maisha

  1. JamiiForums Tanzania Maisha halisi nguzo yake ni ukweli lakini je, kwanini watu hugeuza maisha kuwa ni maigizo?

    Habari JF, Niwashirikishe kwenye chagizo la fikra na fikirishi kiasi, palipo na ladha, raha na utamu unayoweza kuihisi, kuionja, kuitamani, kuusikiia, kuisikilizia, kuipenda au kivyovyote vile nyuma ya pazia kuna uchafu na madudu ambayo hatimae tunapata vitu kama ladha, raha na utamu. Hivyo...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Maisha ya ujana wa Yesu kwenye Kitabu cha Urantia

    Habari wakuu. Biblia iko kimya kuhusu maisha ya Yesu Kristo tangu akiwa na miaka 12 mpaka alipoanza utume wake akiwa na miaka 30. Naomba tusome simulizi za maisha yake kwenye kitabu cha BOOK OF URANTIA, wakati mwingine huitwa pia THE URANTIA PAPPERS halafu tujadili humu yaliyomo kwenye Ile...
  3. JamiiForums Tanzania Pesa sio Kila kitu kwenye maisha uwenda mapenzi/upendo unahitajika zaidi

    Kwa miaka miwili iliyopita nimefanya kazi saana sana. Nilikua nawaza nikipata pesa za kiasi filani nitaenjoy sana maisha. Sasa hivi saa 6 na dakika 48 nipo macho thinking of mustarbating. Pesa sawa ila kama hamna mapenzi you don't even get to enjoy anything at all not even that money. Sasa...
  4. JamiiForums Tanzania Bajaji za pale Uhasibu Kurasini ni hatari kwa maisha ya wavuka barabara, Polisi ilitazameni hili

    Habari za uzima wana JF, Kuna kero huwa naiona na nimewahi kunusurika kugongwa na zile bajaji pale Uhasibu Kurasini, madereva wake wana tabia wanakuja chuo cha Uhasibu kwa kutumia upande wa magari yanayoenda Mbagala, sasa mtu akiwa anavuka anaangalia upande wa magari yaendayo Mbagala then...
  5. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Serikali ianzishe utaratibu wa kuwashughulikia viongozi wa dini wanaohatarisha maisha ya watu

    Kutokana na madhara yanayoendelea kuwapata watu kutokana na mafundisho au maelekezo ya baadhi ya Viongozi wa Dini kwa ajili ya kutimiza haja zao au kutimiza mahitaji yao na matamanio ya mioyo yao, imepelekea kuathiri maisha ya watu kwa namna moja au nyingine. Kutokana na athari hizo zinazo...
  6. JamiiForums Tanzania Makonda anawasalimu sana. Kwa sasa anapumzika tu akilea na kuenjoy maisha

    Amenawiri, hana mashaka, mcheshi, ana uhuru wake. Kwa kweli yupo vizuri huyu Mkuu wa Mkoa Mstaafu ambaye alitumikia Taifa hili pasipo mawaa. Anakula shushu tu.hana tatizo na mtu watu wanafurahi wanapomwona.
  7. JamiiForums Tanzania Nimeamini Mwanaume ukiwa Handsome kuna hatari 5 zinaweza kukukuta na ukapoteza mwelekeo wa maisha

    1. Kuanguka kwenye uzinzi na uashareti na wanawake wa ovyo na kupelekea kupata mikosi ya kila namna. 2. Kupata kesi za mimba na watoto usiowatarajia kutoka kwa wanawake unaolala nao. 3. Kwenda jela kutokana na vurugu za wanawake. 4. Kufa mapema au kutendewa vitendo vya aibu kwa kutembea na...
  8. JamiiForums Tanzania Maisha magumu ni sababu kubwa inayofanya watu waanzishe dini

    Ukiangalia kwa unfdani utaona kuwa dini nyingi ni matokeo ya maisha magumu. Kisaikolojia mtu akiwa frustrated na ugumu wa maisha huanza kuota ndoto za mchana na kufantasize maisha yasiyo na taabu. mifano mingi inaonyesha hivyo. 1. Kuanzishwa kwa dini ya kiyahudi: Kuna mtaalamu anasema kuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Miiko yangu kama kijana katika Maisha

    Habari, Moja ya sifa nzuri ya kijana kujiita msomi ni kuwa na misimamo ya kipekee na kitofauti maishani bila kuvunja she ria yoyote ile. Moja ya misimamo niliyojiwekea maishani mwangu ni kama ifuatavyo. 1. Sina muda wa kumsikiliza mtu yoyote anayejiita mwanasaikolojia au mshauri wa...
  10. JamiiForums Tanzania Suluhisho la maisha ya kuungaunga kwa watumishi wa umma haliko mikononi mwao bali liko mikononi mwa Serikali

    Salamu tawapa mchana! Watu wengi wannamini watumishi wanapaswa kujiongeza kwa kufanya shughuli zingine nje ya career yao au nje ya ofisi ndipo wataweza kuishi kwa ustawi. Mtumishi hakupaswa kabisa kujishughulisha na shughuli yoyote nje ya shughuli za serikali anazopangiwa na mwajiri wake...
  11. JamiiForums Tanzania Madeni yasikufanye ujiue au kujivua utu, vumilia yatapita tu

