maji

  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Kunywa Maji Mengi kunapunguza hatari ya kupata Magonjwa na kufa mapema

    Unaweza kujua kwamba kuwa na maji ya kutosha ni muhimu kwa utendaji wa kila siku wa mwili kama vile kudhibiti halijoto na kudumisha afya ya ngozi. Taasisi ya Afya ya Marekani kupitia utafiti uliochapishwa na jarida la eBioMedicine umeonesha kunywa maji ya kutosha pia kunahusishwa na hatari...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Malalamiko yanayotoka ndani ya DAWASA

    Nawasalimu katika Jina la Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania, DAWASA ni Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa mazingira mkoa wa Dar es salaam pamoja na baadhi ya maeneo ya Pwani. Nianze kwa kupongea juhudi inafsi zinazofanywa na serikali yetu ya kumtua mama ndoo kichwani, na juhudi za kuhakikisha kua...
  3. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Kuna siri kubwa iliyofichwa katika kuoga maji ya maporomoko ya Marangu

    Hakuna kuongea sana siri za kimungu zilizopo katika maji hayo ni za ajabu na zinastaajabisha ni mara 1000 zaidi ya maji ya upako, fanyeni hivyo mje kutoa ushuhuda hapa. Sina mengi, twendeni.
  4. J

    JamiiForums Tanzania DG - RUWASA awaomba radhi wananchi wa vijiji vya Igando na Kijombe kwa kucheleweshewa huduma ya maji

    Mkurugenzi Mkuu wa RUWASA Mhandisi Clement KIVEGALO ameowaomba radhi wananchi wa vijiji vya Igando na Kijombe wilayani Wanging’ombe kufuatia kucheleweshwa kwa mradi wa maji waliousubiri kwa muda mrefu. “Kwa kweli kwanza nitumie nafasi hii kuwaomba radhi wananchi wote kwa kusubiri mradi huu kwa...
  5. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Ladha ya chumvi kwenye maji ya Kilimanjaro inasababishwa na nini?

    Maji ya Kilimanjaro hapo awali hayakuwa na ladha ya chumvi, ila haya ya siku hizi hili tatizo limekuwa sugu, nini sababu ya haya maji kuwa na ladha ya chumvi chumvi? Na ukikagua packaginh yanaonekana ni authentic kabisa, sio fake..
  6. U

    JamiiForums Tanzania Stereotype kuhusu Zoezi la ujazwaji maji Bwawa La Nyerere (JNHPP)

    Mods Msitoe huu Uzi. Serikali Juzi imefanya sherehe ya kurudisha mtiririko wa asili wa Mto Rufiji Kwa Kufunga geti la kupitisha maji katika diversion tunnel( njia ya mchepuko), sherehe zilizohudhuriwa na Rais wa Tanzania na zilizotumia gharama nyingi. Ukweli uliopo Serikali haikuzindua kuanza...
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania Star Tv wameingia vitani dhidi ya awamu ya sita? Habari ya SSH kuzindua uingiaji maji Stiglers ilirushwa ya mwisho, Alloyce Nyanda atumika

    Television zote nchi nzima habari ya kwanza ni bwawa la Mwalimu Nyerere kujazwa maji. Ilikuwa shangwe na vigelegele nchi nzima kumpongeza. Ni star tv tu ndio walirusha habari hiyo kama ya mwisho, ishara ya wazi ya chuki kubwa waliyo nayo dhidi ya SSH. Wahusika wanamtumia Alloyce Nyanda kama...
  8. sammosses

    JamiiForums Tanzania Tatizo la maji DSM na Pwani ni mkakati wa kudhoofisha nguvu za Rais Samia, au ni tatizo la kiufundi?

    Nchi hii kuna mambo ya ajabu sana,katika moja ya kampeni za mh. Samia rais wa JMT katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo,moja ya kauli mbiu yake katika miradi ya maji ni kumtua mama ndoo kichwanai. Lakini ajabu na kweli kwenye miji iliyo pembezoni mwa vyanzo vya maji ndiyo inayo ongoza kwa...
  9. Patriot

    JamiiForums Tanzania Watu 'Powerful' 12 ni akina nani hadi waachiwe kuharibu Bonde la Ihefu?

