maji

  1. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Netanyahu: Israel ipo Tayari kuisaidia Iran Maji nchi nzima, kila jiji kila kijini Wananchi wa Iran waamue

    Alikumbuka kuzindua chaneli ya Telegram ya lugha ya Kiajemi karibu muongo mmoja uliopita ili kufundisha usimamizi wa maji, ambayo ilivutia haraka wafuasi 100,000. "Kiu ya maji nchini Iran inalingana tu na kiu ya uhuru," alisema. Netanyahu aliahidi kwamba "wakati nchi yako iko huru, wataalam...
  2. M

    JamiiForums Tanzania KERO Ukosefu wa Maji kata ya Saranga-King'ong'o

    Mtaa wa King'ong'o Kata ya Saranga ,wilaya ya ubungo hatuna maji ni mwezi wa nne Sasa. Tumeripoti DAWASA ofisi ya Kimara bila kupata Masaada. Wanakuja wanaangalia wanasema tunalishugulikia ni mwezi wa nne sasa. Sijui shida ni nn ,ni mgao wa maji au nini. Mgao wa miezi minne na mgao gani huo...
  3. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania GE2025 LUWASA yaagizwa kuchunguza changamoto ya miundombinu ya maji Lindi

    Mkuu wa wilaya Lindi, Victoria Mwanziva ameiagiza Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira (LUWASA) kuchunguza uharibifu wa miundombinu ya mradi wa Ng’apa. Hatua hiyo inafuatia malalamiko ya wananchi wa mtaa wa Mtange kukosa maji kwa zaidi ya wiki moja.
  4. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kikwete aliwahi kusema kuwa wana Ccm hawaachiani maji ya kunywa, kwahiyo kama Kuna watu hamkuelewa mtaelewa kwa njia ngumu

    Wana Ccm hawaachiani maji , kauli hii aliitoa kikwete .
  5. V

    JamiiForums Tanzania Tunachimba visima vya maji

    Je, unahitaji kuchimba kisima cha kisasa cha maji safi na salama? Kama uko Dar es Salaam, tumekupa picha tu ya water table na kina cha mita kwa maeneo tuliyochimba visima. Feri_ kigamboni mita 50 Kisota _Kigamboni mita 70 Geza_Kigamboni mita 70 Dege_Kigamboni mita 60 Mbutu...
  6. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Mnamkumbuka nancy mitikisiko na blog yake, ila ujana🤣, ni maji ya moto aisee!

    Mabaharia na waliosoma tel aviv ndio watajua namaanisha nini😁 Yule mumamaa sijui aliishiaga wapi aisee maana bongo hasikiki tena
  7. Bueno

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini baadhi ya Maeneo Dar Maji hayajafika na kuna maeneo huko ndanindani wametandaziwa Mabomba km yote? Nini Shida?

    Wakuu, kwa wasioijua Dar wakafikiria Dar labda kila sehemu kuna umeme kila sehemu kuna Maji, aisee kuna maeneo mjini Dar-es-Salaam hakuna maji mpaka leo watu wanafukua maji Chini wanachota maji ya tope wanaoga fungus maji ya chumvi maji yasiyo na virutubisho wengine ndio maji yao ya kunywa hayo...
  8. Bibianna

    JamiiForums Tanzania RC KAGERA: Tumepokea shilingi bilioni 185 kwaajili ya maji huenda tatizo la maji mkoani Kagera likabaki kuwa historia asante Rais Samia

    == Akiongea na wanahabari, Katika Sekta ya Huduma ya Maji Mijini na Vijijini, jumla ya Tshs bilioni 184.8 zimetolewa kwa ajili ya kuboresha upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama, ambapo hali ya upatikanaji imeongezeka kutoka asilimia 85 hadi asilimia 93 mijini na kutoka asilimia 76 hadi...
  9. funaku

    JamiiForums Tanzania Naona maeneo yote korofi ya mapito ya maji kuna madaraja yanajengwa...hongera Mhe.Rais Samia

    Hii sio mara ya kwanza nikimtazama Rais Samia kwa jicho la kuondosha kero za huduma za kijamii kwa maamuzi yenye mkakati ,shabaha na yanayopimika kirahisi. Miaka kadhaa nyuma nikipita maeneo ya hedaru,mkomazi niliwahi kukutwa na changamoto ya gari kukosa udhibiti kutokana na mkondo wa maji...
  10. Marco Seth

    JamiiForums Tanzania Je Yesu alitembea juu ya maji?