    Nawasalimu sana ndg zangu, ningependa kushea nanyi mawili matatu yanayohusiana na maisha na kwanini hupaswi kuukatisha uhai wako kisa madeni, 1. Mimi ni mwajiriwa niliyekata tamaa na maisha kutokana na changamoto za maisha nazopitia kwani hata kula yangu shida na kuvaa ndio usiseme, nina...
  12. JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa, Wanawake wana Mapenzi ya kweli. Wanaume ndio wanawaharibu

    Kama umebahatika kuwa na mahusiano na mwanamke ambae hajapitia misuko suko ya mahusiano utakua shuhuda. Wanawake asilimia kubwa wana mapenzi ya kweli na mioyo safi kabisa, tofauti na wanaume, wanaume wengi hujifunza kupenda ila mwanamke by birth wako kiupendo. Shida inakuja wanapokutana na...
  13. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TAHADHARI: Afisa TRA ahatarisha maisha ya wakazi Mbezi Juu Kwa Sanya kwa kujenga ghorofa 4 bila kibali, kwenye msingi dhaifu wa nyumba ya chini

    UPDATE: Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Saad Mtambule ametembelea Mtaa wa Nia Njema Mei 23, 2023, baada ya kusoma post hii ya JF DC aliambatana na Mhandisi wa Wilaya na maafisa wengine. Baada ya kukagua ujenzi wa gorofa hilo, wamebaini kuwa linajengwa bila kibali cha manispaa na chini ya...
  14. JamiiForums Tanzania Kijue kipimo cha kupimia Maisha

    Salama Ndugu zangu? Maisha hayapimwi kwa wingi wa mali, fedha, dhahabu n.k vinavyomilikiwa na mtu, familia, ukoo, Mtaa, kijiji, Wilaya, Mkoa, Taifa, Bara. Bali maisha yanapimwa kwà UTU (Akili, Elimu, Maarifa na Maono). Faida za UTU ni kuwa na AFYA kwenye AKILI, kuipa ELIMU uhai, kuyapa Maarifa...
  15. JamiiForums Tanzania Nilichogundua kuhusu maisha ya utafutaji usiombe mtu hela muombe connection

    Nilichogundua Kama upo na circle ya watu waliofanikiwa Kama ukiwa mtu wa kuwaomba hela Basi Fahamu watakupa bloko au watakuchukulia Kama msumbufu tu. Yaani haijalishi mtu analipwa sh ngapi au anaingiza sh ngapi usithuhubutu kumjengea mazoea ya kumuomba hela ni hatari Sana. Labda uwe unafanya...
  16. JamiiForums Tanzania Madereva wa magari ya shule ni hatari kwa maisha ya watoto wetu

    Siku Hizi kumekuwa na trend ya matukio kadhaa ya madereva wa gari za shule 'School Bus' kuwa rough njiani, na hawako makini kabisa, hawajali kabisa kama wamebeba watoto ndani ya gari hizo. Hii video ni moja ya matukio ambayo yamekamatwa kwenye camera Gari ya shule yenye jina la MARTHA...
  17. JamiiForums Tanzania Wakati Mbowe anazunguka kusifia alivyolainishiwa maisha, Lissu anaongelea ugumu wa Maisha wa Masikini

    Ni wazi Mbowe ameishiwa na hana cha kuongea. Anazungumzia sana jinsi ambavyo asubuhi alikuwa mfungwa jioni akawa ana kula kuku Ikulu. Na anashukuru sana. Yaani amesahau hata ni nani alimkamata na nani alimwachilia. Akiwa anaongea unamwona tu kila dakika analamba asali anakuja tena kuongea...
  18. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Nikifa tafadhali mpeni mwanangu ujumbe huu

    Maisha ya siku hizi yamegubikwa na vitu vingi sana ambavyo kiuhalisia vinaficha uhalisia wa maisha yetu waafrika, Ninaweza kusema kuwa haya ndiyo maendeleo lakini isifike mahali tukasahau kabisa tulikotoka na kuuvaa umagharibi moja kwa moja katika chapisho hili ninakwenda kuikumbusha jamii...
  19. JamiiForums Tanzania Tutumie njia hii kutumia muda vizuri

    I wanna say ni kwamba kama una wanawake wengi lets say 4+ Unaweza unda group la WhatsApp ili uwe unawatumia Taarifa kwa Pamoja ili kuokoa Muda. Badala ya kupoteza Muda kuchart na kila mtu u may send a single messages to wish them Goodnight or Good morning at once.
  20. JamiiForums Tanzania Ushauri: Hii tabia yake imekuwa kero na inaweza hatarisha maisha ya mtu

    Naombeni ushauri wenu. Demu anakula pesa zangu jinsi atakavyo. Ikifika wakati wa mimi sasa kumla anakuwa na masharti Kuna styles hazitaki. Anasema hawezi fanya mapenzi kwa style hatarishi kwake. Na anasema nyingine ni za kimalaya wakati yeye ni mtu wa dini. Sasa nikamwambia basi awe mtu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…