maji

  1. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Hakuna umeme, hakuna maji na joto kali. Hii mande si mchezo

    TANESCO NA DAWASCO SIJUI DAWASA MTAUA WATU. Kama bi shosti kaamua kutesa watanganyika basi hii yenyewe.
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Waziri wa maji baada kutatua maji yanapotoka unaenda kutembea kuangalia mtaani

    Hii nchi itakuwa na channel ya maajabu huko mbinguni.
  3. Tochuku

    JamiiForums Tanzania KERO Angalia vyanzo vyote hivi vya maji, na wananchi wa Morogoro wanateseka na maji. Hii nchi ina akili?

    Vyanzo kuu vya maji vya Mkoa wa Morogoro: 1. Mito mikuu: · Mto Wami - unaopita Morogoro mjini · Mto Mgeta/Ruvu - ni tawimto muhimu · Mto Mkondoa · Mto Ngerengere 2. Milima na Mito Midogo: · Milima ya Uluguru - huchota mvua nyingi na kuleta mito mingi. · Mito ya Uluguru (kama...
  4. Foffana

    JamiiForums Tanzania KERO Hivi hii shida ya maji ni huku tu au nchi nzima?

    Hello Wakuu Hii mitaa yetu huku Dar es Salaam tunakabiliwa na changamoto ya maji karibia wiki nzima na sio kawaida kabisa Naomba kuuliza ni viunga vyetu tu hivi vya kimaskini au nchi nzima hili tatizo lipo? Hii hali ikiendelea hivi mbele kutakuwa kubaya sana
  5. T

    JamiiForums Tanzania KERO MWAUWASA imewaangusha wakazi wa Mwanza tatizo la maji limegeuka fedheha ya kudumu

    Kile kinachoendelea Mwanza si hitilafu ya kawaida, bali ni aibu ya wazi, uzembe wa makusudi na kutowajibika kwa kiwango cha juu kabisa kutoka MWAUWASA. Mwezi mzima uliopita Nyegezi haikuwa na tone la maji. Hakuna taarifa, hakuna maelezo, hakuna uwajibikaji—mpaka wananchi walipopiga kelele ndipo...
  6. Mbepo yamba

    JamiiForums Tanzania White house ya nchi ya Mtanila mpaka sasa imetumia 30b. Hadi maji ya kunywa anaagiza US

    Juzi hapa amestopisha mzabuni wa maji asilete tena toka US. Sasa kwa boko la jana atatumia ya arabuni au china? Ni suala la muda. Ndugu zangu wana Mtanila, mnabanangwa kisawasawa na huyu mtawala wenu
  7. P

    JamiiForums Tanzania KERO Wizi wa mamlaka za maji

    Kumekuwa na hujuma za makusudi za kupandisha bili za maji za watu. Kwa kudhibitisha, asilimia kubwa ya watu bill zao za mwezi wa November zipo juu bila sababu za msingi , je ni serikali inatafuta pesa kwa nguvu ama? We malalamiko tujuane.
  8. Pakome

    JamiiForums Tanzania Bado nina Imani kubwa na kauli ya "Yaliyopita si Ndwele tugange yajayo" pamoja na " Maji yakishamwagika hayazoleki"

    Nimetoka kumfariji mzee mmoja nikajikuta nimeingia JF na uzi wa faraja Ila nitakufundisha faraja lakini sitakufundisha kuhesabu machungu kwasababu utaumia zaidi Bado nina Imani kubwa na kauli ya "Yaliyopita si Ndwele tugange yajayo" pamoja na " Maji yakishamwagika hayazoleki" Nilipompoteza...
  9. moto wa maji

    JamiiForums Tanzania Nilivyokunywa maji yaliyokamuliwa kutoka kwenye chupi ya mwanamke

    Habari ya leo wakuu...? Sijawahi fikiri na kuwaza kama ntakuja kuangukia kwenye penzi lililopelekea kupewa maji yaliyokamuliwa kutoka kwenye chupi kwakupitia mdomo wa mwanamke. Nilikua naishi mwenyewe kwa mda mrefu bila mahusiano yoyote yale yani nilikua nanunua wanawake ili kukidhi haja...
  10. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Hii taarifa kwamba Malkia anakunywa maji kutoka Marekani imekaaje?

