maji

  1. K

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa mji wa Njombe wanatarajia kupata huduma ya majisafi, salama na ya kutosheleza kwa asilimia 100, kufuatia Mradi mkubwa wa maji unaotekelezwa

    Wakazi wa mji wa Njombe wanatarajia kupata huduma ya majisafi, salama na ya kutosheleza kwa asilimia 100, kufuatia Mradi mkubwa wa maji unaotekelezwa na Serikali kwa gharama ya Dola za Marekani 15.7. Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb), amefanya ziara ya kukagua mradi huo ambao ni moja wapo...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Breaking Wairan wailaani Serikali ya Ayatollah na kuifananisha nchi yao na gereza kubwa ambalo ndani yake hakuna umeme wala maji.

    VOICES FROM IRAN 'A big prison with no water or power', fed up Iranians speak out 2 hours ago Share Iranians are speaking out with increasing urgency over chronic water and electricity outages that upend daily life and fuel fury at the government. With temperatures topping 40°C in Tehran and...
  3. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania Aweso aagiza mkandarasi kuongeza kasi ya utekelezaji miji 28 Mafinga

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso (Mb) amemtaka mkandarasi wa mradi wa maji wa miji 28 wilayani Mafinga kampuni ya Jandu Plambers LTD kuongeza kasi ya utekelezaji wa mradi ili kufanikisha hitaji la huduma ya majisafi kwa wakazi wa Mafinga kwa wakati. Mradi huo katika mji wa Mafinga ni sehemu ya mradi...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania MWAUWASA: Maeneo ya Milimani Mwanza hukumbwa na upungufu wa maji kutokana na msukumo mdogo

    Mdau wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa Mkazi wa Mtaa wa Kaseze, Kata ya Mkolani, Wilaya ya Nyamagana aliandika ~ Mwanza: Mtaa wa Kaseze, Nyamagana hatuna maji, badhi ya Wananchi wanajisaidia vichakani, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imepa majibu Mwananchi...
  5. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mradi unaolenga kuboresha huduma ya maji Tanga Jiji, Muheza, Pangani na Mkinga, kunufaisha wakazi 555,000

    Hatimaye wakazi wa mikoa ya Tanga, Pangani, Muheza na Mkinga wananufaika moja kwa moja na matunda ya hati fungani ya kijani iliyotolewa na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (TANGA UWASA), yenye thamani ya Shilingi Bilioni 53.12, ambayo ilianza kuuzwa rasmi tarehe 22...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mkandarasi wa Daraja la Mkuyuni anashindwa kumwaga maji, vumbi linatutesa sana

    Hivi huyu mkandarasi anayejenga Daraja la Mkuyuni hapa Mwanza anakuwa na shida gani ya kutomwaga maji kwenye barabara ya muda. Unakuta inaweza kuchukua mpaka siku mbili Watu tunateseka na vumbi hii, kwanza watumiaji wa vyombo ni hatari kwao kwa kuwa vumbi likiwa jingi ni vigumu kuona...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Mama punguza upole, mboni zako zinachezewa

    Kuna kikundi cha watu hawataki kukuona ukiwa kwenye kiti ulichokalia. Wanaleta Kila aina ya chokochoko. Wanafanya hivyo kwasababu ya upole wako na roho ya huruma ya kimama uliyonayO hivyo wanakuchukulia poa. Nadhani sasa umefika wakati wa kuwa bandidu na kutocheka na "wowote" Manyang'au hawana...
  8. Gemini Are Forever

    JamiiForums Tanzania Naombeni Ushauri: Suluhisho la Maji ya Chumvi kwa Kutumia Teknolojia ya Reverse Osmosis.

    Habari wanajukwaa, Nipo kwenye eneo ambalo maji ni changamoto kubwa sana, tatizo kubwa ni kwamba maji yanayopatikana hapa ni ya chumvi (hayafai kunywa moja kwa moja, pengine hata kuoga wala kufulia). Kutokana na hali hiyo, nimekuwa na wazo la kuanzisha huduma ya kusafisha maji kwa kutumia...
  9. Just Pray

    JamiiForums Tanzania GE2025 Waziri Aweso: 'Tufocus' katika miezi hii miwili, kufikia Oktoba wananchi Tabora wapate maji

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso amewataka Wakandarasi wanaotekeleza Mradi wa Maji wa Miji-28 kufanya kazi Usiku na Mchana ndani ya Kipindi cha Mwezi Julai na Agosti, akiagiza wananchi wa Miji ya Urambo, Kaliua na Sikonge mkoani Tabora kuanza kupata huduma ya Maji Mwezi Oktoba mwaka huu. Wakati wa...
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Gwajima aelimishwe juu ya wajibu wa Jeshi la polisi wa kulinda usalama wa raia, mali na makazi na sio ujenzi wa barabara au uchimbaji visima vya maji

    Afundishwe vyema pia kwamba hakuna namna nchi inaweza kuacha jambo muhimu sana kama la ulinzi wa Taifa, watu, mali na makazi yao likafanywa na makampuni binafsi ya ulinzi, kwasababu tu eti jeshi la polisi liko na shughuli au tenda nyingi za ujenzi wa barabara na uchimbaji visima vya maji...
  11. D

