majengo

  1. N

    JamiiForums Tanzania USHAURI BIMA ILIYOBORA YA NYUMBA NA MAJENGO.

    Habari zenu wakuu eid mubaraq husikeni na kichwa cha uzi wangu apo juu ninaomba kujua au kuambiwa na wanajamii forums juu ya bima ipi itanisaidia endapo nitapata ajali ya nyumba yangu ya kibiashara au jengo langu la kibiashara.asanteni wakuu jengo langu lina thamani ya milioni mia moja.
  2. BintiTee

    JamiiForums Tanzania Majengo ya Biashara ya shirika la nyumba Tanzania(NHC)

    Habari wa JF Poleni na majukumu Naomba kujuzwa kwa yeyote anayefahamu,hivi mtu binafsi anaweza kumiliki hizi nyumba za biashara kama frame kutoka NHC na kupangishia wengine kama mmiliki moja kwa moja au ni lazima zibaki kwa shirika na wewe unakuwa tuu kama middle man. Asante kwa kufahamishwa...
  3. Jackwillpower

    JamiiForums Tanzania Kwanini hutakiwi kucheza ndani ya majengo ya ibada?

    Habari wapendwa katika Kristo!!!! Suala la kucheza katika majengo ya ibada limekuwa ni changamoto katika madhehebu mengi ya Kikristo, na kwa kadri siku zinavyozidi kusonga mbele hali ya kucheza inazidi kuvuka mipaka na kufanana na Ulimwengu, yaani imefikia wakati sasa imekuwa ni vigumu...
  4. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Ujenzi Majengo ya Serikali: Wahandisi Wetu Mnakwama Wapi?

    Huwa siwaelewi wahandisi wa serikali wanaangalia nini wanapo design na kujenga au kujengewa majengo ya serikali. Hapa nazungumzia majengo kama mahakama, hospitali, shule, kumbi za mikutano, ofisi n.k. Kila siku yanaibuka kama uyoga lakini kwa ubora wa chini. Andiko hili linatokana na habari...
  5. Mr DIY

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa makanisa: Picha za majengo ya makanisa

    Katika pita pita zangu nimejikuta naanza kuvutiwa na designs zinazojitokeza kila siku za makanisa, ujenzi wako una staajabisha sana, tuoneshe jengo la kanisa la huko kwenu ikipendeza tupe picha za ndani na nje hata historia kidogo. Hii ni RC Geita, hili ni jipya kabisa Hii ni RC Kibosho...
  6. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Hatua 5 za kuanzisha biashara ya mikopo ya ukarabati wa majengo ya kupangisha mwaka 2022

    Mikopo ya ukarabati wa nyumba ni moja ya njia za kutengeneza fedha kupitia uwekezaji wa nyumba za kupangisha unaoweza kujenga utajiri mkubwa. Katika kila halmashauri kuna nyumba za kupangisha. Nyumba zinaweza kuwa ni nyumba za makazi, nyumba za matumizi mseto (mixed-use properties) na nyumba za...
  7. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Huyu Ndiye Anayetakiwa Kumlipa Dalali Kwenye Uwekezaji Wa Ardhi Na Majengo

    Dalali anatoa huduma ya kuunganisha huduma zinazohusiana na ardhi na majengo kati ya makundi yafuatayo;- ✓ Wapangaji na wenye nyumba. ✓ Wauzaji na wanunuzi. ✓ Watoa mikopo na wapokeaji mikopo ya majengo. Haya ndiyo makundi makuu (3) ambayo huhusika na gharama za kumlipa dalali kwenye...
  8. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, nini tofauti ya matambiko ya kimila na yale yanayofanyika kwenye majengo ya kuabudu?

    Matambiko ya kimila yanayofanyika kiasili huwa yanaonewa aibu sana, hali ni tofauti kwa yale matambiko yanayofanyika kwenye nyumba za kuabudu ambapo watu huona fahari sana kushiriki. Tatizo ni nini hadi hali kuwa hivi, shida yetu ni nini hasa?
  9. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Mambo Saba (7) ya Kuzingatia Kumiliki Majengo ya Ofisi ya Kipato Kikubwa Kwa Zaidi Miaka 10

    Baada ya vita vya pili vya dunia (1939-45), mahitaji ya majengo ya ofisi yameongezeka sana. Hii imetokana na kuongezeka kwa waajiriwa wa maofisini ukilinganisha na waajiriwa wa viwanda. Sekta ya viwanda ndiyo imekuwa sababu kubwa ya kupungua au kuongezeka kwa uhitaji wa majengo ya ofisi. Maana...
  10. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Hatua tano (5) za kuchagua njia sahihi za kutengeneza fedha kwenye ardhi na majengo

    Somo kuhusu kuchagua njia za kutengeneza fedha kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo ni somo muhimu sana kwa yeyote anayewekeza kwenye uwekezaji huu. Rafiki yangu ukianza vibaya kuwekeza kwenye ardhi na majengo utashindwa kukuza uwekezaji wako kwa haraka kwa kutumia viwanja na majengo...
  11. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kuwa Mwekezaji Kwenye Viwanja Na Majengo Mwenye Mafanikio Mkubwa Mwaka 2022