    JESUS NEVER WALKED ON WATER. IT IS SYMBOLIC Jesus was walking on top of the veil of the ether (astral projecting). The ether is the 5th element, also known as spirit. It’s a substance that has one foot in the astral plane and in the physical plane. Ether is the word either because it’s on...
  11. M

    JamiiForums Tanzania RC Mhita: Shinyanga tumepokea shilingi 113.33 bilioni toka kwa Rais Samia kwaajili ya Miradi ya maji

    Tazama hii hapa kazi ya Rais Samia ya miaka minne katika Mkoa wa Shinyanga kwenye sekta ya Maji ambapo tayari TZS113.33bilioni Muhtasari wa Miradi ya Maji – Mkoa wa Shinyanga (2020–2025) Kipengele Taarifa Fedha zilizopokelewa TZS bilioni 113.33 Upatikanaji wa maji safi mijini...
  12. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Jua lina umri mkubwa kuliko dunia lakini maji ya duniani yana umri mkubwa kuliko umri wa jua

    Mjadala uko mezani Nawasilisha...
  13. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania REA yatoa zaidi ya bilioni 4 kuzalisha umeme wa maji lupali

    REA YATOA ZAIDI YA BILIONI 4 KUZALISHA UMEME WA MAJI LUPALI 📌Utekelezaji wa mradi wafikia asilimia 98 📌Bodi ya nishati Vijijini yasisitiza mradi ukamilike kwa wakati 📌Mradi kupunguza matumizi ya nishati isiyo rafiki na mazingira 📍Njombe Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imetoa kiasi cha...
  14. sayoo

    JamiiForums Tanzania KERO Mkandarasi hamwagi maji kwenye kipande cha Barabara kinachoelekea Buguruni Kwa Mnyamani, vumbi linatusumbua

    Habari za muda huu Naomba nitoe taarifa kwaa mamlaka husika waweze kutusaidia raia na Wafanyabiashara wa Buguruni , hususani wa kipande kinachoelekea Buguruni Kwa Mnyamani kuanzia Mataa, maana vumbi linatuathiri sana. Kutokana na ujenzi unaondelea wa Barabara mkandarasi anamwaga maji upande wa...
  15. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Wafugaji wa kukuChukua tunda moja au mawili, kata vipande vipande loweka kwenye maji ya kunywa ya kuku wako.✅Ni kinga nzuri sana kwa maradhi ya ku

    Wafugaji wa kuku Chukua tunda moja au mawili, kata vipande vipande loweka kwenye maji ya kunywa ya kuku wako. ✅Ni kinga nzuri sana kwa maradhi ya kuku Mdharau asili hufa masikini
  16. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Msaada Bei ya Tank la Maji la Kiboko (2000L au zaidi) kwa aliyewahi kununua tafadhali

    Habari wana JF, Naomba msaada kwa yeyote aliye wahi kununua au anayefahamu bei za tanks za Kiboko (Polytank) za kuhifadhia maji – hasa zile za ujazo wa 2000 L liters au zaidi. Nimepitia kurasa zao za Instagram na Facebook (@kibokoplasticstz) lakini hawajaweka bei, na hata namba zao za simu...
  17. C

    JamiiForums Tanzania JUMA AWESO, wakazi wa goba hatuna maji wiki ya tatu sasa

    Habari za jioni bw Aweso Mm ni mkazi wa goba osterbay hapa jirani na bar ya Triple B,tuna muda wa wiki tatu hatujapata maji na wala dawasco hawajatoa taarifa yoyote ya nini tatizo. Kikawaida tunapata maji kwa wiki mara moja kila siku ya jumatano, lakini imepita wiki tatu sasa hatujapata maji...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Tundu Lissu anyimwa Maji ya kunywa Mahakamani, Hakimu atoa utaratibu

    Wakuu! Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amenyimwa maji ya kunywa mahakamani aliyokuwa akipewa na kaka yake wakati wa usikilizaji wa kesi yake ya uhaini katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
  19. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania GE2025 Waziri Aweso aagiza mradi wa maji Mpanda uharakishwe

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso amekataa maelezo ya Mkandarasi na kumtaka aoneshe vitendo zaidi katika kazi ya utekelezaji wa mradi wa maji miji 28 Katika Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi; unaogharimu shilingi bilioni 22.863. Akizungumza na Wananchi wa Mpanda baada ya kutembelea na kukagua eneo la...
  20. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Aweso majuzi mmesifiana na wenzio wa DAWASA, tangu siku hiyo maji yanatoka kama chozi la kenge

    Aweso Tangu msifiane pale Dawasa sasa hivi maji yanatoka kama hozi la kenge yaani maji hakuna kabisa zaidi ya wiki sasa mnafungulia maji dk 15 kisha mnakata , hivi hii nchi tuna LAANA gani ? Pale Manzese maji yanatoka na tope sijui walisahau kuweka dawa ya kusafishia , unajua hizi nafasi...
Back
Top Bottom