Kama kichwa kinavyoeleza dunia nzima inapaswa kushangilia ushindi wa vita kwa Iran.
Masharti yaliyowekwa na Iran US ameyakubali hii inaonesha mshindi ni Iran.
Mashati ya Marekani yote alikataliwa, machache haya
1. Kutotengeneza makombora
2. Kutorutubisha uranium
3. Kufungua mlango bahari...
Huu ni Uzi maalumu kwetu sisi vigagula , kwa ajili ya kupeana update za dawa mpya na michanganyo yake kwa lengo la sisi kupandishwa vyeo makazini, kuwaroga mabosi zetu watuachie Mali , kuroga wazungu, kujipatia Mali za kilozi n.k
Binafsi tayari Nina mchanganyo mpya wa jinsi ya kuwavua na...
"Vijana kukosa ajira ni serikali kutokuamua kuchukua hatua. Uwepo wa ufisadi na ubadhirifu ni serikali kutokuamua kuwajibisha, wameamua kujilinda na kukaa kimya. Maisha yetu ni siasa, kila siku huwezi kujitenga na siasa.
Aristotle, mwanafalsafa mashuhuri anasema mwanadamu ni kiumbe cha kisiasa...
Gari ya polisi Rombo yadaiwa kumgonga dereva pikipiki aliyedaiwa kuwa na mirungi nakuondoka na mwili, barabara yafungwa RPC asema barabara ishafunguliwa
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa amesema barabara ya Rombo na Moshi imefunguliwa tena baada ya kufungwa kwa zaidi ya saa...
Ladha ya maisha unaipata kwenye nini?
Watu husema bila afya, maisha hayana ladha
Wengine husema bila pesa, maisha hayana ladha
Kuna wanaokunywa pombe wakiamini ndiyo njia ya kuonja ladha ya maisha na kujisitiri na mawazo ya kila siku
Wengine huona raha na ladha ya maisha kupitia mapenzi na...
Habari wanajamii,
Natafuta watu binafsi, creators au timu zenye Original Content (OG) zinazohusu maisha halisi ya wanafunzi wa vyuo vikuu na vijana waliotoka vyuoni.
Maudhui ninayohitaji ni pamoja na:
Burudani na maisha ya kila siku ya wanafunzi
Elimu na maendeleo binafsi
Mahusiano na...
Kamwene
Streight to the point / swali sio la kijumla ni la kibinafs, ningependa niwe kama hivi tu nilivyo ili hali ya moyo wangu ibadilike kidogo, nimekuwa na moyo wa huruma kupitiliza
Ikitokea nimepita barabarani na mtu asiyejiweza kunizidi akiniomba pesa au msaada na kwa mda huo pengine sina...
Watanganyika hatukuzoea maisha haya ya askari polisi na wanajeshi kutapakaa mtaani saa 24 wakishinda kwenye vituo vya mwendokasi na makutano ya Barabara, wakiwa na mitutu ya Bunduki pamoja na magari ya kivita shida kubwa nini hasa?
Tanganyika tumegeuka Somalia au Congo DRC pamoja na nchi...
Mara nyingi watu hukumbuka mabaya tu waliyopitia au kufanyiwa katika maisha Yao na watu mbalimbali.
Lakini leo ningependa tujue mambo mazuri ambayo watu wamefanyiwa na yameacha alama katika maisha Yao.
Pengine watu waliozea kuwafanyia watu mabaya watajifunza kitu.
Karibuni watu wangu wa Nguvu.
Kama Mlivyoona Kwenye Kichwa Hapo Juu Nataka kushea Story ya Maisha YANGU Kidogo Kama watu mtapata namna ya Kujifunza au kuburudika sawa Tuu.....ila story Ni ya kweli lakini Nitaichakachua kwa Asilimia 50 ili Kuficha ukweli na Baadhi ya Washiriki wasitambulike .......
KWAHIYO itakuwa
Ukweli 50%...
Hao wadada mnaowaita ombaomba humu ambao kiukweli huwa mnawatumia vihela vidogo vidogo mnapokuwa na upwiru wana maisha mazuri kuliko nyinyi mnaohisi wao ni mafukara
Hii ni baada ya kuona wengi wa michepuko yangu wamenikaushia kwa sasa maana washajipata wengine washajenga mahekalu wengine...
Anayedhulumu haki ya mtu / pesa kwa kisingizio ana maisha magumu ni mwizi kama wezi wengine, kisheria anaitwa mhalifu ktk ngazi ya kidini ni mwenye dhambi.
Hakuna ubishi. Kwa sasa super power pekee iliyopo duniani ni Marekani tu.
U super power wa Marekani haupo kwenye masuala ya kijeshi tu.
Bali, hawa jamaa wanadhibiti, kwa kiasi kikubwa, mifumo itumikayo kuendesha uchumi wa dunia.
Ukisikia wamemuwekea mtu flani vikwazo, basi kwanza ujue...
Humo ndiko Mungu amehifadhi mafanikio, furaha na amani ya maisha yako, ni suala la wewe tu kuamua kuingia kwenye ndoa na hatimae kuanza kufurahia Neema na Baraka za Mungu alizokuandalia uzifurahie katika maisha yako hapa duniani.
Kwani hujawahi kuona mtu baada tu ya kuingia kwenye ndoa mafuriko...
MOJA YA DALILI KWAMBA UTAFELI MAISHA NI KUCHUKIA WANAOKUZUIA USIFANYE MAMBO MABAYA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Ishara za mwanzoni kabisa za mtu kufanikiwa maisha sio katika bidii yake, sio katika Uchapakazi wake, sio katika uhodari na ujasiri wake.
2. Ishara za mwanzoni ukitaka ujue...
Khaaah!!
Yaani umekaa zako unadhani mafanikio ya watu ni bahati,siyo kweli.
Ni kwamba bahati humkuta aliye tayari kwenye circle na angle sahihi.
MAISHA siyo nadharia eti ujifunze mbinu za kutafuta pesa Kwa kusoma kitabu ulichonunua mtaani Kwa buku kumi.yaani mtu apoteze mamilioni ya Ada...
Habari jamiiforum.
Hii ni Kwa watu wazima 40+
Mambo meengi tunafanya ila kuna makosa yanajitokeza bila kujua,tunajiaibisha bila kujua.
Mbaya zaidi tunaona ni kawaida.
Na ni ngumu mtu kukwambia ukweli
1.Vitu tunavyopost kwenye social network.
Kuna watu wanaweka status huko WhatsApp...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.