    Takwimu zinasikitisha sana linapokuja suala la wawekezaji wenye mafanikio makubwa kupitia uwekezaji kwenye viwanja na nyumba. Si zaidi ya asilimia kumi ya wawekezaji wote waliojenga mafanikio makubwa sana kupitia uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Sababu kuu ya wengi kushindwa kujenga utajiri...
  12. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Anzia hapa Ili kujenga mafanikio makubwa kupitia uwekezaji kwenye viwanja na majengo

    Kila eneo kwenye maisha hutegemea sana kitu hiki ili uweze kujenga mafanikio makubwa sana na ya kudumu. Kitu chenyewe ni mtazamo wako. Huu ndio msingi wa kujenga mafanikio makubwa kupitia uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Ukiwa na mtazamo hasi, utakuwa unashindwa kila wakati mpaka ukate...
  13. SULEIMAN ABEID

    JamiiForums Tanzania Mgeja amlipua Job Ndugai, aitaka Serikali ing'oe jina lake kwenye majengo ya umma

    SIKU moja mara baada ya aliyekua Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai kutangaza rasmi kujiuzulu wadhifa wake wa Uspika, baadhi ya wakazi wa Shinyanga wametoa maoni yao kuhusiana na maamuzi yake hayo. Mmoja wa wakazi hao, ambaye ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Tanzania...
  14. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazawa Wakenya waliohusika kwenye usanifu wa jengo refu kuliko majengo yote Afrika Mashariki na Kati

    Mababu zetu waliopigania uhuru wa Mwafrika pale walipo kama wana uwezo wa kuyaona haya kweli watafarijika kwa kujua jitihada zao zilizaa matunda, wajukuu wao, wazawa wa nchi hii leo wanahusika pakubwa kusanifu miundo mbinu ambayo inaipaisha nchi kwa mwendo kasi. A file image of the Global...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mhe Rais hongera kwa madarasa na majengo ya hospitali, ila kwanini kipaombele kwanini kimekuwa makao Mijini na siyo kwenye shule za tembe?

    Mhe. Rais umeeleza madarasa yajengwe Ila waliokwenda kujenga wamekosea strategy, uwezi kujenga madarasa mawili kwenye shule zenye madarasa ya kutosha mjini ukaenda kujenga madarasa mawili kijijini kwenye nyumba za tembe. Zipo shule zilihitaji madarasa Saba yote yajengwe lakini hakuna Fedha...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa TZS 300BL kukamilisha majengo ya Serikali Jijini Dodoma

    Rais Samia Suluhu Hassan ametoa jumla ya TZS 300BL kwaajili ya kukamilisha safari ya Serikali kuhamia Jijini Dodoma, Waziri mkuu wa Tanzania Majaliwa Khasim Majaliwa amesema jumla ya magorofa 20 yatajengwa na Serikali na mengine 4 yatajengwa na Sekta binafsi. Akizundua awamu ya Pili ya...
  17. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Mcheshi wa Kenya Eric Omondi Jumanne alikamatwa baada ya kujaribu kuvamia majengo ya Bunge.

    Mcheshi wa Kenya Eric Omondi Jumanne alikamatwa baada ya kujaribu kuvamia majengo ya Bunge. Mchekeshaji huyo ambaye amekuwa akitrend kwenye mitandao ya kijamii kwa muda sasa, alijaribu kuwaongoza wasanii wa muziki kuvamia Bunge kwa nia ya kurekebisha tasnia ya muziki nchini Kenya. Akitumia...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Wamachinga kutumia majengo ya NHC Kariakoo

    Kufuatia wafanyabiashara wadogo kuandika barua TAMISEMI wakiomba kutumia majengo ya Shirika la Nyumba la Taifa yaliyopo mitaa ya Tandamti na Msimbazi kwa ajili shughuli zao, Wizara ya Ardhi imeridhia ombi hilo lakini kwa kuwapa majengo matatu yaliyopo mtaa wa Nyamwezi na Mkunguni karibu kabisa...
  19. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mbunifu wa majengo Marcus Aurelius ameweza kuweka picha na matukio ya Jeshi la Roma

  20. Gamba la Mbu

    JamiiForums Tanzania Usanifu wa Majengo: Kwanini ni muhimu nyumba/ Ramani kuakisi hali ya hewa ya mahali husika?

    Kuna ombwe kubwa la ufahamu katika jamii yetu hususani kwenye suala la ujenzi. Nani ni nani na anafanya nini kwenye ujenzi? Hii nitaleta mada yake siku za usoni. Twende kwenye mada! Kuna baadhi yetu nyumba zetu hugeuka makaburi wakati wa joto ila feni hugeuka mkombozi huku tukiomba Tanesco...
Back
Top Bottom