maisha

  1. R

    Hizi hapa familia TANO zenye maisha bora zilizopambana kwa ajili ya masikini na kuonewa kipindi cha mwaka 2015 hadi 2022

    1. Maria Sarungi (shangazi)- umezaliwa familia Bora, ulikuwa na kila sifa uteuzi lakini ulikataa na kuamua 2022 ulie na wanaolia. Uliwindwa ukakimbia nchi lakini bado haukusita kupambana Kwa ajili ya Haki ya wale wote wanaonekana. Kupitia Maria space ulivuka viunzi vya kuminywa Kwa Uhuru wa...
  2. Kamanda Asiyechoka

    Zitto Kabwe na Mbowe wanaharibu maisha ya watanzania kwa kutanguliza matumbo yao na kufanya siasa za kihuni

    Taifa lolote ili liweze kuendelea lazima liwe na upinzani madhubuti. Upinzani madhubuti utairekebisha serikali inayotawala pale inapokosea na kukandamiza wanaotawaliwa. Eti maridhiano! Maridhiano wakati wananchi wanaishi maisha magumu? Tozo,kodi na gharama za maisha juu. Ni tatizo...
  3. M

    Dah, Maisha ya kuridhika ni mazuri sana!

    Nimeamka sina kifungua kinywa, ilipofika saa 5 hivi nikakoroga uji kwa kutumia maziwa yaliyokuwepo kama nusu lita hivi!! Nilikunywa huo uji mtamu na moyo ukaridhika kuwa hayo ndiyo maisha mazuri. Nikiwa mitaani hakuna anayeweza kuhisi kuwa nimeshindia uji. Kwa kweli kuridhika ni faida kubwa...
  4. DR HAYA LAND

    Kila Mtu aliyekwama Maisha analaani Ngono je serikali kwanini isiweke utaratibu wa kuwaokoa vijana?

    Chanzo cha umasikini na kuishi Maisha ambayo hayana Future yapo Katika , Ngono . Inaonekana nchi masikini Kama TANZANIA ukiendekeza ngono Basi Mafanikio utaendelea kuyasikia nchi jirani. Basi naomba Elimu kubwa ielekezwe kwa vijana athari za ngono . Hawa single mothers jinsi wanavyogawa...
  5. BARD AI

    Afungwa jela maisha kwa kubaka Mtoto wa miaka mitatu

    Mahakama ya Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, imemhukumu John Sanare (23), Mkazi wa Kimnyaki wilayani hapo kutumikia kifungo cha maisha jela baada ya kukutwa na hatia ya kubaka kichanga cha miaka mitatu na miezi miwili. Hukumu hiyo ilitolewa jana mahakamani hapo na Hakimu Mkazi Mkuu Gwantwa...
  6. L

    Utaratibu wa maisha waanza kurejea kama kawaida baada ya China kulegeza sera za maambukizi sifuri ya COVID-19

    Tangu mapema mwaka 2020 wakati ugonjwa wa COVID-19 ulipolipuka na kushuhudia watu wengi wakiathirika duniani, juhudi mbalimbali zimekuwa zikichukuliwa ili kuhakikisha ugonjwa huu unadhibitiwa ama kutokomezwa kabisa. Juhudi hizo ni pamoja na kila nchi kuweka kanuni na zuio la aina mbalimbali, na...
  7. tawakkul

    Rais Samia vunja mifumo hii utusaidie wananchi wa maisha ya chini Morogoro hasa wilayani Kilosa, tunaonewa

    Habari wakuu JF! Iko hivi; Hakuna mtu yeyote mwenye akili timamu atakayepinga kuwa katika awamu ya sita kumefanyika ujenzi wa shule, hospitali, zahanati, vituo vya afya miundombinu ya hali ya juu kuliko awamu zote. Hakuna mtu yeyote mwenye akili timamu atakayekataa kuwa awamu ya sita imeleta...
  8. M

    Malengo yangu 2023 yasipotimia yanabaki ni malengo yangu ya maisha

    ‭Kwa mwaka 2023 nimejiwekea malengo yangu haya; Kununua kiwanja cha biashara (nina viwanja na nyumba kwa ajili ya makazi) 2023 nimeupa rasmi ni mwaka wa mandalizi ya kuongeza biashara nyingine hivyo ntapambana ninunue uwanja either for guest house au kiwanda kidogo, sijui itakuwa biashara...
  9. BARD AI

    Arusha: Afungwa jela maisha kwa kumlawiti mtoto wa miaka 10

    Mahakama ya Wilaya ya Arusha, imemhukumu kifungo cha maisha gerezani, Godlisten Kibwana (22), baada ya kupatikana na hatia ya kumlawiti mtoto wa kiume wa miaka 10. Kibwana ambaye ni mkazi wa eneo la Mianzini, jijini Arusha amehukumiwa adhabu hiyo leo Alhamisi, Desemba 29, 2022 na Hakimu Mkazi...
  10. technically

    Mwanamke bora wa Maisha yangu

    Kwanza niseme mimi ni mwanaume mwenye uchumi wa kawaida sio tajiri wala sio masikini nipo katikati. Me ni mwanaume ninayependa Mwanamke mwenye sifa zifuatazo Mwanamke ambaye hawezi kuniomba mimi elf 20 elf 50 au laki 1 huyu Mwanamke hanifai nataka Mwanamke ambaye ataniambia nataka milion 3 au...
  11. saidoo25

