maji

  1. JamiiForums Tanzania USHAURI: Idara zote za Maji tuwape DP World kuongeza ufanisi

    Tumewafukuza wamasai Loliondo ili kuwapa waarabu kupaendeleza, tupo kwenye hatua za mwisho kuwapa DP World bandari zote za Tanganyika kuziendeleza, kuna tetesi kuwa misitu yote pia tumewapa watusaidie. Nashauri tuwape wizara ya maji na wizara ya nishati ili watusaidie pia kusambaza maji ya...
  2. JamiiForums Tanzania DOKEZO Shida ya maji mkoani Morogoro

    Nilikuwa kikazi mkoani MOROGORO, nikapita kwa ndungu yangu mafiga iasee, wananchi wa Morogoro municipal wana shida ya maji balaa. Hasa kipindi hiki cha kuelekea maonyesho ya 88 Hali inakuwa mbaya zaidi, kwani maji mengi wanayapeleka kunyeshea kwenye bustani za mazao mbalimbali kwenye eneo hilo...
  3. JamiiForums Tanzania Mgao wa Maji umerudi Dar?; Kunduchi-Mtongani wiki inaisha bila maji kutoka

    Salaam ndugu, Ni hatari kwa afya kumaliza wiki nzima bila kupata maji. Labda sijui walitangaza kutakuwa na mgao wa maji, lakini hakuna mgao unaokwenda mpaka wiki nzima bila maji kutoka. Tunajipa matumaini labda maji yatatoka usiku lakini wapi! Nilitegemea mvua nyingi zilizonyesha hivi karibuni...
  4. JamiiForums Tanzania Shoking: South African taps run dry after power shortages

    Amani na utulivu uliyokuwepo karibu na mji mkuu wa Afrika Kusini, Pretoria yatoweka kutokana na kelele za wachimba visima wanaotafuta maji. Kwa sehemu kubwa maji yanasambazwa na umeme, hivyo kukatika kwa umeme kwa muda mrefu kumeathiri sana upatikanaji wa maji sehemu mbalimbali ikiwemo miji ya...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Japan yapuuza maslahi ya nchi nyingine kwa mpango wake wa kutupa maji machafu ya nyuklia baharini

    Kampuni ya Umeme ya Tokyo ya Japan hivi karibuni imeanza kazi ya majaribio ya mitambo ya kupeleka maji machafu ya nyuklia baharini. Baada ya kumalizika kwa majaribio hayo, Japan inatarajia kuanza rasmi mpango wake wa kutupa maji machafu ya nyukilia kwenye bahari ya Pasifiki. Mwaka 2011...
  6. JamiiForums Tanzania Tunauza Water pumps za Solar

    Tuna pampu ndogo hadi kubwa za kutoa lita 30,000 kwa saa. Bei. Surface pump na submersible 0.5hp lita 2000kwa saa. complete tsh 700,000. 2hp ya kudmbukiza lita 8000 kwa saa, mita18head tsh 2,300,000 2hp ya surface lita 30000 kwa saa Tsh 3,000,000. zipo pia za mita hadi 150. 0747591578...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Huduma za Maji zimepoteza Trilioni 6

    SERIKALI imesema ripoti ya Benki ya Dunia ya mwaka 2023, imeonyesha nchi inapoteza Sh. trilioni tano hadi sita kila mwaka kutokana na upatikanaji hafifu wa huduma za maji safi na salama pamoja na usafi wa mazingira. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam, wakati...
  8. JamiiForums Tanzania Utiaji Saini Mikataba ya Miradi ya Maji Mkoa wa Dodoma

    WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA YA MIRADI YA MAJI KWA HALMASHAURI ZA MKOA WA DODOMA Waziri wa Uwekezaji Viwanda na Biashara (Mb) Mh Dkt Ashatu Kijaji tarehe 12 Juni, 2023 alishuhudia tukio la utiaji saini Mikataba ya Miradi ya Maji katika Mkoa wa Dodoma. Tukio hili la...
  9. JamiiForums Tanzania Watu zaidi ya 150 wamekufa maji katika ajali ya boti nchini Nigeria

    Boti hiyo ilikuwa ikiwasafirisha watu katika jimbo la Kwara kutoka kwenye harusi katika jimbo jirani la Niger wakati ilipoanguka, polisi wa jimbo hilo na ofisi ya gavana walisema, bila kutoa maelezo ya chanzo cha ajali Zaidi ya watu 150 wamekufa maji kaskazini mwa Nigeria baada ya boti...
  10. JamiiForums Tanzania Mashabiki Simba mtacheza ngoma za Yanga hadi muite maji mma

    Tulianza na la suala la usajili kipindi kile akina Aziz Ki Tukarudi kwa Kisinda Tukaenda kwa Feisal Tukarudi CAF na mvua Tukawagongea nguma ya mechi za ugenini CAF Tukaja kwenye nusu fainali CAFCC na fainali yake Tukahamia kwenye medali za CAF Tukarudi kwenye kiatu NBC PL Sasa tupo kwenye Bingwa...
  11. JamiiForums Tanzania Faida za kunywa maji asubuhi

