maisha

  1. Natafuta mwenza wa maisha

    Habari za majukumu Ndugu zangu, Mimi bado naamini kupitia hapa JF na platform nyingne naweza kupata mpenzi, mchumba mpaka mke mwema kabisa, miaka inaenda Muda wa kutembea na kukutana na watu wapya kwangu changamoto saana. Naomba hata kama una ndugu jamaa au rafiki mwenye sifa za nimtakaye...
  2. Mambo ya kuzingatia katika safari za maisha yako hususani kwa sisi vijana

    Hakikisha haya mambo yanakua Siri kwako; 1. Masuala ya mahusiano yako Hii haikumaanisha kujua status kwamba umeoa au umeolewa,hii imelenga watu ambao wanapenda kuongelea masuala ya mausiano yao mfano mwanaume kutangaza madhaifu ya mke wako kwa watu 2. Hali yako ya kifedha 3. Matatizo ya familia...
  3. Kweli maisha ya sasa, ndoa inatafutwa kwa lazima

    Kutokana na changamoto za kiuchumi pamoja na uhaba wa wanaume wenye sifa za uoaji kupungua; mabinti wakileo wameanzisha utaratibu wa kujisogeza kwa mwanaume na kuanza naye maisha, bila kufuata taratibu za ndoa. Kuna binti mmoja amemaliza chuo, na kukaa mwaka mmoja nyumbani bila kazi, akaona...
  4. Graduate wa chuo, tafuta documents zifuatazo omba passport ya kusafiria nenda Ulaya ukapate ramani ya maisha yako

    Mchanganuo wa Nyaraka za zinazohitajika kwa anayetafuta Pasipoti ya Kusafiria Kwa Safari ya Ulaya na Kuweka Mipango ya Maisha. Kabla ya kuanza safari yako ya Ulaya na kuanza hatua mpya ya maisha yako, unahitaji kuwa na nyaraka sahihi zinazohitajika wakati wa kuomba pasipoti ya kusafiria. Hizi...
  5. T

    Watu ambao hugombania usafiri wa umma kama wakazi wa Mbagala huishi maisha marefu?

    Kwa mujibu wa utafiti uliochapishwa kwenye gazeti la Washington Post umesema watu ambao hugombania usafiri wana nafasi kubwa ya kuishi maisha marefu na kuepukana na baadhi ya saratani. Kwa Dar es salaam, wakazi wa mbagala wanajulikana kwa kugombania gari na kupambana kupata nafasi ama kiti cha...
  6. W

    KWELI Kimeo sio Ugonjwa. Ukataji wa kiungo hiki unaweza kusababisha Madhara mengi ikiwamo kifo

    Msiwakate watoto vimeo kwa sababu zozote, inaweza pelekea mtoto kupoteza maisha kutokana na kuvuja damu; kama mtoto ana shida yoyote muone daktari atakushauri tiba sahihi.
  7. K

    Haya maisha ya namba gani?!

    WanaJf wenzangu,Nawasalimu.Kuna jamaa yangu mmoja anaishi maisha ya ajabu sana!Hela anapata sana,lakini Hana kitanda,godoro Wala chumba Cha kulala!Kulala kwake ni kwa kidandia mara kwangu mara kwa jamaa wengine,akizipata analala bar!Na ni mchangiaji mzuri wa mada mbalimbali nk.Na ukimpa ushauri...
  8. Natafuta mke wa maisha

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nina umri wa miaka 27, ni muajiriwa natafuta mke aliye serious. Mimi ni mkristo sharti mke awe mkristo au awe tayari kubadili dini. Nawasilisha.
  9. S

    Msukuma siyo wa kumuamini, ni muovu wa fikra na muovu katika maisha yake

    Inaumiza kuona mijitu miovu isiyo na soni inatamba mitaani. Híi ni kwasabb jamii ya kitanzania inatukuza matajiri na utajiri pasipo kufuatilia ulipatikanaje. Nchi yetu ingelikuwa ni nchi yenye kuheshimu maadili, Msukuma angelikuwa jela. Lkn cha ajabu amekuwa akitamba mitaani na kuwatukana mpk...
  10. Hizi ndio biashara 17 zitakazofanya utoboe haraka maisha

    Biashara ya vifaa vya pikipiki, bajaji, na guta: Biashara hii inajihusisha na uuzaji wa spea zinazohusiana na pikipiki, bajaji, na guta. Pia, unaweza kuuza pikipiki, bajaji, na guta kama bidhaa kamili kwa wateja. Hardware Store: Hii ni biashara ambayo inajihusisha na kuuza vifaa vya ujenzi na...
  11. C

