maisha

  1. JamiiForums Tanzania Maisha ni mfano wa mashindano ukilielewa hili Jambo Basi utakuwa Mtu Bora Sana

    Maisha siku zote ni mfano wa Mashindano na sio kila anayeshiriki anahitaji Ubingwa au taji Kuna timu zinashiriki ili tu zisishuke Daraja. na hizi timu ndo nyingi Sana (WATU). Hivyo Kama mtu una kusuduio lako unalohitaji kulitimiza hapa Duniani na kushinda taji hili Muhimu linaloitwa MAISHA basi...
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Kesho ni fumbo kubwa ambayo jana yake ina maumivu

    Kuna muda unakaa unawaza maisha jinsi utakavyojitoa kwenye umasikini lakini njia imefungwa. Mawazo nayo yanazidi kupamba moto kile ulichokuwa unakutamani kiwe hakiwi kama utakavyo. Unaamua kutumia njia nyingine kufikiri ni njia sahihi unatambua ni sahihi kwa watu wengine kufanikiwa kwa kutumia...
  3. JamiiForums Tanzania Maisha Bora na Mbwa: Jinsi Wanavyotufundisha Kuwajibika, Kuwa na Uvumilivu, na Kuonyesha Huruma

    Utangulizi: Je, unajua kuwa mbwa ni marafiki wa binadamu tangu miaka 15,000 iliyopita? Je unajua kuwa mbwa wanaweza kusoma hisia zetu kutokana na sauti na uso wetu? Mbwa ni marafiki wa ajabu na wapenzi wa dhati wa binadamu. Wana uwezo wa kuleta furaha, faraja, na usalama katika maisha yetu...
  4. JamiiForums Tanzania Gari gani zuri la kuanzia maisha?

    Gari gani zuri dogo dogo la kufanyia mizunguko hapa mjini Ukinzingaria mambo kama ya ulaji wa mafuta na pia urahisi wa kujipenyeze, vipuli etc
  5. JamiiForums Tanzania Kitabu: Maisha ya Malcom X

    Tafsiri ya kitabu The Autobiography of Malcom X. Unaweza kukisoma ndani ya Maktaba Sauti app. Muandishi: Malcom X(Alex Haley), 1965. Mtafsiri: Pictus Publishers ltd Email: pictuspublishers@gmail.com. Whatsapp: 0715278384 ©Pictus Publishers Ltd2023. Sura ya kwanza JINAMIZI Mama yangu...
  6. JamiiForums Tanzania PICHA: Maisha miji mingi ni ghali bila sababu za msingi

    Hapa ni Mpemba Tunduma hii ni room ya 35,000 very classic na wifi juu. Dar au Arusha hii utasikia 60 au 80 kabisa. Msikompliketi maisha. MY TAKE: Weka bei chee kwenye bidhaa au huduma uza zaidi, Bakhresim theory of doing business.
  7. JamiiForums Tanzania Ukizini na mwanamke nje ya ndoa, Mungu anapunguza Miaka 5 kwenye maisha yako

    Nimetoka kusoma Biblia sasa hivi Dah, kupunguziwa Miaka 5 nayo mbaya. Imagine Mungu alikuandikia kuishi Duniani Miaka 100, lakini ukazini na mwanamke nje ya ndoa kama 10 ivi ina maana wewe tuko nawe Kwa Miaka 50 tu. Jamani ACHENI uzinzi, tuishi milele Mithali 6:32 Mtu aziniye na mwanamke...
  8. JamiiForums Tanzania Wakati Skudu sasa amewazimieni Simu jitahidini mumlipe Morrison kabla hajaenda FIFA na Mkafungiwa Maisha

    Yaani kabisa GENTAMYCINE nije na Exclusive hapa JamiiForums halafu isiwe Kweli 100%? Kudadadeki. Mlipeni Skudu haraka ili Kesho apande Bung'o (Ndege) arejee Tanzania vinginevyo atajikita sasa Kutunga Nyimbo za Amapiano na Kuzicheza tu huko huko Kwao Bondeni.
  9. JamiiForums Tanzania Nchi gani ya SADC naweza kwenda kutafuta maisha na nikatoka kwa mtaji huu?

