Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,176
- 871,521
Hii ni challenge kwa wana mazingira na wapendao kutunza maji
Maji ni uhai.. Bila maji maisha huwa ni magumu sana.. Wenye kujua umuhimu wa maji hubuni kila mbinu kuokoa maji yasipotee bure bila matumizi
Kuna hii changamoto ya upotevu wa maji kwenye mabafu ya hotel zile sehemu zenye baridi ambako kuna mfumo wa maji moto na maji baridi
Mtumiaji wa maji baridi hana shida sana lakini yule wa maji ya moto hulazimika kufungua maji na kuyaacha yatiririke bure mpaka yatakapoanza kutoka ya moto
Kwa tafiti mbalimbali zilizofanywa hotel nyingi sehemu za baridi hupoteza nusu ya maji yake kwa njia hiyo
Kuna waliojaribu kutafuta suluhu ya hili tatizo lakini kumekuwa na changamoto zake.. Mfano
1. Kuweka ndoo ya plastic bafuni.. Hapa licha ya kupoteza mandhari ya bafuni lakini ni wachache hujiongeza nq kukinga maji yale ya baridi ambayo hata hivyo huishia kumwagwa na wahudumu wasafisha vyumba
2. Kufunga vipasha moto maji bafuni (heater)
Hiki kipasha joto maji mwanzoni kilionekana kamq suluhu bora kwakuwa ukikiwasha tu ndani ya dakika mbili tatu unapata maji yako ya moto vizuri tuu.. Lakini imekuja kujulikana kwamba vingi vimeleta maafa na madhara kwa kupiga short na umeme kuwafikia waogoji na kupata madhara
Sasa je kuna suluhu nyinhgine bora kuliko hizi?