maisha

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mjadala kuhusu kodi za nyumba, gharama za maisha na hali ya uchumi

    Nianze kwa kusema kwamba suala hili sasa imefika wakati liwe na mjadala wa kitaifa ili tuweze kufanya sekta ya makazi iweze kuwa rasmi na zaidi ili kuhakikisha kwamba wananchi wanapewa makazi bora na wanaishi katika mzingira rafiki. Kuna ambao wanaweza wakafikiri kwamba watanzania wengi wana...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

    Watu wengi wapo tayari kuanzia maisha na wenza wao Ila kuna mmoja bado anasuasua; ili kuwezesha kukutana Kwa watu ambao wapo tayari kuvutana muanze maisha muendele Kula mema ya nchi pamoja Kwa kuishi pamoja, kwani kuishi peke yako Kwa vijana kuna changamoto nyingi na wengi wetu hatupendi Ila...
  3. JamiiForums Tanzania Maisha na mapenzi

    Katika mchakato wa Maisha kuna mengi tunapitia, kuna kupanda na kushuka pia kuteleza na kuanguka. Kila kitu tunacho pitia ni Mungu ndiye amepanga kutupitisha huko hivyo hata kama ni magumu kiasi gani unayo ya pitia usimkufuru Mungu. Kila mtu unaye kutana naye ama kuishi naye ni wa thamani kwako...
  4. JamiiForums Tanzania Kijana anayeanza maisha usinunue godoro nunua mkeka huo huo kiti huo huo kitanda

    Vijana wengi kuanza maisha hupata shida waanzaje. Tafuta elfu tano nunua mkeka huo huo utautumia Kama kiti Cha kukaaa wewe na wageni wako na hapo hapo ujautumia Kama kitanda kulala usiku.
  5. JamiiForums Tanzania NIDA: Namba za Utambulisho (NIN) Milioni 6 bado hazijatumika kusajili laini za simu

    Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imesema kuwa inaendelea na zoezi la usajili na utambuzi wa watu, uzalishaji wa namba za utambulishi wa taifa na vitambulisho na ugawaji wake kwa wananchi ili waweze kuvitumia kusajili kadi (laini ) za simu kwa alama za vidole na huduma nyingine. Katika...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Maisha baada ya Chuo Kikuu

    MAISHA BAADA YA UNIVERSITY Mwanzo wa masomo katika chuo chochote kile hasa chuo kikuu huwa mzuri sana kwani wengi wanao pelekwa kusoma huwa na furaha na wengine wanahisi ndoto zao za mafanikio zimetimia. Ni Kipindi ambacho wanachuo uanza kuwasili vyuoni, ni kipindi cha Furaha kwa kila...
  7. JamiiForums Tanzania JamiiForums inavyobadilisha maisha yangu kwa kunipa wazo la (THD)

    TOPTRUST HELP DESC (A standby force) “ 0693354479 “ Baada ya kupitia nyuzi nyingi humu nilipata wazo! nikachukua hatua ya kukusanya taarifa zote muhimu za jiji la DAR ES SALAAM kuhusu huduma wanazohitaji watu ili kurahisisha maisha yao na kuokoa muda. sasa naweza kukusaidia Kila eneo...
  8. JamiiForums Tanzania Mnaooa au kuolewa na wanaotegemewa katika familia zao changamoto mnazopitia kujenga maisha yenu

    Yule aliyeinuka mmoja tu kwenye familia. Anategemewa na familia nzima na kuna wakati anasahau kuwa ana familia yake. Anawaza amalize nyumba ya wazee, ada ya wadogo zake, chakula chao cha kila siku. Kwakua huyu ndiyo mtoto nyota wanaona hata wewe mume:mke unawazibia kwa mtoto wao. Pasi...
  9. JamiiForums Tanzania Siasa ndo inaendesha maisha. Kubali ukatae huu ndio ukweli

    Wanajamvi habari za muda huu? Naamini mko salama. Leo nimeona nije na mada hii kwamba siasa ndo inarun maisha kwa kuwa kila tunapobadilisha viongozi wa kisiasa kila kitu kinabadilika. kwa hiyo kwa uelewa wangu siasa ndo kila kitu. Kwanza ukiangalia mifumo ya maisha wanasiasa ndio wanaobuni...
  10. JamiiForums Tanzania Misimu ya maisha

