maji

  1. Think2

    JamiiForums Tanzania Mwamposa ni mfanyabiashara kupitia kanisa lake na wala sio mtume kama wengine wanavyofahamu

    Naanza na hii ●kaingia mkataba na kampuninya ice drop kwamba awe anatumia maji yanayozalishwa kwenye kampuni hio kama majinya upako baada ya kuyaombea kwaio ice drop na A rise and sunshine ni trade partners Uthibitisho unajionesha wazi maana kuna logo ya ice drop na hio ya mwamposa A rise and...
  2. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Kama Jimbo la Kawe halina maji ya Uhakika, hali ikoje huko jimboni Itilima?

    Jimbo la Kawe ndio Jimbo mama, Jimbo konki lenye vibopa kuliko Jimbo lolote la uchaguzi hapa nchini. Jimbo la Kawe ndio Lina Oyster Bay, Masaki, Msasani Peninsula, Mikocheni, Kawe Beach, Mbezi Beach, Kunduchi Beach, Bahari Beach, Ununio Beach, Boko Beach, Mbweni, nk. Huku ndio kwenye makazi ya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwauwasa Mwanza hamuyaoni maji haya?

    Hili ni bomba la maji lililosahaulika kutoka enzi za Zakhiem wakati wa ujenzi wa barabara. Liko maeneo ya Mkolani Nida. Limekuwa kero maana maji yanatiririka muda wote na kutuama kama bwawa.Inasemekana mamlaka inataarifa na hili lakini haijachukua hatua ya kulifunga bomba hilo labda kwa sababu...
  4. figganigga

    JamiiForums Tanzania Hakika Tanzania ni Tajiri hadi maji yanawaka

    Halafu Matajiri wanamuweka Rais wetu mfukoni kwa Gharama ya Bilioni 10 kwa mgongo wa Harambee ili waendelee kuchota maji. Hata hawataki tujue maji yanawaka
  5. D

    JamiiForums Tanzania Punguza uzito kwa asali na maji tu

    Kama unapambana na uzito mkubwa au unataka kulinda mwili wako usiongezeke, kuna njia rahisi na salama unayoweza kuanza leo. Soma kwa makini maelezo haya, hasa kama unataka kuondoa kitambi na kufanya ngozi yako ipendeze. wewe ni mwanaume au mwanamke, kitambi kinaweza kupotea kabisa. Faida kwa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Banebane, Tabata: Maji hayatoki zaidi ya 5 sasa, DAWASA tusaidieni

    Wakazi wa Tabata Banebane eneo la Katoma, kipande hicho hakina maji ya mgao wala maji ya aina yoyote kwa kipindi cha miezi 5 na zaidi. Majibu ya wahusika ni kwamba ooh kuna merekebisho, wakanganya sasa wanasema kuna mradi wa bomba haitoshi. Baada ya kadhia hiyo ya muda mrefu, ndio wanakuja...
  7. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Netanyahu: Israel ipo Tayari kuisaidia Iran Maji nchi nzima, kila jiji kila kijini Wananchi wa Iran waamue

    Alikumbuka kuzindua chaneli ya Telegram ya lugha ya Kiajemi karibu muongo mmoja uliopita ili kufundisha usimamizi wa maji, ambayo ilivutia haraka wafuasi 100,000. "Kiu ya maji nchini Iran inalingana tu na kiu ya uhuru," alisema. Netanyahu aliahidi kwamba "wakati nchi yako iko huru, wataalam...
  8. M

    JamiiForums Tanzania KERO Ukosefu wa Maji kata ya Saranga-King'ong'o

    Mtaa wa King'ong'o Kata ya Saranga ,wilaya ya ubungo hatuna maji ni mwezi wa nne Sasa. Tumeripoti DAWASA ofisi ya Kimara bila kupata Masaada. Wanakuja wanaangalia wanasema tunalishugulikia ni mwezi wa nne sasa. Sijui shida ni nn ,ni mgao wa maji au nini. Mgao wa miezi minne na mgao gani huo...
  9. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania GE2025 LUWASA yaagizwa kuchunguza changamoto ya miundombinu ya maji Lindi

    Mkuu wa wilaya Lindi, Victoria Mwanziva ameiagiza Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira (LUWASA) kuchunguza uharibifu wa miundombinu ya mradi wa Ng’apa. Hatua hiyo inafuatia malalamiko ya wananchi wa mtaa wa Mtange kukosa maji kwa zaidi ya wiki moja.
  10. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kikwete aliwahi kusema kuwa wana Ccm hawaachiani maji ya kunywa, kwahiyo kama Kuna watu hamkuelewa mtaelewa kwa njia ngumu

    Wana Ccm hawaachiani maji , kauli hii aliitoa kikwete .
  11. V

    JamiiForums Tanzania Tunachimba visima vya maji

    Je, unahitaji kuchimba kisima cha kisasa cha maji safi na salama? Kama uko Dar es Salaam, tumekupa picha tu ya water table na kina cha mita kwa maeneo tuliyochimba visima. Feri_ kigamboni mita 50 Kisota _Kigamboni mita 70 Geza_Kigamboni mita 70 Dege_Kigamboni mita 60 Mbutu...
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mnamkumbuka nancy mitikisiko na blog yake, ila ujana🤣, ni maji ya moto aisee!

