa fikra ama ni kutokujali. Kwanini hatuna umeme wa Gesi? Kwanini Hatuna umeme wa Makaa y mawe? Kwanini hakuna mfumo wa kukinga maji yanayotengeza umeme yasipotee kwa 100%, ili yaweze kutumika tena.? Naamini shida sio TANESCO...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Tulionya umeme wa maji sio wa kutegemewa, Hayati Magufuli akatia kiburi, leo tuna mgao

    Tulionya umeme wa maji sio wa uhakika kwa sababu mvua hazitabiriki siku hizi kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa duniani. Umeme wa uhakika ungekuwa ule wa gesi kule kusini. Lakini watu wakatia pamba masikioni na kutekelekeza mradi wa gesi uliokuwa umegharimu mabilioni tayari. Hayo...
  17. Gily Gru

    JamiiForums Tanzania Nauza Bata Bukini wenye miezi 8 wakiwa wamepatiwa chanjo zote

    Nauza bata maji wako 8 kwa bei ya laki moja ya kitanzania (Tsh 100,000/-). Bata wana miezi mitano, mmoja ana miezi nane hivi. . Bei nauza kama bure haipungui hata senti moja.
  18. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Eti wao wajanja Magufuli mshamba; si maji wala umeme hakuna

    Walimuita Magufuli mshamba kwa maana wao wajanja. Ujanja wenyewe kupiga dili kuhujumu maendeleo ya nchi. Awamu ya nne tuliambiwa gesi ndio itatatua tatizo la umeme. Tukaacha kwanza mpango wa kuiuza nje tuzalishe umeme kinyerezi. Mabomba yakalazwa urefu wa kilomita elfu na zaidi. Sasa tayari ziko...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania 'Tuoge' sasa 'tusinuke' tena 'Vikwapa' na 'Naniliu' kwani 'Dawasatz' wamesema 'Maji' yameanza 'Kuongezeka' Mto Ruvu

    Hali ya Maji imeanza Kuongezeka Mto Ruvu hivyo maeneo ya Mkoa wa Dar es Salaam yaliyokuwa hayapati Maji sasa yanaanza kupata baada ya Mvua Kunyesha. Chanzo: Dawasatz Tafadhali mlio jirani na Mto Ruvu tupeni Ushuhuda wenu isije ikawa Wachina Wawili, Mswahili Tabasamu na Tajiri wa Kujificha wa...
  20. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania COP Misri Imeisha, Maji kuanza kutoka (tena) soon!

    Mkutano wa mabadiliko ya tabia nchi uliofanyika huko Misri umeisha thank God, na sasa hali kuanzia kurejea kama kawaida hapa Duniani, ukame utaisha na Watanzania wataanza kupata maji (tena), maji yataanza kutoka siku chache zijazo, amini usiamini, ni hivyo, it’s a game, …
Back
Top Bottom