    Mimi ni mjumbe tu, huko kwenye live ya Bunge la vijana wa Gen z wanadai malkia ana bajeti yake ya maji ya kunywa kutoka Marekani. Wanadai box moja zinakaa chupa 6 ambazo gharama mpaka kulifikisha hilo box moja la maji ni 704,000 TZS ( na joto la Tanzania anaagiza box ngapi kwa mwaka??) Eti...
  11. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Samia maji shingoni. Msiicheze ngoma yake ya kutugawa kidini

    Naona watu mnatoka kwenye lengo kirahisi sana. Samia ameshatepeta. Ametumia wasanii, makada na football kuwapumbaza watanzania lakini hakufanikiwa. Alitumia risasi kuwatisha watanzania lakini hakufanikiwa. Kitendo cha watanzania kuandamana 29-10-2025 ni mwanzo wa Tanzania mpya bila ya CCM...
  12. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Manara: Nikishaapishwa tu, DAWASA mjiandae kuja na majibu hizi chemba za maji machafu tunafanayaje

    Mkurugenzi wa manara tv na diwani mteule wa kata ya Kariakoo Hajj Manara leo November 19, 2025 ameeleza wazi namna alivyojipanga kukabliana na changamoto zinazowakabiri wanakazi wa kata ya Kariakoo ikiwemo changamoto ya uhifadhiji wa maji taka yanachafua hali ya hewa ndani ya kata hiyo Huku...
  13. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jumaa Aweso asalia kuwa waziri wa idara ya Maji, Naibu waziri Kundo Andrew Mathew

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na vyombo vya habari leo Novemba 17, 2025 ametaja Majina ya Baraza la Mawaziri ambapo katika Idara ya maji JWaziri ni Jumaa aAweso na Naibu waziri ni Kundo Andrew Mathew
  14. Nitaenda Misaa yaTatu

    JamiiForums Tanzania Mwachiluwi Kwenye pishi hili la vitafunwa naweza kutumia maji badala ya maziwa? Sipendi maziwa mimi

    Mwachiluwi Karibuni wale wote wapenda mapishi mimi napenda sana kujifunza kila leo. Changamoto yangu maziwa situmii japo hata nikitumia huwa hayana madhara yoyote. Je naweza kutumia maji mbadala wa maziwa na ladha ikabaki vilevile?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ikitokea Vita, hauendi vitani wala kuwasaidia hadi waitoe CCM

    Ikitokea vita na magaidi hatuwasaidia, hatutawatibu, hatutatoa damu zetu, hatutawapa maji ya kunywa wala chakula. Sasa hii ndio hatua tupo, na siku kadhaa mtasikia matukio kama ya MKIRU mengi kuliko mlivowahi
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nakunywa maji lita2.5 kwa siku ila nakojoa 600mls tu

    Wataalam mim nakunywa maji kwa siku Lita 2.5 ila Sasa mkojo wasiku yote yaan masaa24 napata 600mls je ntakua nashida gani
  17. M

    JamiiForums Tanzania Natakiwa kunywa maji Lita ngap kwa siku nakukojoa agalau Lita ngap kwa siku

    Habar wakuu nimekuja kwenu mim Nina uzito wa 80kg na urefu wa 164cm,nauliza maji kwa siku natakiwa niywe Lita ngap ndani ya masaa 24,na pia mkojo kwa siku natakiwa kutoa Lita ngap kwa siku kiafya
  18. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Maji ya DAWASCO yanatiwa sumu kudhoofisha afya ya wananchi Dsm

    Kuna tetesi za kuwawekea sumu wananchi kupitia mabomba ya maji kuanzia kesho, Nimepokea hii taarifa kutoka kwa ndugu zangu walio Magomeni. Na watu wengine wanne tofauti, kwakuwa ni jambo linalohusiana na afya ya watu Tunaomba liangaliwe kwa upana zaidi
  19. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Tupike chapati za maji (yaani za kumimina)

    Kwanza utaanda unga wako wa ngano kisha kitunguu na karoti kama una penda hoho uta weka, kitunguu kisage usikate na hoho saga kwenye vile vidude vinauvyo uzwa buku buku, baada ya hapo uta vichanganya na unga kisha uta weka maji polepole. Baada ya hapo uta weka sukari kidogo na chumvi kisha yai...
  20. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Viongozi Yanga tunataka mtuletee Soup na Chapati Uwanjani pamoja na Maji

    Naomba niweke hili ombi ili tuingie uwanjani mapema basi watuletee supu chapati mida ya saa 5 asubuhi. Hii itatuhamasisha sana na kutupa roho ya kuishangilia team. Pia tutaweza kuja kwa wingi uwanjani. Hersi pambania jambo hili. Maana naona kama mnajisahaulisha kuwa mashabiki tutakuja hapo...
Back
Top Bottom