maji

  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Watawala wafanye mariadhiano na reforms kwa future yao. Vinginevyo wanatwanga maji kwenye Kinu

    WATAWALA WAFANYE MARIADHIANO NA REFORMS KWA FUTURE YAO. VINGINEVYO WANATWANGA MAJI KWENYE KINU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Fikiria unapigana kufa na kupona kujenga future yako na kizazi chako ndani ya nchi yako. 2. Mungu anakubariki katika uhalali au uharamu wako unafanikiwa kujenga...
  2. Richard

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa Waziri wa Maji Jumaa Aweso, acha kulialia! Chukua mawili matatu kutoka katika nondo hizi

    Mie hapa New York pana kaubaridi (nyuzi joto kama 6 hivi si haba) na nimekula pilau ya Xmas ambayo kapika shemeji /wifi yenu alifundishwa na mama mkwe wake kupika pilau ya maana. Wakati huohuo nimeweka ile muziki ya Bongo Classics nakula muziki taratibu kushusha msosi. Lakini hapohapo nafikiria...
  3. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Kama unajenga eneo Lenye asili ya maji pitia hapa tushauriane

    Habari Kama unajenga eneo Lenye asili ya maji pitia hapa tushauriane
  4. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Je, Mabeyo anaenda kusimama na wananchi ukiona anaongelea maji ujue anamengi sana maji na mauwaji, ni wazi mauwaji ni tatizo kubwa sana

    Je, Mabeyo anaenda kusimama na wananchi ukiona anaongelea maji ujue anamengi sana maji na mauwaji, ni wazi mauwaji ni tatizo kubwa sana.
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Bila aibu Waziri mwenye dhamana ya Maji anakiri kuwa CCM kwa miaka zaidi 60 ipo madarakani na imeshindwa kutatua kero ya maji

    Nimeshangaa sana Juma Aweso Waziri mwenye dhama ya kuhakikisha kila mtanzania anapata maji salama anakiri mbele ya television ya taifa kuwa CCM imeshindwa kutatua kero ya maji hapa nchini. Ameulizwa swali kwa nini hamutumii maji ya bahari kuhakikisha kero ya upatikanaji wa maji hususani mjini...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza katoni za maji, kuna faida kiasi gani.

    habari zenu jamii forums ningependa kujua faida ya kujua katoni za maji makubwa ya lita 1 na nusu Wanaouza wanaweza kuyaleta kwa gari zao, hakuna gharama za usafiri
  7. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mvua imenyeshewa, maji yamelowana

    Kuna kitu kinaitwa combustion! Halafu kuna combustion chambers! Piston rings kwenye engine zikilegea engine itapiga kelele na kukosa nguvu .. Kwa maana ya kwamba combustion haitafanya kazi vizuri.. Lakini pia engine kukosa nguvu na kupiga kelele huchangiwa na mengi ikiwemo oil seal, oil...
  8. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania DAWASA kuruhusu huduma ya maji leo kwa wakazi wa Kimara, Ubungo, Mwenge, Masaki na Muhimbili

    TAARIFA MUHIMU KURUHUSU HUDUMA YA MAJI KWA WAKAZI WA KIMARA, UBUNGO, MWENGE, MASAKI NA MUHIMBILI 21.12.2025 Ndugu wateja mnaohudumiwa kupitia TANKI LA MAJI KIMARA tunapenda kuwajulisha kuwa huduma ya maji imefunguliwa na maeneo yafuatayo yatapata huduma;- Kimara Mwisho, Korogwe, Bucha, Kona...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Maji na umeme umekushinda umebaki na mdomo “ Who are You” !

    Huyu Mama na Chama cha Mafisadi hadi leo watu hawana maji mji mkubwa watu wana nunua maji na mgao wa umeme. Tusishangae hawashindi mpaka kuiba kura maana ni nani mwenye akili zake atawapigia kura watu ambao hawawezi kuleta maji na kutegemea mvua kwa miaka 60! Walisema tutauza umeme nje leo kuna...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya maji

    Hv inawezekanaje miaka 50+ tunategemea maji ya mvua, je tuko serious kweli watu million 60+ serikali yetu haina moango wala haikuwahi kujioanga kuwa na cyanzo vya maji vya uhakika nje ya mvua. Nachojua mimi ardhini kuna mikondo ya maji inayotembea kwa pressure ya hali ya juu mno. (Nmechimba...
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mtu Aliyenusurika Mabomu Mawili ya Atomiki japani

