Mwaka 2023 watafiti kutoka Tel Aviv University walifanya majaribio kwa mimea, Walichukua mimea kama nyanya na tumbaku, wakaweka vifaa vya kurekodi sauti zisizosikika kwa masikio ya binadamu, waliweka karibu na mimea hiyo. Kisha baadhi ya mimea waliiacha katika hali ya kawaida, lakini mingine...
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Arusha halipi malipo ya watumishi kwa wakati.
Watumishi wanalalamika kwa kukaa na madokezo miezi kadhaa bila kulipa na hata akipigiwa simu anajibu 'msinifundishe kazi'.
Kuna kero nyingi na Waziri yupo "busy" na Mamlaka nyingine. Waziri uje Arusha na ukae na...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imesema huduma ya maji katika maeneo ya Shekilango NHC na Ubungo Magufuli Hosteli imeanza kuimarika na huduma kuwafikia Wananchi.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa DAWASA, Everlasting Lyaro amesema wamehakikisha upatikanaji wa...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), inaendelea na zoezi la upimaji tafiti na kuandikisha wateja wapya wa Mtaa wa Msumi, Kata ya Mbezi, Wilaya ya Ubungo wanaotarajia kunufaika na huduma ya majisafi baada ya kukamilika kwa utekelezaji wa mradi wa maji Msumi.
Mradi wa...
Kumekuwepo na ukosefu wa maji katika Hostel za Ubungo za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam tunapoishi Wanafunzi wa Uzamili (Postgraduate Students) ambao tunasoma Master's Degrees na Ph.D!
Kipindi hiki hali imekuwa mbaya zaidi na tunalazimika kununua dumu moja la Lita 20 kwa Tsh. 1,000 ambayo ni sawa...
Anonymous (b213)
Thread
hosteli
maji
masters
moja
ndoo
ubungo
udsm
wanafunzi
Mrussia hakutaka kujimaliza kama SIMPS wengi mnavyofanya
Alisikika tu akisema:
"Hello.
How are u doing?
You look good.
I'm from Russia
My English bad
Come with me."
Magetoni mademu wanapewa kikombe cha maji wanalombwa.
Kama wewe unataka kuhudumia na kupay bills, valentine gifts, dinner dates...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imefungua dawati la huduma kwa wateja katika Ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni kwa lengo la kusikiliza, kutatua na kutoa suluhu ya changamoto za wateja juu ya huduma za majisafi.
Afisa Huduma kwa Wateja wa DAWASA Kinondoni...
Kwanza kabisa mnatakiwa kukubali kuwa hamkubaliki. Kwamba utawala huu wa CCM haukubaliki.
Kuna Mwalimu mmoja leo amenifuata na kuniuliza wewe si mwanaCCM? Mbona kila mnachofanya mbona wananchi hawamkubali mama?
Nikamwbia mimi sio kada wa CCM na haijawahi kutokea nikawa kada CCM.
Hoja kubwa...
Wakuu nimekutana na hii hoja, nimeona niiweke hapa iwafikie wadau wengi zaidi, na DAWASA kama wanaweza kujibu itakuwa vizuri zaidi.
Majuzi tuliamka tukakuta mita yetu ya maji haipo. Cha kushangaza, mita tatu zilizo karibu hazikuguswa. Wazo la kwanza lililotujia ni kwamba huenda DAWASA wameitoa...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeendelea kusisitiza usomaji wa dira za maji shirikishi ili kupunguza dhana ya baadhi ya wateja kuhusu kubambikiziwa bili za maji kila mwezi zisizo akisi matumizi yao.
Hayo yamebainishwa na Meneja wa DAWASA mkoa wa kihuduma...
TAARIFA KWA UMMA
KUHUSU HUDUMA YA VYOO KATIKA STENDI YA MAWASILIANO (SIMU 2000)
Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo inapenda kutoa ufafanuzi kwa umma kuhusu taarifa zilizochapishwa na Jamii Forum tarehe 31 Jan 2026 zinazosema "KUSITISHA HUDUMA YA VYOO STENDI YA MAWASILIANO, KUNASABABISHA KERO KWA...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameongoza mapokezi ya Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Bi Rose Zakaria Ambrose aliyeteuliwa hivi karibuni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hasaan mapokezi yaliyofanyika mapema leo Februari 9, 2026 katika ofisi za DAWASA Mkoani Dar es...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameelekeza Wakala wa Maji Vijijini (RUWASA) Sumbawanga Mkoa wa Rukwa Wilaya ya Sumbawanga kurekebisha mabomba yaliyoharibiwa Kijiji cha Mayonje, Kata ya Milepa katika Halmashauri ya Sumbawanga Vijijini, ndani ya wiki moja ili kurejesha huduma.
Aweso ametoa malekezo...
Kando ya kingo za Mto Nzoia magharibi mwa Kenya, mabadiliko ya kimya kimya yanaendelea kuonekana na kukita mizizi. Mashamba ambayo hapo awali yalikuwa matupu, yakikauka kwa ukame na kuathiriwa na mafuriko yasiyotabirika, sasa yamenawiri huku yakiwa yamesheheni safu zilizostawi za mazao, kutokana...
Mwanamke akilimwaga lile kojo wakati wa tendo kwanza anakuwaga zaifu zaifu ataona we ndo kila kitu kwake mana ni wachache wana ujuzi wa kumtolesha mkojo.
Asa we kama ulimpa ela idai ela yako nakuhakikishia atakurudishia ela yako na anaweza akakuongeza vilevile kwa kumkuna mpaka akatoa kojo.
Wananchi wa Kijiji cha Mayenje, kilichopo Kata ya Milepa katika Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga (DC), hatuna huduma ya maji safi kwa kipindi kisichopungua miezi mitatu.
Chanzo cha tatizo hili kinadaiwa kuwa ni wafuasi wa aliyekuwa diwani wa kata ya Milepa kukata mpira wa bomba linaloleta...
Anonymous
Thread
huduma
huduma ya maji
kijiji
maji
msaada
tena
wananchi
Wakuu kwema
unaweza kufanya taratibu gani kuanzisha mradi wa kuuza maji katka jamii mfano ukauza island ila ukafunga kabisa na mifumo yote na mita utaratibu ukoje mpk ukamilishe kila ktu na faida yake inakuwa vipi msaada wakuu
💧 TANGAZO LA KIPIMA UBORA WA MAJI (TDS METER) 💧
Je, unajua ubora wa maji unayokunywa kila siku?
Linda afya yako na familia yako kwa Kipima TDS cha maji!
✅ Hupima haraka kiwango cha uchafu kwenye maji
✅ Sahihi na rahisi kutumia
✅ Kidogo na rahisi kubeba popote
✅ Kinafaa kwa maji ya kunywa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.