    Mabaharia na waliosoma tel aviv ndio watajua namaanisha nini😁 Yule mumamaa sijui aliishiaga wapi aisee maana bongo hasikiki tena
  13. Bueno

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini baadhi ya Maeneo Dar Maji hayajafika na kuna maeneo huko ndanindani wametandaziwa Mabomba km yote? Nini Shida?

    Wakuu, kwa wasioijua Dar wakafikiria Dar labda kila sehemu kuna umeme kila sehemu kuna Maji, aisee kuna maeneo mjini Dar-es-Salaam hakuna maji mpaka leo watu wanafukua maji Chini wanachota maji ya tope wanaoga fungus maji ya chumvi maji yasiyo na virutubisho wengine ndio maji yao ya kunywa hayo...
  14. Bibianna

    JamiiForums Tanzania RC KAGERA: Tumepokea shilingi bilioni 185 kwaajili ya maji huenda tatizo la maji mkoani Kagera likabaki kuwa historia asante Rais Samia

    == Akiongea na wanahabari, Katika Sekta ya Huduma ya Maji Mijini na Vijijini, jumla ya Tshs bilioni 184.8 zimetolewa kwa ajili ya kuboresha upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama, ambapo hali ya upatikanaji imeongezeka kutoka asilimia 85 hadi asilimia 93 mijini na kutoka asilimia 76 hadi...
  15. funaku

    JamiiForums Tanzania Naona maeneo yote korofi ya mapito ya maji kuna madaraja yanajengwa...hongera Mhe.Rais Samia

    Hii sio mara ya kwanza nikimtazama Rais Samia kwa jicho la kuondosha kero za huduma za kijamii kwa maamuzi yenye mkakati ,shabaha na yanayopimika kirahisi. Miaka kadhaa nyuma nikipita maeneo ya hedaru,mkomazi niliwahi kukutwa na changamoto ya gari kukosa udhibiti kutokana na mkondo wa maji...
  16. Marco Seth

    JamiiForums Tanzania Je Yesu alitembea juu ya maji?

    JESUS NEVER WALKED ON WATER. IT IS SYMBOLIC Jesus was walking on top of the veil of the ether (astral projecting). The ether is the 5th element, also known as spirit. It’s a substance that has one foot in the astral plane and in the physical plane. Ether is the word either because it’s on...
  17. M

    JamiiForums Tanzania RC Mhita: Shinyanga tumepokea shilingi 113.33 bilioni toka kwa Rais Samia kwaajili ya Miradi ya maji

    Tazama hii hapa kazi ya Rais Samia ya miaka minne katika Mkoa wa Shinyanga kwenye sekta ya Maji ambapo tayari TZS113.33bilioni Muhtasari wa Miradi ya Maji – Mkoa wa Shinyanga (2020–2025) Kipengele Taarifa Fedha zilizopokelewa TZS bilioni 113.33 Upatikanaji wa maji safi mijini...
  18. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Jua lina umri mkubwa kuliko dunia lakini maji ya duniani yana umri mkubwa kuliko umri wa jua

    Mjadala uko mezani Nawasilisha...
  19. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania REA yatoa zaidi ya bilioni 4 kuzalisha umeme wa maji lupali

    REA YATOA ZAIDI YA BILIONI 4 KUZALISHA UMEME WA MAJI LUPALI 📌Utekelezaji wa mradi wafikia asilimia 98 📌Bodi ya nishati Vijijini yasisitiza mradi ukamilike kwa wakati 📌Mradi kupunguza matumizi ya nishati isiyo rafiki na mazingira 📍Njombe Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imetoa kiasi cha...
  20. sayoo

    JamiiForums Tanzania KERO Mkandarasi hamwagi maji kwenye kipande cha Barabara kinachoelekea Buguruni Kwa Mnyamani, vumbi linatusumbua

    Habari za muda huu Naomba nitoe taarifa kwaa mamlaka husika waweze kutusaidia raia na Wafanyabiashara wa Buguruni , hususani wa kipande kinachoelekea Buguruni Kwa Mnyamani kuanzia Mataa, maana vumbi linatuathiri sana. Kutokana na ujenzi unaondelea wa Barabara mkandarasi anamwaga maji upande wa...
Back
Top Bottom