    Siku nyingine baada ya kula mlo mmoja tu na muda mfupi tu baada ya kuzipitia jumbe fupi za zamani kutoka benki fulani hapa nchini ambayo nami nilikuwa mteja wa muda mrefu sana. Nikikumbuka miamala niliyokuwa naifanya kwa ajili ya kukidhi mahitaji yangu na starehe mbalimbali. Nimemkumbuka pia...
  11. JamiiForums Tanzania Ngono ilitaka kukatisha maisha yangu

    Wadau kheri ya mwaka mpya 2020! Nimeamua nijipinde mgongo kuandika ujumbe huu maana naona kizazi cha vijana wabichi kinaangamia huenda kwa kujua au kutojua. Mimi ni kijana niliyelelewa kwenye maadili ya kumcha Mungu na wazazi. Niliyaishi maisha hayo yakuwa na hofu ya Mungu hadi kufikia umri wa...
  12. JamiiForums Tanzania Ananiamini lakini ana wasiwasi na aliujenga yeye maisha ya ndoa

    Ni mwanamke wa kwanza kumjua maishani .. Na ndio amekuwa mke wangu ... Ndio demu wangu wa kwanza 1999 primary za kinguonguo) na mpaka leo ndio mke wangu nlikutana nae tena 2002 ...Wa ndoa .... Baada ya kujifungua huyu mtoto wetu ... Yaaani alinipotezea kabisa ....hamu ya tendo sijui...
  13. JamiiForums Tanzania Vietnam: Waziri wa Zamani afungwa maisha kwa makosa ya rushwa

    Waziri wa zamani wa Habari na Mawasiliano, Son Bac Nguyen amehukumiwa kifungo hicho huku aliyekuwa Naibu wake, Tuan Quoc Tran akihukumiwa kifungo cha miaka 14 kwa makosa ya rushwa yaliyoisababishia Serikali hasara ya Dola za Marekani Milioni 3 Mahakama ya Watu ya Hanoi imetoa kifungo hicho kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Kabendera na vijana wenye tamaa za aina yake waache mara moja wanasababisha matatizo ya Familia zao waishi maisha halali wasifake maisha

    Kabendera alikuwa anatafuta pesa haramu kwa njia haramu Alijua anatenda jinai Alijua anayemdhalilisha hawezi kupambana naye Alijua mama yake ni mgonjwa na hawezi kupata huduma sawia bila yeye Kwa nini ajiingishe kwenye mfumo hatarishi wa maisha?
  15. JamiiForums Tanzania Siasa za Nyimbo: Maisha ya kuboresha ndani ya uoga asilimia 100

    Huwa wanaimba nyimbo za wanawake lakini ndiyo mfumo wa maisha ya Mtanzania kuwa ni kisiwa cha amani. Ikifika kwenye kuboresha vitu kama majengo, kilimo, uvuvi, mifugo n.k utakutana na ubaguzi mkubwa sana hapo ndipo episode za movie huishia tukutane kwenye movie nyingine. Hongera Kayumba huu...
  16. JamiiForums Tanzania Kufunga kula kila baada ya muda fulani katika wiki hurefusha maisha na kuzuia magonjwa

    Watafiti nchini Marekani wamebaini kwamba kutokula kwa masaa 16-18 au kufunga kula kila baada ya muda fulani katika wiki hurefusha maisha na kuzuia magonjwa. Katika makala iliyoandikwa katika jarida la “New England Medicine”, imebainishwa kwamba kula ndani ya masaa 6-8 katika siku na masaa...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Karibuni tulewe maisha ndio haya haya

    Wakuu habali zenu Nasomeka gambeni muda huu nina serengeti lite 10,kwa mwana ambae yuko around mitaa hii niko pub yangu ya kitaanii Gold j pub hapa sinza madukani karibu na jengo la emirate. ila kama unajijua wewe ni chawa usisogee karibuni sana . Kiroho safi tufurahie holiday jamanii
  18. JamiiForums Tanzania Utekaji ni sehemu ya maisha katika Jamhuri ya Tango

  19. JamiiForums Tanzania Jute kwa ni sehemu ya maisha katika Jamhuri ya Tango

  20. J

    JamiiForums Tanzania Mdhamini: Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA,Tundu Lissu amepona ila anaogopa kurudi nchini kwa kuhofia maisha yake

    Mahakama ya Kisutu imesisitiza kuwa inamtaka Mahakamani aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki,Tundu Lissu anayekabiliwa na kesi ya uchochezi. Hata hivyo, Lissu ameieleza Mahakama kupitia Mdhamini wake Ibrahim Ahmed kuwa anahitaji kurejea ila bado anahofia usalama wake, kesi imeahirishwa hadi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…