maji

  1. JamiiForums Tanzania Kisa Maji, Madiwani Ilemela Mwanza, wahofia kukosa Kura Uchaguzi mkuu Ujao

    Swala la Ukosefu wa Maji katika halmashauri ya Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza imekuwa sugu kiasi kwamba wananchi wanakosa walalamike kwa nani kutokana na kero ya ukosefu huo wa maji safi na Salama. Kijografia Ilemela imezungukwa na Ziwa Victoria lakini upatikanaji wa maji safi na salama kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Maji yanafanyaje hadi yanazima moto? Maji yanaweza kuwaka?

    Habari wana JF. Maji yanafanyaje hadi yanazima moto? Na kwa nini vitu vibichi huwa "haviwaki"? Pia inawezekana maji yakashika moto na kuwaka kama ilivyo kwa mafuta, ponbe nk? Kiufupi naomba kupata elimu juu ya moto na maji. Natanguliza shukrani.
  3. JamiiForums Tanzania Maji ya Bomba Kutoka Ziwa Victoria Yaendelea Kusambazwa Musoma Vijijini

    MAJI YA BOMBA KUTOKA ZIWA VICTORIA YAENDELEA KUSAMBAZWA MUSOMA VIJIJINI Jimbo la Musoma Vijijini lina Kata 21, Vijiji 68 na Vitongoji 374. Vijiji vyetu vyote vina miradi ya maji ambayo iko kwenye hatua mbalimbali za utekelezaji. Miradi ya maji ya bomba kutoka Ziwa Victoria inatekelezwa kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Mbunge alazimishwa Kunywa Maji machafu na Wananchi wake

    Tafadhali naomba kujua hawa Wananchi wa hilo Jimbo wangependa GENTAMYCINE niwape Zawadi gani kwa Kunifurahisha hivi? Na Mimi sasa najiandaa kuanzisha Kampeni ya chini chini na Wananchi wa Jimbo langu ili Mbunge Wetu Samjo Samjo ( Muongo Muongo ) japo ni Mtumishi wa Mola ( Maulana ) nae akija...
  5. JamiiForums Tanzania DOKEZO Maji huku kwetu Mungumaji, Singida ni anasa badala ya Huduma

    Mh.Rais mama SSH heshma yako mama yangu(Shikamoo). Binafsi mimi na wananchi wenzangu tumekuwa tukifuatilia kwa muda mrefu kupata huduma ya maji pasipo mafanikio yeyote. Kwanza Mh. Rais naomba nikufahamishe ama ni weke rekodi sawa. Mungumaji ninayo izungumzia hapa ipo manispaa pia ni sehemu...
  6. JamiiForums Tanzania Mradi wa ujenzi wa Mji wa Serikali Mtumba umeleta ajira na kuchangia chachu ya ukuaji wa uchumi

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama, amesema mradi wa Ujenzi wa Mji wa Serikali Mtumba, pamoja na Miradi mingine ya kimkakati imeleta ajira na kuchangia kasi na chachu ya ukuaji wa uchumi hususan katika Jiji la Dodoma. Ameyasema...
  7. JamiiForums Tanzania 13 wahofiwa kupoteza maisha mitumbwi miwili ikizama Ziwa Victoria

    Watu 13 wanahofiwa kufariki dunia huku wengine 14 wakiokolewa baada ya mitumbwi miwili kuzama ndani ya Ziwa Victoria wakati wakitoka kusali ibada ya Jumapili Kijiji cha Ichigondo Wilaya ya Bunda mkoani Mara. Akizungumza kwa simu na Mwananchi leo Jumatatu Julai 31, 2023, Mkuu wa Wilaya ya Bunda...
  8. JamiiForums Tanzania Maji ya baraka ya (RC) vs maji ya upako ya (Mwamposa)

    Ndugu wanajamii, kuna utofauti upi wa kiimani Kati ya maji ya "baraka " na maji "ya upako"? Je, tofauti pekee ni, yale mengine kuuzwa? Au kuna tofauti zingine za ziada? Je, mkate wa Bwana na keki ya upako Vina tofauti gani? Nashawishika kuamini kuwa bulldozer ana"copy" vitu upande wa...
  9. JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Bwawa la Maji la Muko (Bilioni 1.9) Kijiji cha Mengo Kata ya Ndalambo Jimbo la Momba

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso tarehe 01 Agosti, 2023 amezindua mradi wa Maji wa Bwawa la Muko wenye thamani ya Shilingi Bilioni 1.9 lililopo katika Kijiji cha Mengo Kata ya Ndalambo ndani ya Jimbo la Momba. Bwawa la Maji la Muko lina uwezo wa kuchukua Maji Lita Milioni 166,386,474 na kuhudumia...
  10. JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Israel waziba chanzo cha maji kwa saruji kinachowapa Wapalestina maji mjini Hebroni

    Huu ndiyo ukatili wa hali ya juu unaoendelea huko Palestina na huku Dunian ikifumbia macho haya yote.
  11. JamiiForums Tanzania Nimemwagiwa maji hadharani

    Salamu zenu wana Jukwaa, Leo kwa mara ya kwanza katika pitapita zangu kwa nimemwagiwa maji machafu hadharani halafu ukicheki nimetupia pamba zangu za ukali kuwahi appointment na demu wangu, dah hapa nimeghairi niko zangu maghethoni nakula usingizi🛌🛌.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kuna mgao wa maji unaendelea kimyakimya maeneo ya Tegeta?

