Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,651
- 860,928
Kitaa hali ni ngumu sana, hata ukiacha haka kamvua ka leo.
Ukame
Joto
Fukuto
Ukosefu wa maji
Mke wa Kapola aliwahi kuishiwa na gesi ya kupikia. Mumewe akafanya muujiza, mtungi ukajaa gesi, mambo yakawa sawa. Japo hatukuwahi kupata mrejesho kama ile gesi ya muujiza iliisha au la, wala kama kuna muujiza mwingine uliwahi kufanyika tena.
Kwenye makanisa yao, vipindi vya TV, na clip za mitandaoni, tunashuhudia miujiza mingi sana.
Gwajima, enzi zake kabla ya hii misukosuko ya kisiasa, aliwahi hata kumfufua mtoto live pale kanisani.
Sasa tunamhitaji kwenye hili janga la ukame na ukosefu wa maji.
Kuna shida mahali fulani — ni kama vile wamepoteana, pengine kutokana na misukosuko ya kisiasa na zile tabiri kabla ya MO29.
LAKINI huku kitaa wanaoteseka ni waumini wao!
Chondechonde, tunawaomba wafanye jambo.
Si kila mara tuwalipe jamani!
Mmeshakula sana sadaka zetu 😄