maji

  1. Roving Journalist

    Dkt. Massaga: Uzalishaji Maji tiba Hospitali ya Bugando kuokoa fedha ambazo zingetumika kununua maji tiba kutoka sehemu nyingine

    Idara ya famasi imefanya maboresho makubwa kupitia kitengo cha uzalishaji maji tiba, (Infusion Unit). Akizungumza katika makabidhiano Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando, Dkt. Fabian Massaga amewapongeza Idara ya Famasi kwa jitahida kubwa wanazofanya ili kuongeza uzalishaji...
  2. Stephano Mgendanyi

    Mbunge wa Hai Afanya Makubwa Kwenye Sekta ya Maji

    Mwaka 2020 jina la Saashisha Mafuwe likawa miongoni mwa majina 42 ya makada wa Chama Cha Mapinduzi waliojitokeza kugombea nafasi ya ubunge katika Jimbo la Hai, mchakato wa kura za maoni ndani ya Chama ukafanyika na Saashisha Mafuwe akaibuka mshindi na baadae Chama kikarejesha jina lake...
  3. Bhaghosha

    Bill ya maji Arusha yapanda kwa asilimia 50%. Kuna nini?

    Wandugu, hivi mmepitia bili zenu za maji mwezi huu, hasa wa Arusha. Naona imepanda kwa karibu asilimia 50. Kuna nini kinaendelea. Ni hitilafu au ndiyo gharama ya maji imeongezeka? Inatisha.
  4. Stephano Mgendanyi

    Bilioni 4.6 za Rais Samia Zaondoa Changamoto ya Maji Jimbo la Hai

    BILIONI 4.6 ZA RAIS SAMIA ZAONDOA CHANGAMOTO YA MAJI JIMBO LA HAI Serikali imefanikisha upatikanaji wa kiasi cha Sh Bil 4.6 kwa ajili ya upatikanaji wa huduma ya majisafi na salama kwa wananchi katika jimbo la Hai kwa kuboreshaji mradi wa maji wa Hai mjini ,Upanuzi wa mradi wa maji NIre-...
  5. BARD AI

    Iringa: Kina cha Maji Bwawa la Mtera chapungua na kuathiri uzalishaji Umeme

    Kina cha maji cha Bwawa la Mtera, Mkoani Iringa kimepungua na hivyo kupunguza Uzalishaji wa umeme kutoka megawati 80 mpaka 72. Hayo yamebainika leo Septemba 9, 2023 baada ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kutembelea bwawa hilo ili kuona uzalishaji wa umeme. Mwenyekiti wa Kamati...
  6. emmarki

    Kemikali gani huyafanya maji yawe na ladha nzuri kama yanayouza kwenye chupa?

    Habari, Kwenu watalaamu, naomba kufahamishwa ni chemical gani ninaweza kutumia ili kutafanya maji ya bombani (dawsco) yawe matamu kama yanayosambazwa na chupa..mfano Hill water, masafi Afiya...nk. Naomba kufahamu upatikanaji wake, bei, muuzaji.
  7. T

    Nahitaji Tank la Maji used

    Nahitaji used simtank la maji lita 10,0000 Angalizo Liwe bado zima Iwe Dodoma
  8. anti-Glazer

    Jiji la Dar es Salaam lakubwa na uhaba was Maji.

    Ni mawiki Sasa mji mzima sehem za milima milima maji hakuna. Hakuna kwenda toilets. Yaani ni mwendo wa kunawa. Tunakoelekea watu watafunga. Alichosema mh waziri wa tamisemi ni sawa kabisa viongoz wanajifungia maofisini
  9. Q

    Rais Samia anajaribu kuzima moto wa petrol kwa maji

    Moto wa petroli una tabia kuu moja, unapoumwagia maji ili kuuzima unaibukia pembeni tena kwa nguvu zaidi ya ule wa mwanzo tena una tabia ya kulipuka. Deusdedith Soka kijana aliyeandamana kupinga mkataba wa DPW jana kachomewa nyumba yake na watu wasiojulikana, Mdude, Mwambukusi na Dr. Slaa...
  10. Q

    Dawasco Kibaha Maili Moja, maji hakuna mwezi. Wanasema mpigie Aweso

    Tuna mwezi wakazi wa Mwanarugali hatujapata maji, hakuna majibu mazuri kutoka DAWASCO, wanasema tumpigoe aweso. Nawakumbusha wafanyakazi tufanye kazi kama ambavyo tulivyo kuwa tuna iomba iyo kazi amina.
  11. Q

    DOKEZO Tatizo la maji Kibaha Mwanarugali mwezi mzima hayatoki, huduma kwa wateja wanasema tumpigie Waziri Aweso

    Nchi ilipofikia unafokewa hadi na customer care. Bongo now kila mtu boss, wafanyakazi DAWASCO kuna shida gani ya maji mwanarugali hadi mwenzi unapita hamna maji, ukiwapigia wanasema mpigie Aweso aje! Kweli ndio tumefika huko? Tukumbuke wakati tunaomba kazi, Amina.
  12. BigTall

