Maisha ya ndoa ni kama pedeli ya baskeli

Ester505

JF-Expert Member
Jul 14, 2020
794
1,030
Maisha ya ndoa ni mazuri Sana Kama mtaelewana,japo mapungufu yatakuwepo lakini ni kawaida. Yanafanana na pedeli ya baskeli.Siku mke akiwa juu,mume kubali kuwa chini na mume akiwa juu mke kubali kuwa chini.(ndivyo baskeli inavyoenda).

Kiburi,ujeuri,kisirani,dharau,ubabe haujengi ndoa Bali hubomoa. Tena Kuna wale wanaoshauriana na wake zao,akimaliza hapo anaenda kwa marafiki zake a.k.a washauri zake kuomba ushauri.Sasa uliomba ushauri kwa mkeo ili iweje!!!Sasa Bora washauri wakushauri vizuri,lakini hakuna.Ndoa nyingi zimekufa kwa sababu hii.

Maisha yanahitaji HESHIMA,UVUMILIVU,UPENDO,MTHAMINI MWENZA WAKO,MJALI,USIMFICHE.

KITU,MSHIRIKISHE,MUAMINI.

Nawatakia Ramadhan njema!!!!
 
Maisha ya ndoa ni mazuri Sana Kama mtaelewana,japo mapungufu yatakuwepo lakini ni kawaida. Yanafanana na pedeli ya baskeli.Siku mke akiwa juu,mume kubali kuwa chini na mume akiwa juu mke kubali kuwa chini.(ndivyo baskeli inavyoenda).
Dawa ya ndoa ni kutoingia kwenye ndoa, chagamoto za ndoa hazina mfano acha tu hayo mambo ya pedeli za basikali ni kupotez mda.
 
Back
Top Bottom