    JamiiForums Tanzania ARV za kutwa kwenye vyanzo vya maji south afriy

    I will be short South Africa maji ya bomba na mito ni mwendo wa kunywa ARV TU.
  12. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Kama ni kujiuzulu,alipaswa afanye hivyo enzi za JPM badala yake alitoa kauli kuwa kipindi cha uongozi wao watashikisha watu adabu,huyo ni mfa maji tuh

    Friends and our Enemies, Muda siku zote huwa ni hakimu sahihi sana wa matendo yetu hapa ulimwenguni. POLE POLE,Enzi za mwendazake kipindi ambacho demokrasia ya Taifa hili ilikuwa gizani,uhuru wa vyombo vya habari ulikuwa mashakani,wafanya biashara walipokawa kifungoni na kutakiwa kuishi kama...
  13. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania KERO Maji ya DAWASA tabu Kinyerezi, Nakala kwako Mbunge, RC, DC, Waziri na kwako Mh Rais

    - Tatizo hili linaendelea hata baada ya kukamilika mradi wa maji wa tanki la bangulo uliogharimu bilioni 36.8 na maji hamna Kinyerezi. Wakazi wa Kinyerezi wapo katika wakati mgumu maji ya Dawasa yanatoka dakika 30 mara moja kwa mwezi,magari ya maji boza yanauza maji ya chumvi sh 24,000 lita...
  14. PLOII

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM Mungu hajalala, tukiendelea kuteua waovu anaweza angusha mtungi maji yote yakamwagika

    Amani iwe nanyi Wana Jukwaa , Nitaandika Kwa kifupi ili kila mmoja atoe mtazamo wake. Nchi yetu inaelekea kipindi cha Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais. Tumeshuhudia wafanyakazi wa Serikali ngazi mbalimbali wakiachia nafasi zao wakikimbilia kuomba kupendekezwa na Chama cha...
  15. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Maji yalipolowana

    1: Babu yangu mkubwa alizaliwa ETHIOPIA 🇪🇹 2: Alioa mke kutoka BOTSWANA 🇧🇼 3: Akahamia ANGOLA 🇦🇴 4: Kwa sababu ya changamoto, alihamia ALGERIA 🇩🇿 5: Walimkaribisha mtoto wao wa kwanza nchini BENIN 🇧🇯 6: Alioa mke wa pili huko BURKINA FASO 🇧🇫 7: Alikuwa shujaa, baadaye akaalikwa BURUNDI 🇧🇮 8...
  16. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Huduma ya maji itakuwa ya uhakika na bei nafuu

    NIKIWA RAIS WA TANZANIA HADUMA YA MAJI ITAKUWA YA UHAKIKA Hakutakuwa na mgao wa maji hili linawezekana mbona nchi nyingine wameweza hata sisi tunaweza Wananchi wa mjini na vijijini hawatakuwa na haja ya kuweka akiba kama ilivyo nchi zilizoendelea Maji ya bombani yatakuwa hayana haja ya...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Msiogope wauwao mwili peke yake bali mwogopeni Mungu auwaye mwili na roho ,Twendeni kwenye ibada pale pale ubungo maji injili lazima isonge mbele

    Injili lazima ihubiliwe kwa viumbe wote! Yesu alisema; Msiogope hawa wanaowatishia kuuwa mwili peke yake, Bali mwogopeni sana Mungu ambaye anauwa vyote yaani Mwili na roho na hao wanaowatisha! Shetani kazi yake ni kutisha na kuuwa mwili peke yake! LAKINI mwenye mamlaka ya MWILI NA ROHO ni...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Soko la nguzo nane shinya lina tiririsha maji machafu yenye haru kali

    Kama nilivosema hapo juu, hapa shinyanga kuna soko maarufu sana linaiywa nguzo nane. Kero yangu ni kwamba, hili soko linatiririsha maji machafu yenye harufu kali sana kwenye mfereji wa barabara naomba wahusika wachukue hatu kwani ni kero kubwa lakin pia ni hatari kwa afya ya watumiaji wa soko hili
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dorothy Semu: ACT tunashiriki uchaguzi mkuu 2025 na tutashinda kwa kishindo

    https://www.youtube.com/live/Eoix7OkgELE Updates Tunataka kuona Polisi, usalama wa taifa, jeshi wakitimiza majukumu yao, na sio kutumika kama mbeleko ya kuibeba CCM ili wapate ushindi. Katika uchaguzi wa serikali za mitaa tunao ushahidi wa kutosha askari polisi alikutwa na rundo la kura...
  20. mindchaser

    JamiiForums Tanzania Jipatie vifaa vya maabara, Reagent za maabara, kemikali za viwandani, Vifaa vya kutibu maji (Water treatment consumables) Kwa bei rafiki

    Kama unamiliki taasisi ya afya, maabara, kiwanda, chuo kikuu, au unahusika na huduma za matibabu ya maji(water treatment)— Alphacia Limited ni chaguo sahihi kwako Tunahusika na usambazaji wa: 🧪 Reagents za Maabara (Lab Reagents) 🔬 Vifaa vya Maabara (Lab Equipment & Instruments) ⚗️ Kemikali za...
Back
Top Bottom