    Ni taarifa inayoonesha kwamba hatutaendelea. Tuna kundi la watu wa hovyo, lakini wanaitwa ni powerful! Kwa maoni yako endelea;
  10. NASIRIYA

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amaliza kero ya maji Njombe

    Wakala wa maji safi na usafi wa mazingira Vijijini (Ruwasa) Wilaya ya Njombe Mkoa wa Njombe umeanza kutekeleza Mradi wa maji utakaonufaisha wakaazi 4,144 wa kijiji cha Vyombo Wilayani humo. Meneja wa Ruwasa wilaya ya Njombe ELIKALIA MALISEMA alisema lengo la kujenga Mradi huo ni kuwapunguzia...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Hatukuwahi kuwa na maji ya Bomba, Rais Samia ametuletea

    Wakazi wa Kijiji cha Ilela, Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe waliokuwa wanakabiliwa na kero ya maji safi na salama wameondokana na adha hiyo baada ya serikali ya awamu ya sita chini ya Dkt. Samia Suluhu kuwapelekea mradi wa maji ikiwa ni muendelezo wa utekelezaji wa kampeni ya kumtua mwanamke ndoo...
  12. T

    JamiiForums Tanzania MORUWASA ndiyo mamlaka ya maji ya ovyo sana Tanzania

    1. Maeneo mengi ya Morogoro mjini hayana maji toka June, 2022 wao wamekaa tu kama hawahusiki. 2. Sehemu zinazopata maji hasa eneo la Bong'ola, maji hayo ni machafu na hayatibiwi. 3. Bili haziakisi kiasi cha maji mteja alichotumia 4. Matatizo ya wateja hayafanyiwi kazi 4. Waziri wa maji...
  13. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Trilioni 1.5 Bwawa la Nyerere limepotelea wapi

    Rais Dk. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kushuhudia uzinduzi wa zoezi la kuingiza maji kwenye Bwawa la Julius Nyerere Disemba 22, 2022 badala ya Novemba 2021 iliyokuwa awali. Mheshimiwa Rais pamoja na hatua hiyo muhimu bado kuna mambo ya msingi sana ambayo Waziri wako wa Umeme hajayaweka wazi...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Uongozi siyo sura. Fuateni nyayo za waziri wa Sudan Mobior Garang

    Mobior Garang mtoto wa rais wa kwanza wa Sudan Kusini, alikuwa waziri wa maji na alifanikiwa sana kuhakikisha kila mahali nchini kwake Kuna maji. Hapa bongo kwa muonekano wa huyu mshikaji hata ubalozi asingepewa na angeozea jela.
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bwawa la Mwalimu Nyerere kuanza kujazwa maji Desemba 22, 2022

    Ujenzi wa Bwawa hilo (JNHPP) ambao hadi Novemba 2022 ulikuwa umefikia 77.15%, unatazamiwa kufikia 80% wakati mchakato wa kujazwa maji utakapoanza. Meneja Mawasiliano wa Shirika la Umeme Tanzania TANESCO, Elihuruma Ngowi amesema “Ujazaji maji utaanza wiki ijayo Desemba 22, 2022 na siyo leo...
  16. R

    JamiiForums Tanzania TANGAUWASA sasa ni siku ya nne bila maji

    Ni siku ya 4 hakuna maji sehemu baadhi People need water na siyo mambo ya Mowa, mara umeme mdogo and the like!
  17. Program Manager

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akiniacha ni kama tu nimetupa chupa ya maji ambayo tayari nimeyanywa

    Iko hivyo. Mimi sina kabisa muda wa kulia lia eti kisa demu ameniacha. Mimi sina hizo habari za kulazimisha eti demu anipende,sina huo muda kabisa. Mimi demu nikishamla hapo ni yeye ndo ataamua kama tuendelee au tumwagane. Demu tuliyejuana ukubwani akiwa ametunguliwa mishale kibao kwangu...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Namba hazidanganyi: Kwa takwimu hizi kwenye mechi kati ya Croatia na Brazil, Argentina aanze tu kutia maji wembe umpitie!

    Takwimu zinaonesha Croatia hakubahatisha kum funga Brazil! Alitawala mpira zaidi, alizuia (clearances) zaidi, na alikuwa makini zaidi kwa asilimia 100 alipopata kulenga goli (shots on target)!! Kwa takwimu hizi, Argentina watie maji mapema vinginevyo watanyolewa kavu kavu!! Match stats...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Katavi: Mkurugenzi MUWASA asimamishwa kazi kwa kununua Pikipiki 30 kwa Tsh. Milioni 114

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imeagizwa kumhoji Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Mazingira Wilaya ya Mpanda, Hussein Nyemba kwa tuhuma za kukiuka Taratibu za Manunuzi ya Umma. Nyemba anadaiwa kununua Pikipiki 30 Jijini Dar es Salaam kwa Tsh. Milioni 3.8 kila moja huku...
  20. Mwanangikolo

    JamiiForums Tanzania Mtaa wa Karume Morogoro maji hayatoki kwa wiki ya pili sasa

    Swali kwenu nyinyi mamlaka ya maji mkoa wa Morogoro sijui MORUWASA cjui MWARUWASA, mana me mgeni, kwenye huu mkoa nna mwez wa 2. Sasa toka nihamie kwenye huu mkoa na mtaa nliopanga nyumba apa Karume tunaenda wik ya 2 sasa maji hayatoki shida ni nini asee mana sasa tunakoelekea mtaaan yatazuka...
Back
Top Bottom