    DOKEZO Waziri wa Maji na Mkuu wa Mkoa tusaidieni Wakazi za Muriet (Arusha) turejeshewe huduma ya maji, mwezi wa pili huu tunateseka

    Sisi Wananchi wa Mtaa wa Agape, Kata ya Muriet Mkoani Arusha tuna changamoto ya kukosa maji kwa muda wa miezi miwili sasa. Licha ya kufanya jitihada za kuwasiliana na mamlaka ya Maji (AUWSA) hatujapata majibu ya kueleweka, hali hiyo imekuwa ikisababisha kero kubwa kwa wakazi wengi wa Agape...
  13. Roving Journalist

    Dawasa Kibaha yarejesha huduma ya kuunganisha maji kwa wateja wapya

    Meneja wa DAWASA Kibaha, Alfa Ambokile amesema “Kila ofisi au taasisi inaweza kupitia kipindi fulani kigumu lakini huduma ya kuunganisha maji tayari imerejeshwa na hata leo hii (Agosti 28, 2023) tumehudumia wateja wapya wa kuunganishiwa maji. Tulisitisha kipindi cha ukame Mwaka jana (2022)...
  14. benzemah

    Waziri Aweso Amshukuru Rais Samia ukarabati Chuo cha Maji, atoa maagizo mazito

    Waziri wa Maji, Mheshimiwa Jumaa Aweso, amefanya kikao kazi na watumishi wa Chuo cha Maji pamoja na kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Miundombinu ambayo mchakato aliuanzisha na Rais Samia kuridhia kutoa fedha na tayari Ukarabati wa Mabweni umekamilika na sasa kazi ya ujenzi wa Maktaba kubwa ya...
  15. R

    DAWASCO Wanakata maji bure wanaorejesha kwa kati ya 15,000 hadi 150,000 bila kutumia control number;

    Naungana na ACT wazalendo kwenye hoja yao waliyoelekeza kwa Waziri mwenye dhamana na masuala ya maji: wateja wanaolipia kuunganishiwa maji ni wengi lakini hakuna vifaa. Ukiuliza unaambiwa serikali haijatoa vifaa. Wateja wenye mifumo ya maji isiyotoa maji ni wengi na hakuna sababu za kwanini maji...
  16. S

    Tatizo la umeme na maji

    Nakaa chini najiuliza kila Mara haya mambo mawili yatakwisha lini nchini mwetu? Swala la umeme limekua sugu Sana huku Mwanza hazishiki siku mbili lazima mshinde masaa 12 Bila umeme na hii inachukuliwa kama sababu pia maji hayapatikani kabisa. Miaka 60 ya uhuru. Hivi nikwanini huu umeme Kama...
  17. JanguKamaJangu

    Mwanza: Mradi wa maji Butimba wafikia 94%, utaanza majaribio ya kutoa maji Septemba 15, 2023

    Mradi wa maji Butimba wafikia asilimia 94, kuongeza upatikanaji wa maji kutoka lita 90 hadi 138. Mradi mkubwa wa maji wenye thamani ya Sh69 Bilioni unaojengwa eneo la Butimba jijini Mwanza umefikia asilimia 94 na utaanza majaribio ya kutoa maji Septemba 15 mwaka huu. Waziri wa Maji, Jumaa...
  18. K

    Mitaro ya maji katika paa la flat roof

    Habari zenu wanajamvi. Nimefanikiwa kujenga nyumba ya flat roof, nyumba ina mitaro darini inayokinga maji ya mvua ila mitaro inaonekana kwa ndani kama mnavyoona ktk hii picha. Mtaro uko kulia (sebuleni) na kushoto (dining) . Dari haina muonekani mzuri, Naomba mawazo yenu juu ya design nzuri ya...
  19. Stephano Mgendanyi

    Kero ya Maji Kandiya Haitanishinda - Mbunge Lekaita wa Kiteto

    KERO YA MAJI KANDIYA HAITANISHINDA - MBUNGE EDWARD LEKAITA Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mhe. Edward Ole Lekaita amewaambia wananchi wa tawi la Kandiya Kitongoji cha Kona kuwa changamoto ya Maji waliyonayo haitamshinda kuitatua na ameahidi kushirikiana na RUWASA kutatua changamoto hiyo. Mbunge wa...
  20. Roving Journalist

    Waziri wa Maji amtumbua Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji Mwanza, Mhandisi Leonard Msenyele

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso (Mb) leo tarehe 20 Agosti, 2023 amemuondoa katika nafasi yake Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jijini Mwanza (MWAUWASA), Mhandisi Leonard Msenyele. Mhe. Aweso amechukua hatua hiyo kwa mamlaka aliyo nayo kupitia Sheria Namba 5 ya...
Back
Top Bottom