    Jamani hakuna mtu ambae haelewi umuhimu wa maji kwenye shughuli mbalimbali za kila siku. Sasa maji yanavyokosekana siku nzima bila taarifa yoyote wala tahadhari watu wajiandae mnataka watu tuishije? DAWASA shida ni nini mpaka wakazi wa Tegeta maeneo ya Kibo, maeneo kuzunguka Hospitali ya...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kapeleka huduma za maji kila kona ya Nchi

    Kila nikifungua kituo chochote cha TV ni huduma za maji tu. Nikafikiri labda ni hivi vituo vilivyozoeleka ambavyo haters huvihusisha na CCM wakati mwingine lakini kumbe sivyo kwani hata nilipofungulia kituo cha CHADEMA TV nao nikakuta wanarusha habari ya uzinduzi wa mradi wa maji yaani...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Muhambwe wampa 5 Rais Samia mradi wa maji wa milioni 650, mbunge atoa kompyuta na mashine ya photocopy

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, Dkt Florence George Samizi ameendelea na ziara yake ya kufanya mikutano ya hadhara kuelezea utekelezaji wa Ilani ya CCM ambapo leo alikuwa Kata ya Misezero Kijiji cha Kumkugwa. Wananchi wa Kumkugwa wameonyesha kufurahia mno na kumshukuru Rais Samia...
  15. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Ni aibu Jiji la Mwanza kuwa na mgao wa maji

    Nianze kwa kusema ukweli kwamba Waziri Juma Aweso, Anafanya kazi kubwa ya kuhakikisha kwamba Tanzania tatizo la maji linakwisha lakini naamini watendaji wake ndio wanaomkwamisha. Ni miezi mitatu sasa Jiji la Mwanza lililozungukwa na Ziwa Kubwa barani Afrika Wakazi wake tunakosa maji wakati ziwa...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nikigusa maji kila mara miguu inachanika nakuwa na machacha

    Habari wadau kwema, shida yangu ipo hivi, nipo Nyumbani mara nyingi na kuna shughuli huwa nafanya kama kusafisha vyombo pamoja na kufua. Ila shida maji yakiingia kwenye vidole na uyayoni basi shida miguu inapasuka sana, Muda mwingine vidonda vinatokea kwenye vidole, ila nikiwa mkavu miguuni...
  17. JamiiForums Tanzania SoC03 Tutumie maji chini ya ardhi kuongeza upatikanaji wa huduma ya maji

    Tunahitaji maji katika shughuli za kila siku za kibinadamu (kunywa, upishi na usafi), kiuchumi (kilimo na ufugaji, uvuvi, ujenzi, kuzalisha nishati, utalii, viwandani n.k) na mazingira. Katika kuongeza upatikanaji wa huduma ya maji kwa mijini na vijijini, Serikali inatekeleza miradi ya maji...
  18. JamiiForums Tanzania Mwanza Mamlaka ya maji taka Mjitafakari

    Ilipo Stand ya Igombe, Mtaa wa Posta Jijini Mwanza jirani yake kuna chemba ya kusafirisha maji machafu (Mavi) sasa chemba imefumuka ina wiki sasa. Eneo lile linatoa harufu ile mbaya, maji yanatiririka kiasi kwamba kuna chembechembe za vinyesi ambazo zinaonekana na kuhatarisha afya za watu...
  19. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Katavi Wamshukuru Rais Samia kwa Huduma ya Maji

    MHE. MARTHA MARIKI - WANANCHI WA KATAVI WAMSHUKURU RAIS SAMIA KWA HUDUMA YA MAJI Mbunge wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi Martha Mariki ameishukuru serikali kwa kuwaletea Huduma ya Maji safi na Salama wa kazi wa Kata ya Mwamkulu Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi. Mhe. Martha Mariki Akiwa katika...
  20. JamiiForums Tanzania INAUZWA Magomeni makuti Dar: Tenki la maji 2000L linauzwa

    Tenki hilo 2000L Bei 250,000 0744033555 Limetobolewa sehemu 3 kwa ajili ya kusambaza maji kwa nyumba za wapangaji.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…