    Hando aungana na Ndugai kupinga Serikali inavyokopa kopa ovyo

    MTANGAZAJI maarufu na Mchambuzi maarufu wa Siasa za Tanzania, Gerald Hando ameweka wazi msimamo wake kutokubaliana na utaratibu wa Serikali inavyokopa poka hovyo na kusisitiza kuwa uamuzi wa Job Ndugai kuzungumzia mikopo haukuwa mbaya na hakupaswa kujiuzulu. "Hakuna kibaya alichokisema Ndugai...
  12. Blue-ish

    Watu wengi hawana furaha na maisha yao

    Mengi huja kwa njia tofauti tofauti katika haya maisha,Kila kinachokuja na kutokea katika maisha yako kichukulie kama njia moja wapo ya kujifunza kwako. Maisha mazuri ni yale yakukubaliana na hali uliyo nayo,kuridhika na kile ulichonacho kile ambacho kila ufunguapo macho unakutana nacho na sio...
  13. Naantombe Mushi

    No offence, ila tunaoishi na wanawake form four na la saba, tunakula maisha sana

    Mwaka wa tano huu sasa, hakuna mba mba mba wala nye nye nye! Namshukuru Mungu. Sijui ni kwanini ipo hivi, no offence pia kwa wanawake wenye degree zenu. Ila mimi nazungumzia sisi tuliooa form four na la saba, yaani kwa kweli, hata kama huyu mwanamke ana makando kando, ila life lipo poa sana...
  14. Robert S Gulenga

    Feisal Toto, ulistahili, unastahili na umechelewa saana, Bravo, kuna muda Maisha ni akili, kipaji pekee hakitoshi - Wanasema Mision Accomplished

    Kwa umri wako na kiwango chako uko kwenye peak ya mafanikio, master mind wako amepanga hesabu zikapangika na wakajaa kwenye hesabu zenu, sasa wewe ndie mchezaji uatakayekuwa unalipwa mshahara mkubwa kuliko wachezaji wote wa ndani, na utakuwa ni mchezaji wa tatu kulipwa mshahara mkubwa kwa soka...
  15. Mia saba

    Umepata somo gani la maisha 2022?

    Mimi: Kila kitu kizuri kinataka muda, muda inahitaji sacrifice ya vitu vingi vizuri.
  16. IamBrianLeeSnr

    Simulizi yenye ukweli wa kuumiza juu ya maisha na matukio halisi yanayotokea katika jamii yetu

    LANGO LA MOTONI CHAPTER 1 Jumatatu YA TAREHE 26/12/2022 Majira ya saa tisa na dakika arobaini na saba kulionekana dada mmoja ambaye hakuonekana nadhifu kwa mwonekano wa mavazi yake pamoja na nyewe zake zilizoonesha kutimka kama vile alikuwa akikimbizwa na kitu au yupo katika dimbwi la...
  17. Idugunde

    Bila kuikataa na kuipinga hii CCM maisha ya Watanzania yatakuwa magumu na itakuwa ni janga kubwa

    Watanzania ni watu wa kujishughulisha. Wanapambana maana wanalima, wanafuga na kufanya ujasiriamali wa kila namna. Ila ukweli ni kuwa CCM haina sera na mipango madhubuti ya kiuchumi kuwanyanyua Watanzania. Ufisadi na ubadhirifu usiokemewa na kudhibitiwa huruudisha nyuma maendeleo ya...
  18. May Day

    Wachezaji walipwe vizuri sambamba na elimu ya kifedha

    Nimekutana na hii hoja kuwa baadhi ya Wachezaji Wastaafu wanalalamika kuwa hawakuwa wanalipwa vizuri ndio maana maisha sasa yanawawia magumu. Bila kujiingiza kwenye sakata hili la Fei Toto na wala sina tatizo na Mtu kupigania haki yake ya kulipwa vizuri na ikiwezekana alipwe vizuri kwa kadri...
  19. DR Mambo Jambo

    Miaka 18 ya upotevu wa maisha ya Yesu Kristo. Je, nini hasa siri yake na wanaficha nini?

    Habari za Mida hii Ndugu Zangu Naomba kuanza kwa kuwatakia Sikukuu njema ya Kuzaliwa kwa Yesu kwa wale wote wafuasi wa imani ya Kikristo na hope mnaenjoy sana Happy noela Kabla ya yote ningependa kurejea Luka 1:1-3 Kama inavyosema; ..."Kwa kuwa watu wengi wametia mikono kutunga kwa taratibu...
  20. Dalton elijah

    Kupanda kwa gharama za maisha huaribu sherehe za krismas

    Abuja, Nigeria - Adeola Ehi alikuwa anatazamia kumpeleka bintiye mwenye umri wa miaka miwili nyumbani kukutana na babu yake kwa mara ya kwanza Krismasi hii. Lakini maombi kwa matumizi ya kaya ambayo yalijumuisha kodi isiyotarajiwa kulifanya mshauri wa mawasiliano mwenye umri wa miaka 43...
Back
Top Bottom