Mwanaume mwenzangu usikate Tamaa ya maisha

Mwanaume mwenzangu usikate Tamaa ya maisha

Rebuild

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2020
Posts
3,664
Reaction score
7,257
Hakika haya Maisha Hayana Huruma Kwa Sisi wanaume ndio mana tunatakiwa tuyatafute popote pale pale sababu bila huu mchezo wa Hela ya Dunia ya leo tunakuwa sio lolote Kwa jamii.

Tunaonekana tumechanganyikiwa tukiwa tunatafuta haya Maisha.

Tunaonekana tunaviburi tukiwa busy na kutafuta haya Maisha
Tunaoneoana hatuna akili tukiwa hatuna Hela katika haya Maisha.

Wanawake wanatukimbia tukiwa hatuna Hela katika haya Maisha ya Leo.

Na bado tukipata hizi hela tunaonekana wachawi na hatupendi ndugu zetu.YAANI BALAA TUPU.


Tupambane wanangu na wewe mwenetu uliyetoboa angalau endelea kupambana hadi siku ya mwisho WA mchanga wako.

Usikate Tamaa ya haya Maisha ya Sasa mana Dunia hii haina huruma Kwasisi wanaume hata kidogo Ila Ulimwengu upo na Sisi sababu tunaficha mambo mengi moyoni.

Wacha niendelee Kula nyagi.
 
IMG-20260714-WA0007.jpg
 
Back
Top Bottom