    Natafuta mwenza wa Maisha

    Mimi ni kijana wa kiume 29 yrs natafuta mwenza wa Maisha (mpenzi) mwenye vigezo vifuatavyo 1. Umri 22+ 2. Dini (Christian) mcha Mungu 3. Location - Tanzania Elimu sio kigezo kwangu kwa maana mimi nataka mke ambaye ni wife material na sio Professor. Kwa ambaye yuko interested ani PM na...
  12. D

    Maendeleo ya mtu yana uzuri asilimia 30 tu zinazobakia asilmia 70 ni uchafu mtupu ambao hubaki siri yake maisha

    Siyo kwa ubaya lakini! Naomba kuwatia moyo wenye uwezo mdogo kama mimi wa ugali na dagaa na tembele! Ukweli ni kwamba sisi tuko bora kuliko hao wanaoonrkana wamefanikiwa! Tunachofanya ni halali, tunachochuma ni jasho la haki tunagawana na familia maisha yanasonga! Wanaoonekana wamefanikiwa...
  13. Tulitangaziwa kufutwa kwa tozo ila nimekatwa tozo

    Wadau juzi juzi hapa tunetangaziwa rais kafuta tozo. Cha ajabu bado kuna kodi ya serikali kwenye miamala. Ninetoka kutoa Airtel money nimekatwa tozo.
  14. Nilikutana na mwenza wa maisha Dating sites

    Katika harakati za maisha tunakutana na mengi. Maendeleo ya Teknolojia yametuletea hizo zinazoitwa dating sites. Binafsi nilipata mwenza wa maisha Dating site (jina kapuni - Kwa kuzingatia sheria za JF) tumefunga ndoa, fungate Dubai Hadi Leo tunalea familia vizuri tu.
  15. Shinyanga: Ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumlawiti mtoto wake wa miaka 11

    Abely John Haule (37) mkazi wa Manispaa ya Shinyanga amehukumiwa na Mahakama ya Wilaya ya Shinyanga baada ya kukutwa na hatia ya kutenda ‘ukatili’ huo kwa muathirika katika nyakati mbalimbali kati ya Mwaka 2022 hadi Februari 2023. Kesi hiyo ya namba 8 ya Mwaka 2023, ilikuwa na mashahidi Watano...
  16. Mambo niyaogopayo kwenye maisha

    Katika maisha yangu mambo ambayo kwangu ni hatari na ambayo nayaogopa. 1. Uzinzi (uasherati) 2. Kula jasho la mtu 3. Kumuuzunisha mtu Sijui nyie wenzengu mambo yepi kwenu mna yaogopa Intelligent businessman Poor Brain mshamba_hachekwi Extrovert
  17. Ukosefu wa dola na kupanda kwa mafuta kunaenda kuathiri maisha ya Mtanzania

    Hitaji la juu la sarafu ya dola na kushuka kwa hitaji la sarafu ya shilingi inatupa picha ya kushuka kwa thamani ya shilingi,kushuka kwa thamani ya shilingi ya Tanzania kiuhalisia kunaongeza gharama za uagizaji bidhaa na kwa mtaani kunaongeza gharama za maisha katika mitaa ya Tanzania, kiujumla...
  18. Nimepona Ugonjwa wa Presha ya Juu kwa kubadili tu mfumo wa maisha

    Miezi kadhaa iliyopita nilikubwa na misukosuko mingi sana kimaisha na magonjwa mbalimbali makubwa kuninyemelea ikiwamo high blood presha. Nikiwa kijana kabisa mwenye ndoto za maisha yangu nilishtuka sana nilipofika hospitalini siku moja kwa issue ingine na dokta kunipima presha kwanza kisha...
  19. 13 wahofiwa kupoteza maisha mitumbwi miwili ikizama Ziwa Victoria

    Watu 13 wanahofiwa kufariki dunia huku wengine 14 wakiokolewa baada ya mitumbwi miwili kuzama ndani ya Ziwa Victoria wakati wakitoka kusali ibada ya Jumapili Kijiji cha Ichigondo Wilaya ya Bunda mkoani Mara. Akizungumza kwa simu na Mwananchi leo Jumatatu Julai 31, 2023, Mkuu wa Wilaya ya Bunda...
  20. N

    SoC03 Usimamizi Bora ni Ufunguo wa Maisha

    Usimamizi ni kitendo cha kuweka watu pamoja ili kutimiza malengo na madhumuni yatakakinayo. Usimamizi unajumuisha Mipango, Maandalizi, Mahusiano, Majukumu n.k baina ya mtu mmoja au kikundi cha watu au zaidi. Usimamizi bora ni uwezo wa kuyatenda Mambo yote haya katika Hali ya ubora. Mary Parker...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…