    Tarehe 6 Agosti 1945, Tsutomu Yamaguchi alikuwa Hiroshima kwa kazi wakati bomu la atomiki lililipuliwa. Alijeruhiwa vibaya (hasa masikio na mwili kuungua), lakini aliweza kupona kiasi na kuondoka mjini. Baada ya siku tatu, tarehe 9 Agosti 1945, aliporudi nyumbani kwake Nagasaki, bomu la pili la...
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tuna vyanzo vingi vya maji ila mawaziri wanakwambia kisingizio mvua 😁

    Wanasema ndugu zangu waislamu kutembea ni elimu ni kweli kabisa ila tuliopo nao hawa watawala wamekwenda kupiga picha. Kuna nchi ukienda unaweza kujiuliza wanaishi vipi wakati mimi nilipotoka kuna kila kitu. Nchi yetu ndio ufahamu pesa zinaingizwa mfukoni na mpaka leo bila msaada wa wale...
  13. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Heri tukose haki, hewa, na maji lakini tuwe na amani

    Wengi wanawalaumu bure watawala wetu kwa kusisitiza amani bila haki. Wanawalaumu watawala bure kwa kushindwa kutatua matatizo ya kijamii kama vile upatikanaji wa maji. Wanawalaumu kwa kutunyima haki lakini wakatupa amani huku tukisota na wao wakiishi kwa amani. Tunababana kwenye misururu...
  14. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Manabii na mitume; hamna muujiza wowote wa maji?

    Kitaa hali ni ngumu sana, hata ukiacha haka kamvua ka leo. Ukame Joto Fukuto Ukosefu wa maji Mke wa Kapola aliwahi kuishiwa na gesi ya kupikia. Mumewe akafanya muujiza, mtungi ukajaa gesi, mambo yakawa sawa. Japo hatukuwahi kupata mrejesho kama ile gesi ya muujiza iliisha au la, wala kama...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kama Mto Wami ukijengewa bwawa kubwa la Maji,Dar haiwezikujitosheleza kwa maji?

    Hili ni wazo langu kama mto Rufiji ulivyojengewa bwawa,hawawezi kuujengea na Mto Wami bwawa ili uweze kuhifadhi maji kipindi chote cha masika kuliko kuacha maji ya mvua yakipotelea baharini? Nawakilisha,ikiwezekana hata maji ya mto Jangwani nayo yajengewe bwawa
  16. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Ila ndugu zetu serikali muangalie jamani, muwajengee DAWASA jengo la bilioni 48, ila wananchi wa Dar wachote maji kwenye madimbwi kweli?

    Embu muangalie waungwana...Kuna vitu vingine hata MABEBERU watakua wanatucheka na kutudharau sana na kutuita we are so poor.. Kuna vitu jamani mbona vinafanyika tukiamua? Haya basi mnakula mapesa ila tukumbukeni na wananchi , tunakosa hata maji ya kutawaza, wakati mwingine mtu unabana mavi mda...
  17. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa DAR, PWANI na MORO wasaka maji mabondeni

    CHADEMA wajanja sana wameshirikiana na jua pamoja wanaharakati kutoka nje kukukasha vyanzo vya maji ili ionekane mama hapendwi ila UVCCM😂 Haiwezezekani wazungu watuonee wivu Kwa rasilimali zetu Hadi watutengenezee mgao wa maji, Sisi kama watanzania tuungane kwa pamoja ili kuwakataa hawa...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Mtazamo Wangu Juu ya Kupunguza Tatizo la Ukosefu wa Maji Jijini Dar es Salaam

    ✅ 1. Uboreshaji wa Miundombinu ya Maji Mabomba mengi ni ya zamani na yanavuja, hali inayosababisha upotevu mkubwa wa maji. Serikali na DAWASA wanapaswa kukarabati miundombinu hiyo na kupanua mtandao wa maji hadi maeneo ya pembezoni kama Chanika, Mbagala, Bunju, n.k. Pia, ujenzi wa matanki ya...
  19. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Ukiishi jirani na mashia waislam wa imam Hussein shida ya maji utakuwa unaisikia mtandaon tu

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Hawa wahindi wa imam Hussein dhehebu ambalo kiongozi wake ni ayatollah wanajielewa sana hawa jamaa Kwanza hawakubali kujenga nyumba pasipo kuwawekea majiran zao Bomba la maji kwa nje Wanachimba kisima then wanatoa maji bure kabisa Mimi...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Vipi huko chawa, mnakunywa amani?

    Nyie Vyawa, mnakunywa amani? Kuoga je? Kwanza hamuogi nyie maana ni wachafu wa mwili mpaka akili. Watu wanaandamana mpate haki za kupata huduma bora bila kukosekana huduma na uwajibikaji pale mambo kama haya yanapotokea. Ila sababu mna vichwa tupu mnawaona wanaharibu amani nyie mnataka amani...
Back
Top Bottom