Waziri wa Maji, Prof. Makame Mbarawa ameamuru Jeshi la Polisi kumkamata na kumuweka mahabusu Mhandisi Alistides Kanyomo wa kampuni ya Mbesso Construction kutoka Jijini Dar es Salaam
Kwa tuhuma za ubadhirifu wa zaidi ya shilingi bilioni tatu za Ujenzi wa mradi wa Maji Katika Bonde la Mwakaleli...
Maafisa wa Chile wanasema kwamba wamezuia mabaki yanayoaminika kutoka katika ndege ya kijeshi iliotoweka siku ya Jumatatu.
Wanasema kwamba mabaki hayo yalipatikana yakielea kilomita 30 kutoka eneo ambalo ndege ya wanahewa wa Chile aina ya C-130 Hercules inayobeba mizigo ilikuwa na mawasiliano...
Watoto wawili wamefariki katika matukio mawili tofauti nchini Kenya baada ya kusombwa na mafuriko katika maeneo yaliyoathiriwa na mvua.
Mmoja wa wahanga hao ni pamoja na mvulana wa miaka 13 aliyefariki katika kaunti ya Homa Bay baada ya mtumbwi aliokuwa akisafiria kupigwa na mawimbi mazito...
Nipashe leo 3 Dec 2019.
Waziri wa Maji Mh. Prof Makame Mbarawa ameamua kuachana na makandarasi.
Eti sasa atajenga miradi ya Maji kwa Force Account.
Hiki kiutendaji ni kichekesho na upotezaji wa fedha ya umma.
Hakuna asiyeona kwa macho mabomba yanayotiririka kwa siku kadhaa kabla DAWASA...
Habari wanajamvi,
Kama kichwa cha habari kinavosema hapo juu. Nimekuwa nikihisi kama kuna maji masikioni kila (every instant) ninaposikia sauti ya mbwa (mbwa wanapobweka). Nimekuwa na hali hii karibu mwaka na nusu sasa.
Sihisi maumivu yoyote ila imekuwa ni kero hasa mbwa wakibweka mfululizo...
Ukosefu wa maji umeikumba Manispaa ya Mbale kwa zaidi ya siku tatu kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa na kupelekea miundo mbinu ya Idara ya maji ya Uganda (NWSC) kuharibika.
Akifafanua zaidi kuhusu tukio hilo, Mkuu wa kitenga cha Idara ya Maji Uganda Bw. Solomon Efearael...
SERIKALI imeonyesha kuridhishwa na utekelezaji wa mradi mkubwa wa maji uliogharimu shilingi bilioni 520 unaotekelezwa katika halmashauri ya jiji la Arusha kwa lengo la kuhudumia wananchi.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Idara ya Usambazaji wa Maji na Usafi wa Mazingira kutoka Wizara ya Maji...
Serikali imesema zaidi ya watu 4,000 hufa maji kila mwaka Ziwa Victoria kutokana na sababu mbalimbali, ikiwamo hali halisi ya vyombo vya usafiri, uwezo wa mabaharia, ubebaji mizigo, hali ya hewa, pamoja na ziwa hilo kutofanyiwa vipimo kujua maeneo yenye miamba na kina kirefu tangu ilipofanyika...
Rais John Magufuli amawapa jeshi la Police jengo lililokua linatumiwana Idara ya maji Dodoma kua makao mkuu ya jeshi hilo jijini Dodoma. Pia amempongeza IGP Saimon sirro kwa kuhamia rasmi Dodoma.
Namkumbusha mheshimiwa Rais awakumbuke Zimamoto na Magereza ambao nao ni wanamahitaji kama Polisi.
Maji ya mvua yanapatikana bure na kama yanatumika vizuri tunaweza kupunguza matumizi ya reservoirs. Ukihifadhi maji haya kwa matumizi ya binadamu inabidi kuyaongezea baadhi ya kemikali.
Maji ya mvua yanaweza kutumika kwa sewage system ya nyumba nzima. Unachimba shimo na kulisakafia kama shimo...
Mamlaka ya maji Mbeya wafanyakazi wake hawastahili kulipwa mishahara kwa sababu hakuna wanachokifanya na hawapo pale kutoa huduma ya maji kwa wananchi. Wapo kama TRA tu yaani kukusanya pesa basi.
Ni miezi 4 sasa eneo la Uyole 90% ya bomba hazitoi maji. Wakilalamikiwa hawatoi msaada wowote...
MWANAFUNZI wa mwaka wa tatu katika Chuo cha Ufundi Trade Peramiho wilayani Songea, Grayson Maselin (23), amejeruhiwa na mwanafunzi mwenzake Mosses Ngole (23), kwa kuchomwa kisu shingoni baada ya kummwagia maji machafu siku ya kumbukizi ya kuzaliwa kwake (birthday).
Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
Katika historia ya nchi hii, hakijawahi tokea kipindi cha majaribu ya aina hii, ambayo wanaccm wanapitia hivi sasa
Huu uchaguzi wa serikali za mitaa, umewavua nguo na hivi sasa mpo uchi wa mnyama
Kitendo cha hao wasimamizi wa uchaguzi, ambao ni makada wa CCM kukata majina ya wagombea wa...
Habari wadau wa mapishi, wapenda misosi mitamu.
Leo nawaletea pishi hili tamu sana baada ya kulionja nikaona niwaletee na nyie ndugu zangu wa JF ili mkapike nanyi mfaidi kama mimi nilivyofaidi.
Basi nisiwachoshe naomba mfatane nami katika maandalizi haya mpaka mtatoa kitu murua.
Viamba...
HIKI ndicho tulichokuwa tunakitaka. Ndivyo wanavyosema wakazi wa Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa, wanaosema hivyo baada ya kilio chao cha muda mrefu cha kukosa majisafi na salama kupata ufumbuzi.
Wanasumbawanga na viunga vyake takribani 70,932 wanafungua maji ya bomba baada ya kazi hiyo...
Wakuu umofia kwenu, hivi dawa ya kutofanya nguo zisipauke ni nini? Maana natumia maji ambayo yana chumvi kwa mbal, sasa nguo zinapauka sana,,,
Sasa ni nini dawa yake ili zisipauke?
King Mswati III (51) wa eSwatini amenunua magari 19 na amewazawadia wake zake (zaidi ya 14) magari hayo mapya ya kifahari aina ya Rolls-Royce Phantom.
Hatua hiyo imekosolewa kutokana na nchi hiyo kuwa na hali mbaya kiuchumi, huku baadhi ya wananchi wakikosa baadhi ya huduma za msingu.
Mwaka...
Husika na maada tajwa hapo juu.
Mim ni mdau mkubwa wa maji nmekuwa nikishirikiana na wadau mbali mbali wa maendeleo kuchimba visima vidogo na vikubwa maeneo yenye uhitaji mkubwa hasa kwenye kambi za wakimbizi.
Pili niipongeze wizara ya maji kufanikisha uundwaji wa RUWASA hii itasaidia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.