    Husika na kichwa cha habari hapo juu, Wakuu siko vizuri kupangilia maandishi naomba mnisamehe kwa hilo. Mimi ni kijana mwenye miaka 30 nimefanya biashara kama tatu hapa bongo sioni mafanikio biashara ya mwisho nimeachana nayo last month nimeuza vitu kwa hasara nimepata 2M. Nimeamua kwenda...
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza wa maisha

    Habari za majukumu Ndugu zangu, Mimi bado naamini kupitia hapa JF na platform nyingne naweza kupata mpenzi, mchumba mpaka mke mwema kabisa, miaka inaenda Muda wa kutembea na kukutana na watu wapya kwangu changamoto saana. Naomba hata kama una ndugu jamaa au rafiki mwenye sifa za nimtakaye...
  11. JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia katika safari za maisha yako hususani kwa sisi vijana

    Hakikisha haya mambo yanakua Siri kwako; 1. Masuala ya mahusiano yako Hii haikumaanisha kujua status kwamba umeoa au umeolewa,hii imelenga watu ambao wanapenda kuongelea masuala ya mausiano yao mfano mwanaume kutangaza madhaifu ya mke wako kwa watu 2. Hali yako ya kifedha 3. Matatizo ya familia...
  12. JamiiForums Tanzania Kweli maisha ya sasa, ndoa inatafutwa kwa lazima

    Kutokana na changamoto za kiuchumi pamoja na uhaba wa wanaume wenye sifa za uoaji kupungua; mabinti wakileo wameanzisha utaratibu wa kujisogeza kwa mwanaume na kuanza naye maisha, bila kufuata taratibu za ndoa. Kuna binti mmoja amemaliza chuo, na kukaa mwaka mmoja nyumbani bila kazi, akaona...
  13. JamiiForums Tanzania Graduate wa chuo, tafuta documents zifuatazo omba passport ya kusafiria nenda Ulaya ukapate ramani ya maisha yako

    Mchanganuo wa Nyaraka za zinazohitajika kwa anayetafuta Pasipoti ya Kusafiria Kwa Safari ya Ulaya na Kuweka Mipango ya Maisha. Kabla ya kuanza safari yako ya Ulaya na kuanza hatua mpya ya maisha yako, unahitaji kuwa na nyaraka sahihi zinazohitajika wakati wa kuomba pasipoti ya kusafiria. Hizi...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Watu ambao hugombania usafiri wa umma kama wakazi wa Mbagala huishi maisha marefu?

    Kwa mujibu wa utafiti uliochapishwa kwenye gazeti la Washington Post umesema watu ambao hugombania usafiri wana nafasi kubwa ya kuishi maisha marefu na kuepukana na baadhi ya saratani. Kwa Dar es salaam, wakazi wa mbagala wanajulikana kwa kugombania gari na kupambana kupata nafasi ama kiti cha...
  15. W

    JamiiForums Tanzania KWELI Kimeo sio Ugonjwa. Ukataji wa kiungo hiki unaweza kusababisha Madhara mengi ikiwamo kifo

    Msiwakate watoto vimeo kwa sababu zozote, inaweza pelekea mtoto kupoteza maisha kutokana na kuvuja damu; kama mtoto ana shida yoyote muone daktari atakushauri tiba sahihi.
  16. K

    JamiiForums Tanzania Haya maisha ya namba gani?!

    WanaJf wenzangu,Nawasalimu.Kuna jamaa yangu mmoja anaishi maisha ya ajabu sana!Hela anapata sana,lakini Hana kitanda,godoro Wala chumba Cha kulala!Kulala kwake ni kwa kidandia mara kwangu mara kwa jamaa wengine,akizipata analala bar!Na ni mchangiaji mzuri wa mada mbalimbali nk.Na ukimpa ushauri...
  17. JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa maisha

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nina umri wa miaka 27, ni muajiriwa natafuta mke aliye serious. Mimi ni mkristo sharti mke awe mkristo au awe tayari kubadili dini. Nawasilisha.
  18. S

    JamiiForums Tanzania Msukuma siyo wa kumuamini, ni muovu wa fikra na muovu katika maisha yake

    Inaumiza kuona mijitu miovu isiyo na soni inatamba mitaani. Híi ni kwasabb jamii ya kitanzania inatukuza matajiri na utajiri pasipo kufuatilia ulipatikanaje. Nchi yetu ingelikuwa ni nchi yenye kuheshimu maadili, Msukuma angelikuwa jela. Lkn cha ajabu amekuwa akitamba mitaani na kuwatukana mpk...
  19. JamiiForums Tanzania Hizi ndio biashara 17 zitakazofanya utoboe haraka maisha

    Biashara ya vifaa vya pikipiki, bajaji, na guta: Biashara hii inajihusisha na uuzaji wa spea zinazohusiana na pikipiki, bajaji, na guta. Pia, unaweza kuuza pikipiki, bajaji, na guta kama bidhaa kamili kwa wateja. Hardware Store: Hii ni biashara ambayo inajihusisha na kuuza vifaa vya ujenzi na...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza wa Maisha

    Mimi ni kijana wa kiume 29 yrs natafuta mwenza wa Maisha (mpenzi) mwenye vigezo vifuatavyo 1. Umri 22+ 2. Dini (Christian) mcha Mungu 3. Location - Tanzania Elimu sio kigezo kwangu kwa maana mimi nataka mke ambaye ni wife material na sio Professor. Kwa ambaye yuko interested ani PM na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…