    Katika mwili wa binadamu, unywaji maji husaidia sio tu kuondoa kiu anayokuwa nayo mtu, bali pia kufanya kazi mbalimbali katika mwili ikiwa ni pamoja na kutuepusha dhidi ya magonjwa mbalimbali. Maji huchukua karibu asilimia 70 ya mwili wa binadamu, na seli za ubongo zina karibu asilimia 85 ya...
  12. JamiiForums Tanzania Hadithi Fupi: Vita vya Maji Mengi

    Na: Mwalimu Makoba "NI hadithi kama hadithi za sungura na fisi. Haihusiani na tukio lolote halisi." Sehemu ya Kwanza Hapo zamani za kale watu kutoka mbali waliwavamia Wenyeji. Watu hawa waliwachukua na kuwauza kama anavyouzwa mbuzi mnadani. Ili kujihakikishia Wananchi hawafurukuti au...
  13. JamiiForums Tanzania Wabunge wetu: Kesho huyo mpendwa wetu DP World mpeni tu bandari kavu zetu zote. Hizo bandari maji aachane nazo, tutaziendeleza kwa pesa yetu

    Huyo DP World ni gwiji sana wa bandari kavu. Huko Rwanda kawafanyia maajabu hadi inasemekana wamezipita baadhi ya bandari maji barani Afrika. Mpeni exclusive ownership za bandari kavu zetu zote. Masharti mengine ya mkataba yanaweza baki kama yalivyo isipokuwa pale inaposomeka bandari maji...
  14. JamiiForums Tanzania Mradi wa Maji Kutoka Ziwa Victoria kwenda Muleba Wanukia

    MRADI WA MAJI KUTOKA ZIWA VICTORIA KWENDA MULEBA WANUKIA Serikali kupitia Wizara ya Maji kuanza utekelezaji mradi wa maji kutoka Ziwa Victoria kupeleka Muleba kwa mwaka wa fedha ujao. Hayo yametanabaishwa na Naibu Waziri Wizara ya Maji Mhe. Maryprisca Winfred Mahundi wakati akijibu swali la...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Mtoto atumbukia shimoni, afa maji

    Mtoto Lameck Yohana (6) amekufa maji baada ya kuteleza kwenye dimbwi alipokuwa akichota maji na kufanya idadi ya watu waliokufa maji tangu Januari mpaka sasa kufika 12 mkoani Simiyu. Tukio hilo limetokea katika Mtaa wa Bunamhala mjini Bariadi ambapo mtoto huyo akiwa na wenzake walienda kuchota...
  16. M

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila, PR yako ya kumsafisha rais juu ya shida ya Maji jijini wana Dar es salaam hatudanganyiki

    Siku hizi RC Chalamila kila akipata fursa ya kuzungumza mbele ya rais, haachi kutoa data zenye ukakasi kuhusu suala la maji jijini Dar es salaam. Amekuwa mara kwa mara akitoa data kuwa rais katoa fedha kujenga miundo mbinu ya maji hapa na pale jijini, hata hivyo hanukuu ni bajeti ipi hizo pesa...
  17. JamiiForums Tanzania Siku ukizama kabisa kwenye kina kirefu cha maji

    Kipindi cha mashindano ya dunia kule Budapest, Hungary; Anita Alvarez alizama chini kabisa mwa Pool. Ukiangalia pale kwenye dawati la wakufunzi, Andrea Fuantes ambaye ni kocha wake anaonekekana kutokuwa na utulivu sababu mwanafunzi wake yupo chini kwa muda mrefu. Anakurupuka na kuzama majini...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Hali ya huduma ya Maji Safi Dodoma

    Hali ya huduma ya Maji safi Dodoma. Kufuatia ongezeko la watu katika jiji la Dodoma lililosababishwa na Serikali kuhamia Dodoma, mahitaji ya maji yaliongezeka kutoka Lita Milion 44 kwa siku mwaka 2017 hadi Lita Milion 133 kwa siku mwaka 2023. Vyanzo vyote vya maji vilivyopo Dodoma vina uwezo wa...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi Dodoma ndio hakuna maji namna hii?

    Nimekaa hapa wiki moja nzima, mabomba hayatoi maji. Nadhani serikali imeharakisha kuhamishia makao makuu hapa Dodoma kabla suala la maji halijatengemaa. Awesu ndo yupo Italy anakula bata tu. ==== UFAFANUZI KUTOKA DUWASA ====
  20. M

    JamiiForums Tanzania Suala la timu ya USM Alger kuja na Maji na vyakula linafikirisha sana

    Juzi tumeona kwenye mitandao ya kijamii ikionyesha timu ya USM Alger ikiwasili JK Nyerere International Airport ikiwa na shehena ya Maji ya kunywa na pia inasemekana walibeba na vyakula vyao. Huenda wakawa na nia njema ya kuhakikisha usalama wao na kuepuka hujuma za kimichezo lakini pia kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…